Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AaaahaaaaIngekuwa hizo hela ni kitu basi TEC wangeufyata kwa Serikali, pamoja na hiyo ruzuku bado TEC wanaibwekea Serikali ndo ujiulize sasa hao TEC wanajivunia nini? BAKWATA kujengewa msikiti tu wameufyata