Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Hamna kusaidiawa watu wanatibiwa kwa pesa zao. Unaandika gazeti lote la nini hojo ni hii jibu.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.?
Sema waislamu hawakushirikishwa,sio useme wananchi, sasa mlitaka mshirikishwe wakati mlikuwa hamna chochote!? Mlitaka wakati mlikuwa hamna chochote Cha Cha kchangia? Serikali ndio ilizifuata hizo tasisi za kikristo na hata nyinyi msome na kutibiwa mshukuru sana wakristo.
 
Mapadre wa katoliki huko Rwanda walihusika kwenye mauaji ya kimbari na watu zaidi ya milioni moja waliuwawa kwa msaada wa mapadre hawa. Kanisa katoliki Rwanda lilihusika na mapadre wa aina ya Kitima na TEC ndiyo walikuwa vinara wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
 
Nimesoma nikaona 'reli' inajengwa angani !!
TEC wamedhamiria kutumbukiza taifa hili kwenye machafuko na watatumia mbinu ya wenzao wa Rwanda na hili la kutaka waraka usomwe makanisani kesho ni mwanzo tu wa kuanza kuchochea mambo kama waliyoyafanya Rwanda mwaka 1994.
 
Mapadre wa katoliki huko Rwanda walihusika kwenye mauaji ya kimbari na watu zaidi ya milioni moja waliuwawa kwa msaada wa mapadre hawa. Kanisa katoliki Rwanda lilihusika na mapadre wa aina ya Kitima na TEC ndiyo walikuwa vinara wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
Tunazungumzia bandari zetu... Sio Ruanda.
 
Kama wanyo MoU ifutwe hata leo. Soma kichwa cha habari.

Hakuna kuendelea kunyonyeshwa. Taasisi za kidini zote zijitegemee zenyewe.

Hayo mengine ni porojo zako tu.
Mimi si Mtu wa porojo na unajua vizuri uzito wa hoja zangu maana hii si mara ya Kwanza.
Nimesema naunga mkono hoja yako nzuri kabisa tena ina maslahi mapana Kwa nchi.
Naunga mkono hoja yako uliyoweka kwenye bandiko lingine inayohusu Taasisi za dini kuwa na maeneo Makubwa ya ardhi.
Kwa kuziunganisha hoja hizo mbili ndo nasisitiza Chuo kikuu cha Morogoro (Tanesco) kirudishwe serikalini mara moja sambamba na kufutwa Kwa MoU ya Hospitali Teule.
 
Najiuliza hivi BAKWATA nao wakitoka hadharani na wakatoa waraka kuwa mkataba ule ni sawa na wakaagiza usomwe kwenye misikiti yote nchini , je? Nini kitatokea? Au TEC wanadhani hatuna akili za kujua kuwa walichofanya kanisa katoliki Rwanda ndiyo wanachotaka kukifanya Tanzania?
Wakristo ni wabia wa serikali katika kuchangia huduma za Afya,Elimu nk ndio maana wanatoa waraka,sasa mnatoa waraka mnachangia Nini na serikali? Kwanza huo waraka utakuwa huna nguvu Wala mashiko.🚮
 
Sema waislamu hawakushirikishwa,sio useme wananchi, sasa mlitaka mshirikishwe wakati mlikuwa hamna chochote!? Mlitaka wakati mlikuwa hamna chochote Cha Cha kchangia? Serikali ndio ilizifuata hizo tasisi za kikristo na hata nyinyi msome na kutibiwa mshukuru sana wakristo.
Wagalatia bana huko shule uwa mnaenda kusoma ujinga?

Mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC hizi pesa za wananchi wanatakiwa kushiriikishwa punguani kweli weww Watanzania wana mahitaji mengi kujenga nchi yao siyo pesa wapewe maparoko.
 
Na mchina aliyewekeza hapo Tanzania akipata faida anapeleka China.
Hali kadhalika wazungu wote wanapeleka pesa kwao pamoja na wahindi.
TEC inahudimia KANISA .
Hicho kipande cha kudai inahudumia taifa ni kidogo sana kulinganisha na PESA Wanayopewa.

Wewe piga hesabu za haraka tu. Ikiwa kweli BILLIONS 36 KILA MWEZI zote zinapelekwa kwa manufaa ya wananchi leo Bugando na KCMC wangeweka private wards za kulipia?
Leo wangekosa Bandage ya kufunga mgonjwa mpk ukanunue ya kwako?
Leo ungehitaji kumpa RUSHWA DR ili upate huduma?
Leo kina mama wa vijijini wangelala nje wakati wanasubiri kuhudumiwa?

BILION 36?
We unajua BILLION 1 ( MILIONI 1000) ZINAWEZA kuhudumia watanzania kiasi gani?

Leo KANISA LINATUMIA MILION 36,000,000 (BILION 36 ) kwa mwezi na shida ziko pale pale ktk mahospitali yote.

Bado unashangilia na kupiga vigelegele?
Hivi hawa WAKATOLIKI hawana hata huruma na wale watoto wanakufa kwa kukosa dawa ya shs elf 10?

Nyie Mungu anawaona.
Kifo hakiko mbali.
Endelezeni Jeuri tu.
Mtakwenda kukutana na Mungu mwenyewe aliyepa pumzi ambazo mnazitumia kunyanyasa watu.

