Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Si lazima Hadi mpigwe NGUMI ya mgongoni kulitapika dude la Bandari!!!

Shauri yenu!!
 
TEC ni ya watanzania na inatoa huduma kwa watanzania.
DP World watapeleka pesa uarabuni kuwahudumia waarabu. Kama BAKWATA wakipewa mkataba wa kuhudumia watanzania, na wakatoa huduma kwa viwango vinavyohitajika, hakuna tatizo.
Na mchina aliyewekeza hapo Tanzania akipata faida anapeleka China.
Hali kadhalika wazungu wote wanapeleka pesa kwao pamoja na wahindi.
TEC inahudimia KANISA .
Hicho kipande cha kudai inahudumia taifa ni kidogo sana kulinganisha na PESA Wanayopewa.

Wewe piga hesabu za haraka tu. Ikiwa kweli BILLIONS 36 KILA MWEZI zote zinapelekwa kwa manufaa ya wananchi leo Bugando na KCMC wangeweka private wards za kulipia?
Leo wangekosa Bandage ya kufunga mgonjwa mpk ukanunue ya kwako?
Leo ungehitaji kumpa RUSHWA DR ili upate huduma?
Leo kina mama wa vijijini wangelala nje wakati wanasubiri kuhudumiwa?

BILION 36?
We unajua BILLION 1 ( MILIONI 1000) ZINAWEZA kuhudumia watanzania kiasi gani?

Leo KANISA LINATUMIA MILION 36,000,000 (BILION 36 ) kwa mwezi na shida ziko pale pale ktk mahospitali yote.

Bado unashangilia na kupiga vigelegele?
Hivi hawa WAKATOLIKI hawana hata huruma na wale watoto wanakufa kwa kukosa dawa ya shs elf 10?

Nyie Mungu anawaona.
Kifo hakiko mbali.
Endelezeni Jeuri tu.
Mtakwenda kukutana na Mungu mwenyewe aliyepa pumzi ambazo mnazitumia kunyanyasa watu.

Na sisi kiasi tuko hai tutaendelea kuonyesha DHULMA zinazofanywa na KANISA mpk siku ya mwisho.
 
Baeleze Baelewe na Waambie kesho ibada zikishaisha tunasubiri Press za mashekhe wao
 
Magu alitaka kufuta wakalia lia akawaacha. Suala la Kodi ni taasisi zote hupata msamaha ila humo hupita vitu vingi na vya haramu. We anzisha kiraasisi chako ingiza vitu piga bei.
Usione watu wana anzisha makanisa ukafikiri wajinga.
 


Wenyewe wakubwa umeona wamekaa kimya kabisa bila kutia neno lolote,

Unashindwa hata kujiongeza kujiuliza kwanini wapo kimya?

Umeona hata ccm wamejibu?


Kaa mbali na hao jamaa
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda

Unadhan wanaachiwa kwamba mamlaka hazijui?
 
Labda mimi nipo nyuma ya habari. Ebu toa proof yeyote kama kweli kanisa linapata bil 36 kwa mwezi.
 
Hivi wakati maaskofu wao walipokea hela za rushwa kutoka pesa za ESCROW waliwahi kuwajibika kimaadili? Waliwahi kusema lolote?
Wawajibishwe kivipi wakati Kikwete alisema siyo pesa za serikali??!!! Au umesahau?
 
Nakuunga mkono.
Sisi waislamu badala kuiga kujenga hospitali kwenye jamii tunapinga, wakati hizo hospitali tunatibiwa kwa gharama ndogo kulinganisha na binafsi.
Bakwata wameshindwa kusimamia ujenzi wa shule za kisasa na kubaki kizamani na kuongoza kwa failure.
Bakwata inatakiwa ibomolewe iwe taasisi inayoendana na karne ya 21.
Nimeishi nyanda za juu kusini, kuna taasisi za kanisa wameenda kununua maeneo makubwa huko maporini kabisa wakati bakwata wamelala tu wanasubiri mali za wakfu. Inakuwaje mkoa kama njombe au iringa au Songea BAKWATA wanashindwa kumiliki heka walau 100 tu za ardhi kwa uchache.
Roman Catholic kila walipokaa wameshika eneo kubwa sana.
Roman Empire walikuwa na vision kubwa sana kuliko Saud Empire au Bazynite empire.
Taasisi ya bakwata ina lasilimali kubwa sana kuanzia watu,fedha, wafadhili nk ila viongozi wameshindwa kabisa kuwa wabunifu na kubaki kuwalaumu wakrist.
Udhaifu wa viongozi wamejificha katika kuupinga nfumo kristo badala kuonesha uimara wao katika ubunifu na ujenzi wa taasisi imara ya kisasa.
Nakuunga mkono mkuu kwa kuona hilo.
Mtoa mada angesema nasi tujenge hospitali ili tupewe hizo bilioni 30 ningemuona smart badala yake anataka hadi hizo hodpitali nazo zife sijii watu watibiwe wapi.
 
