Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Wewe endelea kula kashata na ghahawa,lini mmejenga hosp yenu jengeni kwanza ndio mlalamike...mdini wahed
 
Hayo ni mawazo yako.
Huo mkataba unauungwa mkono na wavaa kobazi ili wajengewe misikiti mingi na visima vya kujitawazia huku wamesahau kuwa hiyo ni rasilimali ya watanzania.
Huo mkataba ni kichaa tu ndiyo anaweza kuunga mkono
Kwa hiyo na wabunge nao wote ni wavaa kubazi? Maana na wao pia wameunga mkono
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Jengeni na nyie hospitali na shule mpate ruzuku na siyo kulalamika tu kwenye mitandao. Halafu kwani hizo hospital wanatibiwa wakristo tu?
 
Hao wanaowaendea ndio ambao wamewaharibia Nchi zao kwa kuwapeleke mapigano kwa hiyo ndio sawa sawa waende kwa hao hao
Kwahiyo dini ya haki ni dhaifu na Allah ameshindwa kuwapigania mpk wapigwe na makafikiri?
Mafundisho yenu yana umuhimu gani kuwajenga kiroho mpk kafiri aje awachonganishe mpigane?
 
Unawahoji wenye nchi na dunia? Ndiyo washatoa tamko. Sasa jaribu kwenda kinyume na tamko lao uone.
 
Wajenge kwani wamepewa mabilioni kama kanisa wanavyopewa?
Wataendeleaje wakati mmewaminya na kuwafelisha maksudi kuanzia chekechea?
Ila sasa ni uprising time kwao, wamesoma kinguvu na wameinuka na wanajua haki zao, kaeni chonjo lolote linaweza kutokea
Mkapa aliwapa jengo la tenesko badala yake mmejaza wauza dawa za kisuni kwenye hilo jengo.
Shame on you guys
 
Kuwa mpole DP World ndio ishakufa hio kama ulihaidiwa ajira pale kalime nyanya
 
Unatuuliza sisi? Kamwulize Joseph Kabila akusimulie kidogo.
Kwani enzi za kikwete mlikuwa hamtoi matamko na walaka?

Kiwete alikuwa anayapuuza sababu anajua yametoka kwa wapuuzi na wachumia tumbo.

Mlimfanya nini kwa kuyapuuza kwake matamko yenu?

Hata hiki kikaratasi cha padri kitima kinachosambazwa makanisani kitapuuzwa na hakuna mtakachofanya.
 
Mkataba au Memorandum of, Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Kwa vile rais na pm kipindi hiki ni muislam mwenzetu, tumieni fursa hii muwashinikize watumie mamlaka yao kufuta hiyo MoU. Ninachojua pale Bugando na kcmc serikali imeweka watumishi wake, imewekeza vifaatiba na madawa. Serikali iondoe kila kilicho chalke. Then hawa watu wa makanisa watakachofanya ni ku-scale down huduma wanazotoa, zilingane na uwezo wao. Swali je serikali sasa hivi iko tayari kutoa huduma za kibingwa zinazotolewa na hospitali hizi za makanisa? Kama iko tayari, well and good.
Ndugu zangu waislam (baadhi), msifikiri kwamba hudama/maendeleo yanayofanywa na sisi wakristo pesa zinatoka serikalini. Sisi kwa mfano parokiani kwetu sadaka kila jumapili tunatoa kati ya 4m mpaka 5m. Tumeweza kwa kipindi kujenga kanisa zuri, nyumba ya Mapadre, na sasa tuko kwny mchakato wa kujenga ukumbi, zahanati na shule ya chekechea. Parokia zingine wana miradi ya kilimo ufugaji kuku, ng'ombe, mbuzikatoliki etc. Miradi yote hii inaingiza pesa inayosadia kufanya maendeleo zaidi.
Pia mnapotoshana kwamba wakristo wanapitisha mizigi bandarini bila kulipa ushuru. Hili mbona liko wazi? Je bandari inasimamiwa na makanisa? Tra inasimamiwa na makanisa?. Kama kuna msamaha wa kodi kwaajili ya mizigo ya mashirika ya dini, hiyo ni kwa dini zote. Agizeni na nyie mizigo, pitieni utaratibu wa kawaida kupata msamaha wa kodi, muendelee na mambo yenu.

Sasa hili swala la bandari linataka kutugawa. Mimi naona uelewa ni mdogo kwa baadhi yetu.
Mimi kwakweli sina shida na muwekezaji yeyote, ilimradi uwekezaji huo uwe kwa maslahi mapana ya taifa letu kwa sasa na vizazi vyetu hapo baadae. Mkataba huu wa Dpw, ambao 1) hauna ukomo, 2) unampa muwekezaji bandari zote za bahari na maziwa yote, pamoja na miundombinu ya usafiri na anga 3) una masharti kwamba hauwezi kuvunjwa ktk mazingira yoyote, 4) haubainishi mgawano wa mapato; mkataba huu ni wa ovyo kabisa. Ni mwehu atakaye toa rasilimali zake kwa namna hii.

