Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Sina chuki na mtu yyt. Na ili tuweze kidumisha huo umoja
Na amani basi ukweli lzm tuseme japo nafsi zipate nafuu kuwa tumeongea wazi
La sivyo vichwa vikipata moto sababu ya dhulma zinazonedelea tunaweza kugeukiana km Rwanda sasa hivi.
Niliposema upunguze stress nilikuwa sahihi.Ni vyema ukaongea humu ndani nyongo yote iishe ili uwe na amani vinginevyo kwa hali uliyonayo sasa ukipewa bomu unajiripua.Kwa kuwa mfumo wetu unadhibiti kuongea haya mambo waziwazi hebu tumia hili jukwaa nafsi yako ipone na iwe na Amani.Chuki uliyomezeshwa haimithiriki!
 
Yaani hata magari ya mapadre yanakuuma?Kwa ulimwengu tulionao.sasa kuendesha gari mbona ni necessity na si luxury ndugu yangu?Nikutoe wasiwasi mapadre.huwa wanachangiwa magari na waumini wao kurahisisha kazi zao
 
Hizi kashfa haziwezi kuwafanya wakristu wasilimu
 
TEC wamedhamiria kutumbukiza taifa hili kwenye machafuko na watatumia mbinu ya wenzao wa Rwanda na hili la kutaka waraka usomwe makanisani kesho ni mwanzo tu wa kuanza kuchochea mambo kama waliyoyafanya Rwanda mwaka 1994.
Tec wameiandikia serikali waraka mbona inakuwa kama waislamu ndio.wameandikiwa?Serikali iliyoandikiwa imepewa mamlaka na sisi tuliyoiweka madarakani.Tatizo liko wapi?
 
Sawa iboreshe hospitali zake sasa ziwe fully fledged ili wawe sawa na hospitali za makanisa kwa ufanisi.
Kwa miaka 10 iliyopita ni zaidi ya trillion 4,unapata hospital ngapi Kama muhimbili!?..Sasa piga hesabu toka 1992,logic ya huo mkataba ni kulilisha kanisa, nothing more
 
JF achane huu uhuni fanyaje haki uzi wangu unajitengemea unakwenda kuunganisha na uzi wa Jun 30, 2009 mnaumia Wakirsto kusemwa mnakela sana.
 
Anza.
 
kama vipi, hizo MOU zivunjwe tu ili muone kama watashindwa kuendesha mashirika yao. hiyo pia itasaidia wao kuajiri watu wao wanaowataka kwenye mashirika yao yanayoendeshwa na sadaka zao. kuweni na akili pia muwashukuru hawa jamaa wanabeba mzigo mzito sana kwa wananchi mlioshindwa kuwahudumia.
 
Mzigo mkubwa wakati hizo taasisi zinazojinasibu na dini zinatoza hela kubwa kwenye huduma zake?
 
Mzigo mkubwa wakati hizo taasisi zinazojinasibu na dini zinatoza hela kubwa kwenye huduma zake?
ndio nasema, waondoe ili hela iongezwe zaidi ya hiyo mnayolipa kwasababu serikali yenu imeshindwa kuwahudumia. shida yenu kubwa ni wivu na elimu.
 
Upo sahihi mkuu,tena mkataba wenyewe hauna ukomo eti
Ile ni MoU sio Mkataba. MoU haina kikomo kwa sababu ni makubaliano tu ambayo yanaweza kuachwa wakati wowote bila athari yeyote kwa pande zote zinazohusika. Mara nyingi baada ya MoU ndio unafuata mkataba ( kama ilivyokuwa kwenye IGA ya bandari). Kinachoshangaza ni pamoja na kelele zote hizi hatujawahi kuonyeshwa mkataba ulioingiwa kati ya makanisa na serikali. Na pamoja na urahisi wa kujitoa katika hiyo MoU serikali imekuwa ikiendelea kuuheshimu ingawa kuna baadhi yawaislamu wamekuwa wakiulalamikia kwa muda mrefu. Inaelekea serikali inajua jambo ambalo hao waislamu hawalijui au hawataki kulijua.

Amandla...
 
Anayedai kuwa upo ndiye anayepaswa kuuweka hadharani na kuanza kuuhoji. Unavyoona umewekwa hapa? Kuna madai serious sana hapo ya malipo ya mamilioni..
Malipo ya mamilioni , mbona hayana ushahidi? Au wewe tuwekee
 
Kabla ya kutuletea sisi tujadili ulitakiwa uende huko kwingine ukawaulize na utupe sababu za makubaliano hayo, lazima zipo sababu za msingi kwa serikali hiyohiyo mnayosema inabagua ni serikali hiyohiyo iliingia makubaliano na jumuia ya Aga Khan, siwezi kuawa na mashaka kwa sababu Aga Khan inatoa huduma nyingi kubwa ambazo zinaziba pengo ambalo serikali imeshindwa kuliziba. Ukiona mfanyakazi mwenzako anapewa posho na mwajiri ujue anakazi ya ziada anayoifanya, chunguza kwanza kabla ya kulalamika.
 
Ninachoweza kukushauri ni ni haya:
Haya makubaliano hayakuja kwa bahati mbaya hata kdg tambua hilo.
Ungesoma ujue kwanini haya makubaliano yalifikiwa usingeandika huu upuuzi!
Uwe na tabia ya kusoma kitu na kuelewa kabla ya kukurupuka "kama kile kitu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…