AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Dr. Slaa kaelezea kwa kirefu tu mantiki nyuma ya MoU. Nimeelewa.
Ungepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?
Je, Serikali iendelee kutoa pesa hizi mpaka lini? na baada ya miaka 20 mingine ni kiasi gani cha pesa itafikia? ni bora kuukata huu mrija sasa hivi kuliko kuja kukaa chini baada ya miaka 20 ijayo na kujilaumu kuhusu kiasi cha fedha zilizoachiwa kutiririka na kulineemesha Kanisa huku serikali ikiendelea kulitegemea Kanisa (hata baada ya miaka 20 ijayo).
Ni lazima kuwe na mwisho wa upelekaji wa hizi pesa Kanisani na wakati bora ndio huu.
Unauhakika kuwa mashek wengi hawana uwezo wa kufanya resarch?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mimi nilichogundua ni kuwa CDM na CCT/TEC ni faces of the same coin! Hushangai wapambanaji wa CHADEMA ndio hawa wanaopigania MOU!
Je, wafahamu na dhehebu za Kiislamu nazo zimenufaika sana?
Je niwangapi wanafahamu Aga Khan ni equivalent ya Papa wa Ismailia kama ilivyo Papa Benedict kwa wakatoliki?
Hizi hapa mali za dhehebu la Ismailia:
1. Aga Khan University
2. Aga Khan Hospitals
3. Diamond Trust Bank
4. Dar Es Salaam Serena Hotel
Mzizima au Shaaban Robert ilikuwa ya Ismailia pia. Baada ya kutaifishwa ndio watoto wa kimatumbi nao wakaanza kuhudhuria.
Shyrose Banji ni muismailia. Ndio maana mpambanaji.
Ungepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?
Je, Serikali iendelee kutoa pesa hizi mpaka lini? na baada ya miaka 20 mingine ni kiasi gani cha pesa itafikia? ni bora kuukata huu mrija sasa hivi kuliko kuja kukaa chini baada ya miaka 20 ijayo na kujilaumu kuhusu kiasi cha fedha zilizoachiwa kutiririka na kulineemesha Kanisa huku serikali ikiendelea kulitegemea Kanisa (hata baada ya miaka 20 ijayo).
Ni lazima kuwe na mwisho wa upelekaji wa hizi pesa Kanisani na wakati bora ndio huu.
Duh!
Ama kweli ****** mna mambo!
Hamlali?
sasa kuna watu wanataka kubadilisha maneno mara ohh Ujerumani mara ohhh sijui nini
waislam walipopeleka MoU yao ambayo ilikuwa ilikuwa sawa na hii wakaambiwa ohhh fanyeni Subra kwanza kuja kushtuka too late.
Mimi naona badala ya kubishana kila mmoja apige madili kivyake au mnasemaje maana hapa ni ngumu kutaka FAIR PLAY wakati the entire game is UNFAIR
Hata bugando kumbe ilikuwa hosptali ya kanisa! Hapa nimepata kitu.
Hivi Muslim University of Morogoro si mlipewa Bure au
Slaa kasema vizuri tu,msingi wa mou ndio huo waislam wenzangu,masheikh waache sasa hii habari jambo la msingi walilopaswa kulivalia njuga ni urejeshwaji wa mahakama ya kadhi ambayo mkapa aliwaahidi waislam akiwa mwenyekiti wa ccm na kuonyesha msisitizo kwamba jemedari mkapa alipania kutupatia waislam kadhi kama alivyopigana kiume licha ya upinzani mkali wa kanisa kuhakikisha chuo kikuu cha kiislam kinaanzishwa ndani ya utawala wake,tatizo la utekelezaji wa uanzishwaji wa mahakama ya kadhi lilianza kulegalega walipoingia madarakani kikwete na lowassa angekuwepo mkapa muda huu mahakama ingekua ilishaanza muda mrefu,masheikh muulizeni kikwete kwanini aliiondoa kabisa kwenye ilani issue ya mahakama ya kadhi?????????pengine tuanzie hapo,mjadala wa mou umefungwa rasmi sababu ni wa kitoto
kwanza umeielewa MOU inafanyaje kazi au umekurupuka tu kama umebanwa na mavi?
kwahiyo tuseme BAKWATA na CCM ni face of the same coin?
Asante kwa kutambua kwamba chadema ni chama kinachotetea haki na usawa wa watu, kwakuwa umekiri mwenyewe kuwa kila anayetetea haki. na usawa humu ni mpambanaji wa chadema!
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?