hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Na yasipotekelezwa mtafanya nini?kilichobaki ni matekelezo tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yasipotekelezwa mtafanya nini?kilichobaki ni matekelezo tu,
Huo ubavu hamnaNa yasipotekelezwa mtafanya nini?
But sisi ni secular state, why isiwezekane?Tunazungumza mengi lakini hakuna serikali inaweza kufanya kazi bila TEC na BAKWATA
Endeleeni kujidanganya.Huo ubavu hamna
Sioni tatizo la TEC kumiliki Bugando na KCMC tatizo hizo hospital zina masharti ya hispital binafsi,bei ya huduma ipo juu.Waislamu mmejenga hospitali gani yenye hadhi ya bugando..?
Shida unapambana na kokolo kubwa sana,hao Wakatoliki humuwawezi ata mfanyaje.Cha msingi na nyie jengeni Hospitali zenu alafu muende kuomba ruzuku serikalini kama wenzenu.Hujui chochote punguani wewe yaani serikali ndiyo iliomba kuipa pesa kanisa? Unajua waliohusika na huo mkataba?
Mimi Ni mkristo tena lia lia lakini kwa hili ya 36 BILIONI ,Waislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?
Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.
Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.
Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
Ok endeleeni na biashara ya utumwa tuko nyuma yenu, bwaaaaana aweeeee naaaaaanyi!Endeleeni kujidanganya.
Mmekosa kazi za maana za kufanya mmeamua mje na vikaratasi vyenu visivyo nabele wala nyuma.
Raisi Kikwete alisema sio pesa ua umma 🙂TEC inafahamu kwamba mwaka 2014 maaskofu wote Katoliki Tanzania akiwemo Kardinali Pengo na wasaidizi wake walipokea mamilioni ya shilingi pesa taslimu na nyingine kwenye akaunti zao kama Askofu Nzigilwa (milioni 80 benki) na Kilaini (milioni 40 benki). Inajua fedha hizo zilitoka katika kampuni yenye makando kando ya rushwa ya kihistoria Tanzania. Wananchi wengi walipiga kelele lakini fedha hizo hazikurudi wala hakuna kumbukumbu za kanisa katoliki kupinga na kusema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.
Lini Wananchi walishirikishwa na serikali kutoa majengo yake kwa Waislamu ili waanzishe Chuo Kikuu Mkoani Morogoro!!?Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Umetoa hoja nzuri sana.Kwa kweli, baada ya hili suala la DPW, tunataka na Mkataba usio na Kikomo kati ya Serikali na Kanisa uwekwe hadharani nao tuujadili na tukubaliane juu ya vifungu vyake kama bado kwa zama hizi tunautaka ama tuachane nao. MOU kati ya Kanisa na Serikali, pia hatuutaki kwa sababu serikali ndio inawajibu wa kutoa huduma za jamii kwa watu wake ikiwemo afya na elimu. Hatuwezi kukubali kuendelea kutoa bilions of Shilings kwa kanisa endlessly wakati kila siku serikali imekuwa ikijenga hosp na vituo vya afya kote nchini. Je hizo zinazolipiwa kanisani ni kwa nini? Mikataba yote ya janja janja ipigwe chini.
Punguani...... 🙂Usiwe punguani hiyo pesa ya walipa kodi unachukulia poa kila mwezi wanapewa na mkataba hauna kikomo.
Hiyo ndio imeendaSerikali yenyewe inaendeshwa na mvaa kobazi anayewaza kujenga msikiti na kisima cha kujitawazia unafikiri atakuwa na akili hiyo?
DP world ishajenga hospital kubwa sana mbeya (Msikiti na kisima cha kujitawazia).
Waislam nao wangejenga hospital haya mambo yasingekuwepo. Kwa gharama za uendeshaji za hospital, hiyo hela ni ndogo sana ilifaa iwe 1 trillion kwa mwaka ili wavaa kobazi nao washituke wajenge hospitali
Hizo huduma zinatolewa Bure?Usingejaa hisia,uzandiki na ujinga....usingeandika Uzi kama huu. Huduma zinazotolewa na kanisa katoliki hapa nchini zimelisaidia taifa pakubwa.
Afya na elimu ni mambo muhimu kwa kila taifa.
huu uongo mnautoa wap ? waislam ni km ng'ombe chochote wanakula hawachagui , sheikh mmoja anasema Mwaposa kajenga hotel yake kwa kuuza udongo uwanja wa taifa kwa buku buku na akakusanya 900m , kuwa muislam inataka moyo aseeeSerikali hii ni mali ya kanisa Katoliki
waislam na unafiki ni dam dam , badala mjenge mahospital nyie mnauza bandari , hv mna akili kwel ?Ok endeleeni na biashara ya utumwa tuko nyuma yenu, bwaaaaana aweeeee naaaaaanyi!
Huduma ya bure ni kuchota maji kwenye kisima, kujitawaza na kuswali.Hizo huduma zinatolewa Bure?
Hao wanaowaendea ndio ambao wamewaharibia Nchi zao kwa kuwapeleke mapigano kwa hiyo ndio sawa sawa waende kwa hao haoKama kuna maendelo kwani waislam kutoka Syria, Afrika magharibi na Libya wanakufa kwenye maji wanaenda Uingereza na Italy? Kwanini wasiende Dubai ambapo kuna maendeleo?
Hizo pesa walipewa Maaskofu wao binafsi kulingana na mahusiano Yao na Rugemalira au ilipewa TEC kama Baraza la Maaskofu?TEC inafahamu kwamba mwaka 2014 maaskofu wote Katoliki Tanzania akiwemo Kardinali Pengo na wasaidizi wake walipokea mamilioni ya shilingi pesa taslimu na nyingine kwenye akaunti zao kama Askofu Nzigilwa (milioni 80 benki) na Kilaini (milioni 40 benki). Inajua fedha hizo zilitoka katika kampuni yenye makando kando ya rushwa ya kihistoria Tanzania. Wananchi wengi walipiga kelele lakini fedha hizo hazikurudi wala hakuna kumbukumbu za kanisa katoliki kupinga na kusema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu.