Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mchina aliyewekeza hapo Tanzania akipata faida anapeleka China.TEC ni ya watanzania na inatoa huduma kwa watanzania.
DP World watapeleka pesa uarabuni kuwahudumia waarabu. Kama BAKWATA wakipewa mkataba wa kuhudumia watanzania, na wakatoa huduma kwa viwango vinavyohitajika, hakuna tatizo.
Wavaa Makobaz ni Vichwa Maji sana
Baeleze Baelewe na Waambie kesho ibada zikishaisha tunasubiri Press za mashekhe waoWaislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?
Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.
Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.
Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
Magu alitaka kufuta wakalia lia akawaacha. Suala la Kodi ni taasisi zote hupata msamaha ila humo hupita vitu vingi na vya haramu. We anzisha kiraasisi chako ingiza vitu piga bei.Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Labda mimi nipo nyuma ya habari. Ebu toa proof yeyote kama kweli kanisa linapata bil 36 kwa mwezi.Na mchina aliyewekeza hapo Tanzania akipata faida anapeleka China.
Hali kadhalika wazungu wote wanapeleka pesa kwao pamoja na wahindi.
TEC inahudimia KANISA .
Hicho kipande cha kudai inahudumia taifa ni kidogo sana kulinganisha na PESA Wanayopewa.
Wewe piga hesabu za haraka tu. Ikiwa kweli BILLIONS 36 KILA MWEZI zote zinapelekwa kwa manufaa ya wananchi leo Bugando na KCMC wangeweka private wards za kulipia?
Leo wangekosa Bandage ya kufunga mgonjwa mpk ukanunue ya kwako?
Leo ungehitaji kumpa RUSHWA DR ili upate huduma?
Leo kina mama wa vijijini wangelala nje wakati wanasubiri kuhudumiwa?
BILION 36?
We unajua BILLION 1 ( MILIONI 1000) ZINAWEZA kuhudumia watanzania kiasi gani?
Leo KANISA LINATUMIA MILION 36,000,000 (BILION 36 ) kwa mwezi na shida ziko pale pale ktk mahospitali yote.
Bado unashangilia na kupiga vigelegele?
Hivi hawa WAKATOLIKI hawana hata huruma na wale watoto wanakufa kwa kukosa dawa ya shs elf 10?
Nyie Mungu anawaona.
Kifo hakiko mbali.
Endelezeni Jeuri tu.
Mtakwenda kukutana na Mungu mwenyewe aliyepa pumzi ambazo mnazitumia kunyanyasa watu.
Na sisi kiasi tuko hai tutaendelea kuonyesha DHULMA zinazofanywa na KANISA mpk siku ya mwisho.
Wawajibishwe kivipi wakati Kikwete alisema siyo pesa za serikali??!!! Au umesahau?Hivi wakati maaskofu wao walipokea hela za rushwa kutoka pesa za ESCROW waliwahi kuwajibika kimaadili? Waliwahi kusema lolote?
Madrasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu mmejenga hospitali gani yenye hadhi ya bugando..?
Nakuunga mkono.ni serikali yako ndio iliomba wala hao waroma hawakuwa na mipango ya kuhudumia kama referral , ss waislam ifikr muda akili ziwe zinafny kaz , ilaumu serikali yako ambayo inarudia kosa lile lile za kuish kiomba omba , badala wajenge hospital wao wanapeleka hospitalin za private na badala serikali waboreshe bandari wao wanaenda kugawa bandari , HIYO NI SERIKALI USILAUMU WATU WENGINE
Choko mmoja we, huna ujualo katika dini, yaani hujui dini yako ndio utajua dini yetu?Mkuu wa mtifuano ni huyu hapa
HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Bakwata ni taasisi iliyoanzishwa na kanisa na mpaka sasa inaongozwa na kanisa, waislamu hawajapata chombo sahihi cha kuwasimamia na wakianzisha harakati lazima warudishwe kwa bakwata wapate saini,Nakuunga mkono.
Sisi waislamu badala kuiga kujenga hospitali kwenye jamii tunapinga, wakati hizo hospitali tunatibiwa kwa gharama ndogo kulinganisha na binafsi.