Pia tuangalie namna muwekezaji alivyo patikana. 1) Waziri Mbarawa: Tulishindanisha makampuni 8 toka nchi tofauti, then tukamchagu Dpw. Huu ni uwongo- tenda ilitangazwa lini na wapi, tenda ilfunguliwa lini na wapi? 2) Pm Majaliwa: Rais alipoenda Dubai (kwenye expo2022?), tukampata Dpw. Unaweza kuona viongozi hawa wanavyotofautiana.

Nguvu kubwa inayotumika kumpinga, sawa na kumtetea muwekezaji huyu. Kwa vile suala hili tayari limetugawa, kwanini tusiachane na Dpw tukatafuta muwekezaji mwingine? Wawekezaji wenye sifa wako wengi. Ila kuna harufu ya rushwa hapa ambayo imeshaliwa, itarudishwaje?
 
But sisi ni secular state, why isiwezekane?
Inaonekana ulivyo na akili na upeo mdogo. Huelewi kabisa maana ya secular state. Unasikia kwa kuokoteza maneno na kukariri bila kujua maana ya maneno unayoyasikia.

Kremu na hii ikusaidie:
Secular state ni nchi ambayo katiba na sheria zake hazitegemei sheria za dini.

Kinyume chake ni Serikali zinazotumia msahafu kama sheria za nchi. Mfano mzuri ni yale mataifa yanayotumia sharia law.

Tanzania ni secular state kwa sababu sheria zetu tumezitengeneza wenyewe, siyo amri kumi za Mungu au Sharia law ili inayotaka wazinzi mpigwe mawe mpaka mfe, na wevi mkatwe mikono.
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Unajua kwa nini serikali inatumia hospitali za makanisa? Kuna hospitali ngapi za serikali mikoani zimejengwa toka tumepata uhuru.
Viwango vya WHO vinataka uwiano wa daktari kwa wagonjwa uwe 1000. Yaani daktari mmoja anatakiwa ahudumie wagonjwa wasiozidi 1000. Kwa Tanzania uwiano huo ni 26000. Yaani daktari mmoja wa Tanzania anahudumia wagonjwa mara 26 ya viwango. Mi mzigo mkubwa sana. Unazungumzia kujenga hospitali?

Serikali inashindwa kujenga dispensary tu kwa sababu viongozi wamekalia mambo ya rushwa tu. Ndiyo maana wanaingia mikataba ambayo haina tija kwa wananchi. Wanachojali ni 10% tu. Mifano ni mingi sana unless unajitia upofu au ni mdau.
 
Kile chuo cha Tanesco kule Morogoro hao Waislam walikinunua shilingi ngapi ?.Kama kuna mwenye majibu naomba Ayelet humu humu jf.
 
Waislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?

Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.

Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.

Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
Umejitahidi kulitetea kanisa kwa hoja nyepesi.

Kutibiwa zipo Hospital pia za Binafsi ambazo zimatoa huduma bora kwa Watanzania.

Kwanini hizi binafsi zinazohudumia watanzania kama inavyofanya Bugando na KCMC hawapewi ruzuku?

Shida sio mwislaam au mtu gani kutibiwa KCMC shida nikwamba hawatibiwi bure,gharama ya matibabu ni kubwa sawa na hospital nyingine ya Private.

Sasa hizo ruzuku wanazopewa zina tija gani kama wanatuuzia huduma kama wafanyavyo hospital binafsi?

Kuhusu uwezo wa serikali,nikweli serikali yetu haiwezi kutoa huduma kwa watu wake wote bila sekta binafsi.

Sasa Bil 36 wanazotoa kwa Mwezi kwa mwaka ni Bil 432.

Hii Bil 432 inayotolewa kwa mwaka inatosha kujenga Hospital nzuri sana ya Serikali na wananchi wote wakanufaika na kodi zao.

Tamgu mwaka 1992 mkataba ulipoanza kutekelezwa ni takriban Miaka 28,maana yake tungekuwa tumejenga zaidi ya Hospital 30 zenye hadhi kila mkoa.

Kwa mkataba kuzuia serikali isijenge hospital mahali ambapo Roma wamewekeza nikutowatendea haki wananchi.

Maana ule biashara imaumiza hata warima wenyewe,maana ukie da kutibiwa wanachotaka sio uroma wako,wao wanatoza hela.

Hakuna msaha wowote unaotolewa kama fidia ya ruzuku wanayopewa.
 
Back
Top Bottom