Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Unarudia hoja zile zile. Tujibu basi kupewa bure chuo cha Morogoro serikali haikuvunja katiba?Serikali ilitakiwe isijuhusishe na upendeleo wowote ktk dini, rangi, kabila, kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Hii MOU na Kanisa, ni tosha kuonesha serikali ilivyokuwa haina muelekeo na nchi hii. Katiba ya nchi imevunjwa kwa manufaa ya hizo taasisi za kidini.
Sio kila msaada ni mkopo. After all, watu mnapiga kelele without facts and figures. Makanisa yanafanya mambo makubwa sana hasa kwenye elimu ya vyuo vikuu, hebu tuambie serikali imetoa kiasi gani kwenye ujenzi wa vyuo vyote vya SAUT, TUMAINI, ST JOHN etc.Unajua kwamba hiyo misaada ni loans? na unajua kwamba ni our taxes ndiyo inayolipa hiyo interest rate ktk hizo loans.
Haya mambo ndio yanatushushia hadhi waislamu,na uhakika huwakilishi waislamu kwa kauli hiiKanisa katoliki linapeleka hesabu zake Vatikan.
Sio kila msaada ni mkopo. After all, watu mnapiga kelele without facts and figures. Makanisa yanafanya mambo makubwa sana hasa kwenye elimu ya vyuo vikuu, hebu tuambie serikali imetoa kiasi gani kwenye ujenzi wa vyuo vyote vya SAUT, TUMAINI, ST JOHN etc.
Big up Joka Kuu.
Hauzi kutenganisha mtu na huduma za lazima? Huduma hata kama zime letwa na nani watu hawa chagui.
Wamisionari ndio wa kwanza kuleta huduma kama elimu, mahospitali pamoja na huduma za kiroho.
Sasa hivi wamepanua hizo huduma kulingana na mahitaji ya watu.
Viongozi wote wa anzilishi wamesoma kwenye hizo taasisi. Iweje tuwe na mawazo ya kusema imependelewa.
Mpaka sasa hivyo kama ni huduma bado ni huduma na bora ukilinganisha na za serekali, Serekali lazima ikubali kwa sababu inapungziwa mzigo.
Angalia hata elimu shule bora ni hizo za taasisi . Utatengenasha vipi huduma hiza na jamii mimi naona badala ya kufikiria upendeleo
wa Dini tunge waunga mkono kwa maana wana harakisha maendeleo ya jamii. Tushindane kwa kutoahuduma bora na nzuri. Mbona waislamu hawaongelei watoto wanafanya vibaya sana kwenye Seminari zao?.
Shule nyingi za mwazo ni za taasisi za binfsi, Mahospitali e,g Bugando, KCMC, na hazi wabagui watu kwa dini?
Suala hili la udini lita watafuna watanzania tusipokuwa makini. Naona imewakalia baadhi kwenye mawazo hakuna lolote bila dini.
Dini ni maisha ya kiroho inayo mwelekaza mtu namna na njia ya kupita angali hapa dunia kueleka kwa muumba.
Ni ngeshauri taasisi ziruhusiwe kuendasha huduma za jamii. bila ya ubaguzi wa dini.
Ndugu zangu waislamu tuwe makini na mambo ya udini, tuki endekaza yatatutafuna, tusijifanye polisi wa kuitete serekali.
Kitendao cha kulaamu Maaskofu wa Arusha ni sawa na kwamba mauaji yale yalikuwa haiwa husu waislamu.
Bali zito ni kauli ya Maaskofu.
Mmejiweka sehemu ya Serekali. Hii ni hatari. Tuboresha hudama zetu za jamii mambo ya imani maadili mema tujenayo toka kwenye nyuba setu za ibada watu waone kwa matendo yetu si kwa maneno yetu. Ulimi ni kiungo kidogo lakini la weza angamiza tulinde maneno ya vinywa vyetu.
Tutafute ukweli na halisia badala ya kuparazi. Tusishabikie udini na viongozi walioko madarakani maana ni wa awamu tu.
Vita vya kiimani ni mbaya na mota hautazimika. Ndani ya familia moja kuna wasio na dini, wakristu na waislamu sasa hapo kazi sijue ianze ndani familia au kwa jirani.
Mkuu, huyo ni pro ccj, anawakilisha mawazo ya nape na sitta.Haya mambo ndio yanatushushia hadhi waislamu,na uhakika huwakilishi waislamu kwa kauli hii
Unadhani kanisa halina uwezo wa kuendesha hospitali zake?
pili,unajua maana ya MOU kisheria?
Tatu,Tupe ibara ya katiba URT,1977 iliyovunjwa?
Nne,tupe hospital,mashule na vyuo vinavyotoa huduma bora vya waislamu?
Unakubaliana na mimi Serikali imevunja katiba kwa kutoa majengo ya kwa ajili ya chuo chetu Morogoro?Serikali ilitakiwe isijuhusishe na upendeleo wowote ktk dini, rangi, kabila, kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Hii MOU na Kanisa, ni tosha kuonesha serikali ilivyokuwa haina muelekeo na nchi hii. Katiba ya nchi imevunjwa kwa manufaa ya hizo taasisi za kidini.
