Hebu jikite wewe basi ili ucompliment maelezo yake - kama alivyosema mwenyewe Dr.Ha ha ha! amejikita kwenye historia ya MoU lakini HAKUJIKITA KWENYE MKATABA WENYEWE UNASEMAJE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jikite wewe basi ili ucompliment maelezo yake - kama alivyosema mwenyewe Dr.Ha ha ha! amejikita kwenye historia ya MoU lakini HAKUJIKITA KWENYE MKATABA WENYEWE UNASEMAJE!
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Mkuu mnataka serikali iwape ruzuku kwaajili ya kuchoma makanisa?Mimi nilichogundua ni kuwa CDN na CCT/TEC ni faces of the same coin! Hushangai wapambanaji wa KANISA ndio hawa wanaopigania MOU!
Mkuu Darasa linasaidia sana hawa jamaa wanakaririshwa ndio maana huwezi kuwa badilisha saa hizi wakina Ritz na Mingoi wanagoogle ili wajekupast uchafu wao hapathanx dk kwa maelezo yako naomba ukipata muda uje utueleze kuhusika kwako na vurugu na mauaji ya mwembe chai.nipata kuona habar kwenye gazet la al nour[sijui kiarabu]mm nadhan ilikuchafua sana na kupunguza kura zako hasa ilipo fananisha na rwanda gc
Labda anaweza kuja na part 2, kuwa na subra.Hebu jikite wewe basi ili ucompliment maelezo yake - kama alivyosema mwenyewe Dr.
Unauhakika kuwa mashek wengi hawana uwezo wa kufanya resarch?Dr.Tunashukuru kwa ufafanuzi wako mwanana.Serikali ya CCM inaelewa ukweli wote lakini kwa makusudi inawahadaa Waislamu kwa kutowaambia ukweli ili watu wafarakane kidini na yenyewe ipumue kwani ina stress ya kushindwa kuwaletea Watanzania Maisha Bora iliyowaahidi.Inaelewa Mashekh wengi(mf.shekh Ponda)hawana uwezo wa kufanya Research na hivyo ni wepesi wa kudanganyika.Serikali makini haiwezi kutegemea Cheap politics kama hizi.Tujiulize,Muda wote huu Waislamu wanavyopiga kelele kuhusu MOU kwa nini Serikali yenye kuujua ukweli wote isiwaambie ukweli?Hapo ndipo wenye akili huamini kwamba Waislamu hutumwa kuhubiri chuki.
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
Tulipeka copy ya hiii yenu wakatutolea nje
ndo maana tumerudi tena kulalamika
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Ungepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?Tusisahau kuwa mpaka sasa maaskofu wametoa option mbili,serikali kuwaelezea uma ni nini kilichomo ndani ya MOU(sidhani kama kuna maelezo zaidi ya alioeleza Dr Slaa) au kuvunja MOU ambayo madhara yake yatakuwa makubwa kwani operational/administrative cost zitaenda kwa mtanzania pasipo kujali dini,kabila wala chama mfano sasa ivi kuna manesi/madokta wanaolipwa mshahara na serikali moja kwa moja kutokana na MOU kama mambo yakibadirika sio siri kuwa x-ray itakuwa 150000,wakina shehe ponda wajiulize ni waislam wangapi watamudu iyo????