Ukikejeli waislaam unakuwa hukitendei haki,maana wana muogopa Mungu na wanaamini siku wakifa wataulizwa,ndio Maana Mwislaam kama Prof Assad huwezi kukuta kajilimbikizia mali au anafanya kazi kwa kuonea watu.
Kila mtu huwa anatamani hii nchi watawale waislaam maana hawana roho mbaya,huwa wanatoa afueni ya maisha kwa wananchi wa Chini
Ipo hivyo,watumishi Enzi za Kikwete aliwapa hazi zao kila mwaka,lakini wakati wa Mkono wa chuma waliambukia matusi tu.
Huo nduo wislaam unaofundisha uadilifu na kutidhulumu haki ya mtu.
Ndio maana Rais Samia alipoingia tu,alipandisha watumishi wote waliokaa miaka 7 bila vyeo.
Akafungua acvount zote zilizofungwa kwa dhulma,akawarudishia hela zao watu waliokuwa wameporwa.
Yote haya nikwasababu ya malezi na kuamini kuna siku atakufa na atulizwa