Bakwata wameshindwa kusimamia ujenzi wa shule za kisasa na kubaki kizamani na kuongoza kwa failure.
Bakwata inatakiwa ibomolewe iwe taasisi inayoendana na karne ya 21.
Nimeishi nyanda za juu kusini, kuna taasisi za kanisa wameenda kununua maeneo makubwa huko maporini kabisa wakati bakwata wamelala tu wanasubiri mali za wakfu. Inakuwaje mkoa kama njombe au iringa au Songea BAKWATA wanashindwa kumiliki heka walau 100 tu za ardhi kwa uchache.
Roman Catholic kila walipokaa wameshika eneo kubwa sana.
Roman Empire walikuwa na vision kubwa sana kuliko Saud Empire au Bazynite empire.
Taasisi ya bakwata ina lasilimali kubwa sana kuanzia watu,fedha, wafadhili nk ila viongozi wameshindwa kabisa kuwa wabunifu na kubaki kuwalaumu wakrist.
Udhaifu wa viongozi wamejificha katika kuupinga nfumo kristo badala kuonesha uimara wao katika ubunifu na ujenzi wa taasisi imara ya kisasa.
Nakuunga mkono mkuu kwa kuona hilo.
Mtoa mada angesema nasi tujenge hospitali ili tupewe hizo bilioni 30 ningemuona smart badala yake anataka hadi hizo hodpitali nazo zife sijii watu watibiwe wapi.
Mkuu ktk kitu kinaniudhi ni sisi waislamu kuendelea kujenga misikiti badala ya taasisi kwa ujimla. Shule, hospitali na msikiti.Madrasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnapoteza muda tu. Jengeni na nyie hospotal mpate ruzuku kama roho zinawaumaHamna hoja, mnahamisha magoli tu na safari hii mmeukalia hata mkijamba hatuwaachii, mbivu na mbichi zitajulikana, either dp au tuchinjane tu, kwanza nyie waoga kweri kweri wa kufa nyie
Swali nakuuliza .Hapa kwenye hospitali ya st Fransis ifakara (Mali ya kanisa) kuna wafanyakazi walioajiriwa na serekali na wapo walioajiriwa na kanisa. Serekali inawalipa waajiri wake na kanisa pia inawalipa wale ilio waajiri wao. Na haya ni makubaliana ambayo yapo kati ya kanisa na serekali.
Kama nitakuwa nipo sahihi makubaliano hayo MoU yaliongozwa na Dr Slaa wakati huo alikuwa rais wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki.
Ikimbukwe serekali ilikuwa imetaifisha mali za kanisa ikiwepo mashule na hospitali. Kwenye makubaliano hayo mali zote zilirudishwa kwa kanisa. Kwa hiyo serekali inasaidia kanisa kwenye kutoa huduma kwa jamii.
Kwa hiuo ndugu yangu Ritz Huna hoja zaidi ya mihemko na umbea.
Mbona una chuki mbaya hivyo na wakristu??? Walikufanyia kitu gani kibaya?Halafu wagalatia chuki zenu hazijahi kutokea ktk jamii yyt kabla yenu.
Mko tayari tukose wote alimuradi Muislamu na wananchi wengine asiekuwa mgalatia asipate nafasi ya kuongoza chochote.
Yaani najiuliza hivi ikiwa una ndugu wa kiislamu na wewe mgalatia hivi iko siku utaweza kumkaribisha kwako kwa mapenzi?
Wabaya sana nyie viumbe
Kwani katoliki walioewa hayo mabillioni ndio wakajenga,au serikali ilikuta katoliki imejenga ndo inatoa hayo mabillioni? Na kama ni kabla,je waislamu mlikuwa wapi?Wapewe na wao mabilioni kama wanavyopewa kanisa halafu tuone kama hawatajenga,
Jibuni hoja msihamishe magoli, kwanini muendelee kupewa hizi hela? Serikali isimamishe fasta
Sio uko nyuma ya habari.Labda mimi nipo nyuma ya habari. Ebu toa proof yeyote kama kweli kanisa linapata bil 36 kwa mwezi.