Freshthinking
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 621
- 108
blaza sasa hizo shule za kanisa wanasoma wanyarwanda au watanzania?mbona waislamu wamejazana ktk shule za kanisa na wanafundishwa na walimu hao ambao hutaki serkali iwatengeneze? tatizo unachangia mada uku ukiwa na mtazamo hasi dhidi ya mou so kwako kila kitu utakiona ni uonevu....
Ndio lengo kwamba mwisho wa siku wote tukasome kanisani? Hii unayoona bla blaa ndiyo MoU inayowanufaish nyie wakristo. Sitegemi wewe unisupport ila nafanya hivi makusudi ili mwisho wa siku uelewe kwamba mnachofanya ni dhulama.
Serikali inawezaje kuwa na aina hii ya dhulma kwa kundi fulani la jamii?:
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?