tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Wewe endelea kula kashata na ghahawa,lini mmejenga hosp yenu jengeni kwanza ndio mlalamike...mdini wahedKundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Kwa hiyo na wabunge nao wote ni wavaa kubazi? Maana na wao pia wameunga mkonoHayo ni mawazo yako.
Huo mkataba unauungwa mkono na wavaa kobazi ili wajengewe misikiti mingi na visima vya kujitawazia huku wamesahau kuwa hiyo ni rasilimali ya watanzania.
Huo mkataba ni kichaa tu ndiyo anaweza kuunga mkono
Jengeni na nyie hospitali na shule mpate ruzuku na siyo kulalamika tu kwenye mitandao. Halafu kwani hizo hospital wanatibiwa wakristo tu?Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Kwahiyo dini ya haki ni dhaifu na Allah ameshindwa kuwapigania mpk wapigwe na makafikiri?Hao wanaowaendea ndio ambao wamewaharibia Nchi zao kwa kuwapeleke mapigano kwa hiyo ndio sawa sawa waende kwa hao hao
Kwa hiyo Bandari zimeuzwa sio?Kabla hatuajaendelea tunaomba mtuthibitishie kwamba Waislamu ndo mliouza bandari zetu. Maana TEC imeiandikia serikali lakini hapa inajibiwa na Msikiti.
Mnapewa msaada wa tende mle nyie mnauza kwa waumini wenuWanapewa pesa harafu wao wanafanya biashara.
Unatuuliza sisi? Kamwulize Joseph Kabila akusimulie kidogo.Na yasipotekelezwa mtafanya nini?
Siyo serikali tu, hadi hiyo dini yake ya mwezi mchanga (iliasisiwa kwenye korido za Vatican).Tulishasema sana jambo hili.Serikali hii ni mali ya kanisa Katoliki
Na chuo kimewashinda ufaulu uko chiniUsisahau kurejesha chuo cha Tanesco Morogoro.
Mkapa aliwapa jengo la tenesko badala yake mmejaza wauza dawa za kisuni kwenye hilo jengo.Wajenge kwani wamepewa mabilioni kama kanisa wanavyopewa?
Wataendeleaje wakati mmewaminya na kuwafelisha maksudi kuanzia chekechea?
Ila sasa ni uprising time kwao, wamesoma kinguvu na wameinuka na wanajua haki zao, kaeni chonjo lolote linaweza kutokea
Kwani enzi za kikwete mlikuwa hamtoi matamko na walaka?Unatuuliza sisi? Kamwulize Joseph Kabila akusimulie kidogo.
Kwa vile rais na pm kipindi hiki ni muislam mwenzetu, tumieni fursa hii muwashinikize watumie mamlaka yao kufuta hiyo MoU. Ninachojua pale Bugando na kcmc serikali imeweka watumishi wake, imewekeza vifaatiba na madawa. Serikali iondoe kila kilicho chalke. Then hawa watu wa makanisa watakachofanya ni ku-scale down huduma wanazotoa, zilingane na uwezo wao. Swali je serikali sasa hivi iko tayari kutoa huduma za kibingwa zinazotolewa na hospitali hizi za makanisa? Kama iko tayari, well and good.Mkataba au Memorandum of, Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Inaonekana ulivyo na akili na upeo mdogo. Huelewi kabisa maana ya secular state. Unasikia kwa kuokoteza maneno na kukariri bila kujua maana ya maneno unayoyasikia.But sisi ni secular state, why isiwezekane?
Unajua kwa nini serikali inatumia hospitali za makanisa? Kuna hospitali ngapi za serikali mikoani zimejengwa toka tumepata uhuru.Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Hizo huduma zinatolewa Bure?Huduma ya bure ni kuchota maji kwenye kisima, kujitawaza na kuswali.
Nyie wavaa kobazi mnawaza huduma ya bure tu? Jengeni na nyinyi hospital, mtoe huduma bure
Umejitahidi kulitetea kanisa kwa hoja nyepesi.Waislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?
Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.
Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.
Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …