Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hela ya kuuzwa kwa lile eneo pembeni ya kibasila sekondari Dar, amelipwa nani?Hela gani waislamu wanapiga? Taja fungu moja tu.
Makanisa wakati wa magufuli serikali ilisema wameingiza container zaidi ya 200 kwa mwezi.
Zote hazilipiwi ushuru.
Wanadai ni vitu vya kanisa.
Kumbe container zimejaa gongo wakidai ni damu ya bwana.
Kisha wanauza kwenye maduka ya jumla ya jamaa zao.
Na pia wametamka wazi kuwa walikuwa wanaingiza silaha.
Hizo silaha siku mkizitoa zitawamaliza nyie nyie waefeso manake hakuna kiumbe muoga km mgalatia.
Sisi waislamu hatuna tamaa.
Ndio maana masheikh wetu ni maskini km sisi. Tunakula tunachotafuta wenyewe.
Sio nyie. Padri Ana shangingi la milion 400 wakati wewe mtoa fungu la kumi kwenye hizo nyanya unazouza chalinze unatembea kwa miguu.
Himaru wahedi
Unafanya kosa kubwa sana kudhani umaskini ndo uzalendo