Haya mambo ndio yanatushushia hadhi waislamu,na uhakika huwakilishi waislamu kwa kauli hii
Kwa hiyo kaka na sisi tuandae MoU yetu tuwe ngoma dro?Hivi nyinyi mnalinganisha Majengo ya Tanesco Morogoro na Thamani ya pesa au nyenzo ambazo serikali inalisaidia kanisa Continously?, Majengo ya Morogoro yalitolewa once, lakini Mou ya kanisa na serikali hayajaweka kikomo ni lini serikali itaacha kufanya hii kazi ya kanisa!.
Sishangai hata kutusikia tukilalamika kuwa serikali inapendelea shule za kikristo ndio maana wanafaulu sana.Ndugu zanguni tukiendelea hivi wasilamu hatutafika mbali tutalalamika wenzentu wanapiga hatua.Fursa zipo sisi tunalala.Kama ni suala la MoU ni tatizo basi na sisi tuandae yetu maisha yaendeleeKitu kingine ni kwamba Majengo ya Morogoro serikali iliyatoa kwa kujikosha tu baada ya waislamu kuiandama sana kuhusiana na mauaji ya Mwembechai na kelele za kunyimwa haki, na pia kelele hizi hizi za Mou ya serikali na kanisa
Unakubaliana na mimi Serikali imevunja katiba kwa kutoa majengo ya kwa ajili ya chuo chetu Morogoro?
By Popooo
Big up Joka Kuu.
Hauzi kutenganisha mtu na huduma za lazima? Huduma hata kama zime letwa na nani watu hawa chagui.
Wamisionari ndio wa kwanza kuleta huduma kama elimu, mahospitali pamoja na huduma za kiroho.
Sasa hivi wamepanua hizo huduma kulingana na mahitaji ya watu.
Viongozi wote wa anzilishi wamesoma kwenye hizo taasisi. Iweje tuwe na mawazo ya kusema imependelewa.
Mpaka sasa hivyo kama ni huduma bado ni huduma na bora ukilinganisha na za serekali, Serekali lazima ikubali kwa sababu inapungziwa mzigo.
Angalia hata elimu shule bora ni hizo za taasisi . Utatengenasha vipi huduma hiza na jamii mimi naona badala ya kufikiria upendeleo
wa Dini tunge waunga mkono kwa maana wana harakisha maendeleo ya jamii. Tushindane kwa kutoahuduma bora na nzuri. Mbona waislamu hawaongelei watoto wanafanya vibaya sana kwenye Seminari zao?.
Shule nyingi za mwazo ni za taasisi za binfsi, Mahospitali e,g Bugando, KCMC, na hazi wabagui watu kwa dini?
Suala hili la udini lita watafuna watanzania tusipokuwa makini. Naona imewakalia baadhi kwenye mawazo hakuna lolote bila dini.
Dini ni maisha ya kiroho inayo mwelekaza mtu namna na njia ya kupita angali hapa dunia kueleka kwa muumba.
Ni ngeshauri taasisi ziruhusiwe kuendasha huduma za jamii. bila ya ubaguzi wa dini.
Ndugu zangu waislamu tuwe makini na mambo ya udini, tuki endekaza yatatutafuna, tusijifanye polisi wa kuitete serekali.
Kitendao cha kulaamu Maaskofu wa Arusha ni sawa na kwamba mauaji yale yalikuwa haiwa husu waislamu.
Bali zito ni kauli ya Maaskofu.
Mmejiweka sehemu ya Serekali. Hii ni hatari. Tuboresha hudama zetu za jamii mambo ya imani maadili mema tujenayo toka kwenye nyuba setu za ibada watu waone kwa matendo yetu si kwa maneno yetu. Ulimi ni kiungo kidogo lakini la weza angamiza tulinde maneno ya vinywa vyetu.
Tutafute ukweli na halisia badala ya kuparazi. Tusishabikie udini na viongozi walioko madarakani maana ni wa awamu tu.
Vita vya kiimani ni mbaya na mota hautazimika. Ndani ya familia moja kuna wasio na dini, wakristu na waislamu sasa hapo kazi sijue ianze ndani familia au kwa jirani.
Mhh sasa tunajiabisha ndugu zangu,kujenga shule zetu laizma tuwe na MoU? jamani jamani muogopeni Mungu.Tuseme ukweli dada Faizah ni wapi umeona serikali imewajengea wakristo shule au chuo? nimewashuhudia wakristo wakifanya fundrising ya kujenga shule zao,sisi tunafanya fundrising ya kumtoa mwaliWaislaam wayatowe wapi wakati wao hawana MoU na serikali?
Kwa hiyo kaka na sisi tuandae MoU yetu tuwe ngoma dro?
Sishangai hata kutusikia tukilalamika kuwa serikali inapedelea shule za kikristo ndio maana wanafaulu sana.Ngugu zanguni tukiendelea hivi wasilamu hatutafika mbali tutalalamika wenzentu wanpiga hatua.Fursa zipo sisi tunalala.Kama ni suala la MoU ni tatizo basi na sisi tuandae yetu maisha yaendelee