Issue uliyoleta ni kuhusu ukiukwaji wa katiba kwa serikali . . Kwa njia yoyote ile . . . Itatoa mali yake kuipa taasisi isiyokuwa ya kiserikali hapa ikiwa kanisa a.Sasa, kanisa kwa mujibu wako linapewa fedha na selikali kwa matumizi ya huduma za afya na elimu kwa jamii - kumbuka hospitali kama Peramiho au KCMC.Waislam - (msikiti) wakapewa majengo ya serikali kwa matumizi yao biwmafsi. . . Chuo cha kiislam. Unataka kusema katiba imevunjwa zaidi wapi?
Katiba ikivunjwa imevunjwa. Lazima uelewe ile action ya serikali kuwapa chuo ilikuwa ni Affirmative Action. Hapa Waislamu wamepewa kama minority, baada ya sheria ya nchi kuvunjwa.