Choko mmoja we, huna ujualo katika dini, yaani hujui dini yako ndio utajua dini yetu?

Huyo ni mjukuu wa mtume na kama alimbusu hilo ni jambo la kawaida wala hakuna ajabu,

Ajabu ipo kwenu watu wazima mnafirana hadi makanisani tena wanaume kwa wanaume na vyeti mnapeana nguruwe pori nyie

Yaani wewe choko la kigalatia hivi yesu aliwafundisha mfirane? Mumwagane mavi? Mtifuane mitaro? Huyo yesu hafai hata kidogo
 
Bakwata ni taasisi iliyoanzishwa na kanisa na mpaka sasa inaongozwa na kanisa, waislamu hawajapata chombo sahihi cha kuwasimamia na wakianzisha harakati lazima warudishwe kwa bakwata wapate saini,

hilo tumelin'gamua sasa tunatafuta njia ya kuiua bakwata na kusimika chombo sahihi kwa ajili ya waislam, bakwata ni mapandikizi ndio ukaona waislam hawapigi hatua, kila wakipanga mipanho ya siri basi kabla hawajatoka kikaoni habari zimeshaenea
Nadhani umenielewa
 
Madrasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ktk kitu kinaniudhi ni sisi waislamu kuendelea kujenga misikiti badala ya taasisi kwa ujimla. Shule, hospitali na msikiti.
Isitoshe misikiti yenyewe haijai.
Wakristo nao wanaendekeza tabia ya kujenga makanisa mengi kuliko shule na hospitali. Hispitali nyingi za wakristo alijenga mkoloni labda vyuo vikuu hilo ndio la kupongeza.
Kiujumla mwafrika bado anashida kichwani kwake. Hapa anajenga bonge la kanisa/msikiti wakati mita mia 300 kuna kishule kimoja duni duni na wazazi wanaojenga ndio walewale kisa tu shule ni ya serikali hawaijengi wakati wanaosoma ni watoto wao.Na hao voonhozi wa dini hawana mda, wanasahau shule ndio zinawadndalia waumini watakaoweza kusoma hizo biblia na misahafu.
 
Hamna hoja, mnahamisha magoli tu na safari hii mmeukalia hata mkijamba hatuwaachii, mbivu na mbichi zitajulikana, either dp au tuchinjane tu, kwanza nyie waoga kweri kweri wa kufa nyie
Mnapoteza muda tu. Jengeni na nyie hospotal mpate ruzuku kama roho zinawauma
 
Swali nakuuliza .
Je hayo makubaliano BAINA YA SERIKALI NA KANISA walihisishwa wananchi ktk hilo jambo?
Au unadhani nchi hii mali ya KANISA!
DR SLAA amesema wazi kuwa alikuwa anasaidia kuleta SILAHA ndani ya kanisa.
Hizo silaha mmeweke wapi.?
Sasa we tazama tu.
Siku kikiwaka hilo kanisa litatamani kupaa.
 
Mbona una chuki mbaya hivyo na wakristu??? Walikufanyia kitu gani kibaya?
 
Wapewe na wao mabilioni kama wanavyopewa kanisa halafu tuone kama hawatajenga,

Jibuni hoja msihamishe magoli, kwanini muendelee kupewa hizi hela? Serikali isimamishe fasta
Kwani katoliki walioewa hayo mabillioni ndio wakajenga,au serikali ilikuta katoliki imejenga ndo inatoa hayo mabillioni? Na kama ni kabla,je waislamu mlikuwa wapi?
 
Labda mimi nipo nyuma ya habari. Ebu toa proof yeyote kama kweli kanisa linapata bil 36 kwa mwezi.
Sio uko nyuma ya habari.
Sema hujui nchi yetu Tanzania inaendeshwa vipi.

Kama una mtandao pekua " Agreement between Tanzania government and The Tanzania Episcopal Conference (TEC)
Kama hujui wapi utapekuwa
Nenda maktaba ya taifa waombe copy ya mkataba huo huenda bado wana copy.

Na kama huwezi hilo una haki ya kwenda serikalini kuuliza. Muhimu uwe mtanzania Sio banyamulenge.

Na km huko ni kugumu nenda kwa Pengo.
Km ni mkweli atakuonyesha Huo mkataba uliofanywa kimya kimya ndani ya paroko .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…