Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.

Unajua Sadaka za kila Jumapili TEC wanakusanya Tsh ngapi? Je Shule na Hospital ambazo serikali inazitumia TEC walipata wapi fedha kujenga? Unadhani Serikali wajinga wanvyotoa hizo pesa kuwapa TEC? Kama mnaona TEC wanafahidi waambie BAKWATA wajenge hospital wawe wanapewa wao hizo 36B.
 
Pesa za ruzuku za Bugando zinaenda kusaidia wagonjwa wa kristo na waislam na siyo kujenga makanisa.
 
Hoja hazijibiwi
Nongwa zatamalaki
Kejeli zatumiwa
Udini waongoza

Kuna songombingo iliyojengwa kwa makusudi kipindi cha nyuma. Leo hii songombingo hiyo ndiyo inayotumiwa kuhalalisha siasa na itikadi za Kiuetenganishi.

Mtaeleweka hivi karibuni.

Kitaeleweka.
 
Kwani hizo 36B wanapewa bure? Soma MOU vizuri ,wakati wakristo wanajenga Shule ,Hospitali nyinyi mlikuwa mnaomba misada kwa waarabu wawachimbie visima na kujenga mdrasa tu ,serikali ikawa haina hospital ndipo MOU ikaingia hapo na kama mnaona wivu waambie serikali wavunje mkataba huo mpewe nyinyi kina BAKWATA.
Kauli zako unazitoa kwa jazba km unaongea na mke mwenza.
Mtoa uzi ameshauri serikali ifute huo mkataba na TEC sababu pesa zinazotolewa hazionyeshwi matumizi yake kwa ummah.
Hio MOI imejengwa leo?
Na je ni Hospital ya Bure?
Inawafaa wakristo kuliko raia wengine sababu ukienda na barua ya padri. Na hakuna Sheikh wala Asiekuwa mgalatia anatambulika kwenye Hospital hizo
Wewe na jazba zako unaona ni sawa?
Acha kupiga kelele.
Andika hoja usomeke
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Unajua Sadaka za kila Jumapili TEC wanakusanya Tsh ngapi? Je Shule na Hospital ambazo serikali inazitumia TEC walipata wapi fedha kujenga? Unadhani Serikali wajinga wanvyotoa hizo pesa kuwapa TEC? Kama mnaona TEC wanafahidi waambie BAKWATA wajenge hospital wawe wanapewa wao hizo 36B.
Swali mbona lipo wazi sihitaji maelezo.
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Waambie BAKWATA wajenge hospital ili hizo 36B mpewe nyinyi wavaa kobazi.
Hivi wakati maaskofu wao walipokea hela za rushwa kutoka pesa za ESCROW waliwahi kuwajibika kimaadili? Waliwahi kusema lolote?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kauli zako unazitoa kwa jazba km unaongea na mke mwenza.
Mtoa uzi ameshauri serikali ifute huo mkataba na TEC sababu pesa zinazotolewa hazionyeshwi matumizi yake kwa ummah.
Hio MOI imejengwa leo?
Na je ni Hospital ya Bure?
Inawafaa wakristo kuliko raia wengine sababu ukienda na barua ya padri. Na hakuna Sheikh wala Asiekuwa mgalatia anatambulika kwenye Hospital hizo
Wewe na jazba zako unaona ni sawa?
Acha kupiga kelele.
Andika hoja usomeke

Acha wivu ,hivi kuna fedha ya serikali inayotolewa bila kufanyiwa ukaguzi? kama unaona TEC wanafahidi waambie BAKATWA wapeleke hospital zao wachukue wao hizo 36B.

"Hospitali nyingi nzuri ni za Misheni" - Wagosi wa Kaya - Wauguzi
 
Hivi wakati maaskofu wao walipokea hela za rushwa kutoka pesa za ESCROW waliwahi kuwajibika kimaadili? Waliwahi kusema lolote?

Muulize Rugemalila aliwapa hizo fedha kwa madhumuni gani? Pia Muulize Wajina wako Riz1 Simba Trust mgao waliwapa kina nani? Unajua waliobeba fedha kwenye viroba kupitia Simba Trust? Simba Trust mbona wengi ni wavaa kobazi?
 
Acha wivu ,hivi kuna fedha ya serikali inayotolewa bila kufanyiwa ukaguzi? kama unaona TEC wanafahidi waambie BAKATWA wapeleke hospital zao wachukue wao hizo 36B.

"Hospitali nyingi nzuri ni za Misheni" - Wagosi wa Kaya - Wauguzi
Tatizo sio kama zinafanya kazi au la.Tatizo ni wanachi walishirikishwa kwenye kutoa mawazo kwenye hiyo MoU?You cannot have it both ways.Ukihoji sawa ukihojiwa kuja na visingizio na kuitaja BAKWATA.BAKWATA haihusiki hapa.
You cannot have your cake and eat it too.
 
Acha wivu ,hivi kuna fedha ya serikali inayotolewa bila kufanyiwa ukaguzi? kama unaona TEC wanafahidi waambie BAKATWA wapeleke hospital zao wachukue wao hizo 36B.

"Hospitali nyingi nzuri ni za Misheni" - Wagosi wa Kaya - Wauguzi
Wagalatia bana upo radhi useme uongo alimradi unatetea maparoko.

Ebu tupe ripoti ya CAG ya mwaka wowote inayoelezea pesa wanazipewa Kanisa na Serikali ukileta najitoa JF.

Nipo pale nimejibanza nasubiri huku nakunywa kahawa na kashata na juice ya tende.
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Sadaka zenyewe misikitini wanatoa mia mbili miambili kama nauli za wanafunzi hivi mnaweza kujenga hata chuo ukiacha Kila mlicho gawiwa Cha tanesco pale morogoro?
 
Back
Top Bottom