Na sisi kiasi tuko hai tutaendelea kuonyesha DHULMA zinazofanywa na KANISA mpk siku ya mwisho.
Dhulma yoyote dhidi ya mtanzania si sawa na haikubaliki.
Wageni wote (wachina, wazungu, wahindi,....) wanatakiwa wadhibitiwe ili mwisho wa siku wawe wanainufaisha Tanzania zaidi au wafunge virago badala ya watanzania kufanyiwa dhulma.
Hili linawezekana tu tukiwa na watunga sera na taasisi zenye watumishi wengi wenye upeo na akili nzuri, hasa hasa viongozi na TISS.
Ili taifa liendelee lazima lifanye hivyo.
Siyo kwa kupiga kelele kama awamu ya tano bali kimya kimya kama wawindaji.
Kinachokiona sasa hivi, hasa katika mjadala wa mkataba wa bandari ni fikra za kitumwa za kuchagua mabwana dhidi ya ukweli na uhuru.
Pamoja na dini tulizonazo sasa hivi, dini ya kweli ni ukweli wenyewe, na uhusiano wetu na Mungu ni wa moja kwa moja , hayatakiwi upitie kwa yeyote.
Kuhusu kanisa kupewa billion hizo, kwa kuwa sina uhakika wake na pia matumizi yake, nitakuwa naikosea nafasi yangu nikikubaliana au kupinga moja kwa moja.
 
Wagalatia bana huko shule uwa mnaenda kusoma ujinga?

Mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC hizi pesa za wananchi wanatakiwa kushiriikishwa punguani kweli weww Watanzania wana mahitaji mengi kujenga nchi yao siyo pesa wapewe maparoko.
Ndio nataka unijibu hao wananchi ni kina Nan? Waislamu au wakristo?
 
Wakristo ni wabia wa serikali katika kuchangia huduma za Afya,Elimu nk ndio maana wanatoa waraka,sasa mnatoa waraka mnachangia Nini na serikali? Kwanza huo waraka utakuwa huna nguvu Wala mashiko.🚮
Wadanganye Bavicha wenzako wala ufahamu mkataba Serikali na Kanisa. Eti wabia punguani kweli wewe.
 
kama huelewi kaa kimya.

Mwaka 1992, Serikali ya Tanzania iliingia mkataba na Kanisa uitwao, Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).

Kwa mujibu wa makubaliano hayo Serikali ya Tanzania inatao fedha (mabilion), kwaajili ya kuendeleza miradi mikubwa ya Afya na Elimu ya Makanisa. Ingawa fedha hizo ni za Watanzania wote lakini serikali haikuwahusisha Waislamu katika mjadala na wala haina mpango wa kufanya mkataba kama huo na raia Waislamu Tanzania. Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.

Chanzo: Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Kumbe ni kwaajili ya kuendeleza miradi ya elimu na afya ambayo hata nyie waislamu mnanufaika nayo maana hamkatazwi kwenda kutibiwa hospital za kanisa wala kusoma shule za kanisa. Ingekua hizo hela ni kwaajili ya kuendeleza maisha ya wachungaji na mapadre ulikua na point ila kwa sasa unaongea pumba tu.
 
Wadanganye Bavicha wenzako wala ufahamu mkataba Serikali na Kanisa. Eti wabia punguani kweli wewe.
Mimi toka nianze kujibizana na ww sijakutukana,ila ww kila bandiko kwangu linaambatana na tusi,hiyo inaonesha ukweli nao kwambia,na sitakutukana maana najiamini nachosema ni kweli hata ww huko mtaani unaona ukweli ulivyo.
 
Wewe punguani kweli kama Muhimbili tunalipa na hospitali za Kaniisa tulipe nikiwa na pesa natibiwa popote. Jibu swali Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.?

Harafu ulivyokuwa na akili za kushikiwa unaona dini ya kulawiti watoto na mashoga ndiyo bora😂
Punguza makasiriko wambie mashekhe wajenge hospitali kamani rahisi. Mnachoweza ni ugaidi na kulawiti watoto wa madrsa
 
Yako ya kizungu
Wala haina shida
Muhimu leo umejifunza kuwa wale wavaa magauni marefu ni WEZI MAJAMBAZI WAKUBWA wasio na adabu wala huruma.
Mtoto wa kitanzania ANAKUFA KIJIJINI kwa kukosa Dawa ya shs elf 5 Hapo hapo kijijini PADRI kwenye PAROKIA ANATEMBELEA GARI YA MILION 400 akipita kutoa pepo kwa mabinti wa wanakijiji .
Laanatullah.
Nyie mashekhe wenu wasiokula sadaka hyo 5000 mmetoa? 😀

Acheni makasiriko jengeni hospitali zenu kama ni rahisi
 
Najiuliza hivi BAKWATA nao wakitoka hadharani na wakatoa waraka kuwa mkataba ule ni sawa na wakaagiza usomwe kwenye misikiti yote nchini , je? Nini kitatokea? Au TEC wanadhani hatuna akili za kujua kuwa walichofanya kanisa katoliki Rwanda ndiyo wanachotaka kukifanya Tanzania?
Bahati mbaya sana hiyo BAKWATA haina mashehe wenye hiyo elimu na uwezo wa kuchambua mambo nyeti kama mkataba wa bandari!!
 
Kodi zikawa kwa raia wote wanufaike wachache na mkataba usio na ukomo ,si sawa
 
Back
Top Bottom