Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini


Ndio lengo kwamba mwisho wa siku wote tukasome kanisani? Hii unayoona bla blaa ndiyo MoU inayowanufaish nyie wakristo. Sitegemi wewe unisupport ila nafanya hivi makusudi ili mwisho wa siku uelewe kwamba mnachofanya ni dhulama.

Serikali inawezaje kuwa na aina hii ya dhulma kwa kundi fulani la jamii?:

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

 

Mkuu heshima mbele yako.

Mjadala huu hauwezi kufungwa kwa maneno ya hapa JF inahitajika hekima na busara za juu kuweka wazi MOU nini, nani wanafaidika nayo kama ni watanzania wa kundi moja au makundi yote kwa mantiki ipi.

Naunga mkono tamko la Maaskofu kama hili suala haliwezi kuwekwa wazi ili walalamikaji wakaelewa ni bora zaidi kufuta MOU kwa faida ya amani ya nchi.


lakini pia suala la kwamba Fedha zinatoka kanisa za Ujerumani ni mjadala mpya tunapoambiwa serikali ilishirikishwa tu (Observer) tunahitaji kuzama zaidi...... vyombo vingine zaidi ya SLAA kutoa ufafanuzi huu.
 
Dr. Ulikuwa wapia baba wakati wahuni walipokuwa wanaiharibu nchi na kuigawa vipande vipande?Hata hivyo shukrani za dhati kwa mleta MOU na pia Dr. Slaa maelezo ya historia/mantiki ya MOU.
 

Naona Professor wa Madrasa unashusha nondo hivi mmeanza na kusoma vitabu vingine siku hizi Madrasa?
 

Lile neno kwamba serikali ni observer ni zuga ----- tu. Ukweli wenyewe uko kwenye hivi vipengele viwili hapa chini:

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.


Hivi observer anapangiwa kazi ya kuliombea kanisa misaada nchi za nje? Hivi observer anapangiwa kazi ya kutoa upendeleo maalum wa nafasi za masomo?

Kama hiyo ndiyo maana ya observes labda hilo neno limepewa maana nyingine katika tafsiri ya lugha!
 
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.

aisee babaangu kumbe na bakwata walikuwepo!
 

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo hadi unatia hasira
Hizo shule si zinahitaji walimu? hizo nafasi za ualimu zinazotolewa kwa hao watu sio Watanzania? Je ni nani ananufaika na huduma za hao walimu? Si ni watanzania wote bila kujali dini zetu?
Ujerumani kupitia makanisa yao yalikuwa tayari kutoa msaada wa kifedha kwa Makanisa kwa ajili ya hizo shule na hospitali Serikali kufacilitate hili kuna kosa gani? Ukizingatia kuwa ni Wanachi wake wote bila ubaguzi ndio wanao nufaika?
 
No Research,No data, No right to speak ...
Watoka povu kule MUM,haswa ndio wanaowalisha matango pori wenzao(kipofu kumwongoza kipofu) ,kama sio MOU wangekua wanaanza kuandika from last page always.
 
Hapo mwanzo nilijua kuwa serikali haitoi fedha taslimu bali inatoa ruzuku kwa huduma za kijamii zinazotolewa na kanisa lakini sasa kuna suala la makanisa ya ujerumani limeingia ndani ya hoja hii. Inachanganya kidogo.
 
Bila Kanisa hakuna Tanzania yenye elimu, afya, etc. Kanisa ndio kitovu cha maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Uislam ni industry ya malalamiko due to their inferiority complex.
 
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi

mbona unaongea pumba? Hakuna sehemu aliyoandika hayo yote mawili. Yeye kaandika kama mchangiaji anayeifahamu mou kama wachangiaji wengine wanavyotolea ufafanuzi kwenye mambo wanayoyafahamu. Wakati mwingine tuwe japo critical thinker japo kidogo tu!
 

baada ya mabadiliko makubwa ya huduma za jamii hapa nchini ikiwamo elimu mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 80 na 90 serikali haisomeshi tena watu bure, na ndio maana inatoa mikopo kwa baadhi ya watanzania wasiojiweza sasa ndugu yangu sikuelewi, nafasi za upendeleo kivipi? akisoma mfanyakazi wa hospitali ya kanisa udsm mwenye sifa na akapata mkopo loan board kama mtanzania mwingine ndio unaita nafasi za upendeleo?!!!. Kwa vyuo vya elimu ya kati na sekondari serikali inafadhili wanafunzi wa kitanzania kulingana na mahitaji na umuhimu wa fani zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali huyu ataenda kufanya kazi serikalini au taasisi yoyote ya dini . Kuna baadhi ya hospitali za madhebu ya dini zinatumika kama hospitali za rufaa , mkoa na wilaya na zinawahudumia watanzania wote mkiwamo waislamu sawa na hospitali nyingine ya serikali je mtanzania mkristo anyekutibu pale bugando au kcmc akipelekwa fo further studies na kwa hela za walipa kodi anowahudumia ni vibaya? Au wakristo siyo sehemu ya wananchi wa Tanzania?. Swali lako la pili inaonyesha hata mchango wa slaa na kilichomo ndani ya MoU HUELEWI KITU! WAISLAMU NASHINDWA KUWAELEWA NYIE NI KIZAZI GANI!!!
 

Hamna ugomvi hapo wa eti tulimalize kwa Amani ni uwezo wao mdogo tu wa kufikiri ndo unawafanya wapige kelele na unaweza kukuta hao wanaopiga kelele wanatibiwa kwenye hizo hospitali na watoto wao au wao wenyewe wamesoma kwenye hizo shule.Kuna uwezekano mkubwa Bakwata walijitoa/Walitolewa kwasababu hawakuwa na Maslahi yoyote hapo kwa maana hawakuwa na shule au hospitali zilizotaifishwa au hawakutegemea kupata msaada wowote kwa wahisani kuziendesha shule na hospitali zao kumbuka msingi wa hii MOU ni msaada wa wahisani kuziendesha shule na Hospitali za makanisa
 
Tusibishane tu kwa sababu tunatafuta mshindi bali tubishane kutafuta suluhu. suluhu ya kweli itapatikana tu kwa kupata taarifa sahihi zinazohusu MOU kutoka chanzo sahihi.
 
Padri slaa hebu tueleze kwa mwaka mnapewa mabilion mangap na pia tungefurah kama ungefafanua ushiri wako wa ktk mkutano uliofanyika ikulu kipind ukiwa mtumish wa mungu kuhusu malalamiko mliyopeleka ikulu kutaka nyama ya nguruwe iuzwe ktk mabucha
 
... 1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa? ...
Mkuu Freshthinking, hebu soma kipande hiki cha hotuba ya Rais Kikwete kwenye baraza la Idd. Aliwaambia wazi waisilamu kuwa wakristu wana MOU na serikali kwa kuwa waliomba, sasa msiwazuie walioomba jambo zuri ila badala yake na ninyi ombeni, na kama mna sifa za kupewa, mtapewa. Soma hapa:


Hotuba yote imenukuliwa hapa: HOTUBA YA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE BARAZA LA EID-EL-FITR, DODOMA AGOSTI 2011 - Global Publishers
 
Pamoja na kukugongea 'Like' lakini serikali ikumbuke swala kubwa tunalotaka kulisiia kwasasa ni mabilioni yaliyoko uswiss...wasije wakatumia issue hii kupotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…