kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
🤣🤣This time wananchi washiirikishwe.
- ugawaji wa majengo ya Tanesco kwa taasisi ya kiIslam uangaliwe upya.
- makubaliano/mkataba unahusisha malipo ya kila mwezi kwa taasisi ya kiKristu yaangaliwe upya
Kama kuna unfairness, then isijalishe mnufaika ni dini gani, marekebisho yafanyike. Umenielewa?
Tumeshindwa kupata maelezo ya BILION 36 ZINAZOTOKA KILA MWEZI tuanzishe kujadili vibanda vya Tanesco?
We ndugu kwenye safari ngumu lzm utabaki porini.
Sisi waislamu kwa jina la Mungu hatupokei pesa ya HARAMU tukajengea chochote ktk Ibada yetu.
Hilo muulize muislamu yyt hata yule ambae hajasoma darasa la kwanza atakwambia hivyo hivyo.
Kutaka kutambua ruzuku yyt ya serikali wanayopata Bakwata wala huna haja ya kuhamgaika.
Nenda BAKWATA MAKAO MAKUU. Wamenndika ukutani.
Kwa sasa tunataka kuanza na KANISA. BILION 36 kwa mwezi sio mzaha.
Isitake tuanze kutafuta dagaa wakati PAPA KAJIFICHA.
Tukamate huyo kwanza.
Hao dagaa hata kwa chandarua unakamata tu