Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini


Katiba ikivunjwa imevunjwa. Lazima uelewe ile action ya serikali kuwapa chuo ilikuwa ni Affirmative Action. Hapa Waislamu wamepewa kama minority, baada ya sheria ya nchi kuvunjwa.
 
Soma vizuri kabla ya kupost, ni foreign grants not your taxes.
 
Kwa haya ya Kanisa wale wanaoiponda Serikali ya CCM siku zote leo nawaona wanaitetea! mambo mazuri sana haya. Kumbeee! janja yake panya mimi kwisa tambua.

Wapi CCM imetetewa humu?
 
Kanisa lilinyang'anywa shule na hospitali zake enzi za nyerere mkatoliki,Nyie mlinyang'anywa nini?

Hakuna kitu kama hicho wacha kudanganya umma.

Shule zoote za Aga Khan zilikuwa za Kikatoliki.
 
Halafu wanajiuliza kwa nini Mwinyi alizabwa kibao diamond!
 
Hivi unajua serikali inalipa kiasi gani wanafunzi wanaoenda kusoma MUM pale Morogoro? As a matter of fact kiasi kikubwa cha fedha zinazoendesha MUM ni kutokana na fedha na fedha za serikali kwa wanafunzi wanaosoma pale.

Ni grants au loan? Kile chuo bado hakina vitu vingi sana ambavyo university inatakiwa iwe navyo. In comparison, hii MOU na Kanisa ni sawa na Sisimizi na Tembo.
Hii mistake kubwa sana ya Katiba iliyofanywa na serikali ya TZ. Hapa hamna Equality no more.
 
Sasa ndugu zangu tatizo ni nini hapa? kwani hayo makanisa na misikiti iko kwa ajili ya nani? Si watanzania wenzetu. Ubishi mwingine hauna hata maana ilimradi watu wajibishane tu. Sisi wote watz lakini tumekalia udini usio hata na maana.

Bora serikali iwape hao wa makanisa na misikiti kuliko hizo hela kuliwa na wajanja wasio jali kuhusu maisha yetu.
 
Katiba imevunjwa wapi kaka? kuna ubaya katika mazingira yetu serikali kushirikiana na taasisi za kidini kuleta maendeleo?

Kwa kujadili hizi Memo za Kanisa na Serikali.
Mbona tumekuwa tunalalamika bila sababu za msingi ndugu zanguni?
 
...Ama kweli masikini mpe dini. Kwa mjadala huu, tutasahau kama tuna mgao mkali wa umeme, hakuna chakula cha kutosha ktk wilaya zilizoathiriwa na ukame na ufisadi ulioshamiri kila taasisi ya serikali.
 

Unajua tatizo lipo kubwa sana kwa viongozi wetu ambao hawajui sheria za nchi. Wanavunja Katiba ya nchi kwa ujinga wao.
 
Katiba imevunjwa wapi kaka? kuna ubaya katika mazingira yetu serikali kushirikiana na taasisi za kidini kuleta maendeleo?


Mbona tumekuwa tunalalamika bila sababu za msingi ndugu zanguni?

Serikali ilitakiwe isijuhusishe na upendeleo wowote ktk dini, rangi, kabila, kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Hii MOU na Kanisa, ni tosha kuonesha serikali ilivyokuwa haina muelekeo na nchi hii. Katiba ya nchi imevunjwa kwa manufaa ya hizo taasisi za kidini.
 

Kanisa katoliki linapeleka hesabu zake Vatikan.
 
swala sio ishu ni ndogo au ni kubwa, tueleze katiba ilivunjwa kwa serikali kutoa majengo ya chuo cha tanesco? Na serukali kusaini mou na Imam Aghakhan je?
 
...Ama kweli masikini mpe dini. Kwa mjadala huu, tutasahau kama tuna mgao mkali wa umeme, hakuna chakula cha kutosha ktk wilaya zilizoathiriwa na ukame na ufisadi ulioshamiri kila taasisi ya serikali.

Hapa wanaoiponda serikali tuwaone kama huwa wanawaponda kweli au huwa danganya toto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…