Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.

Hapana! Dr.W.Slaa kitaalamu ni Mwanasheria wa Sheria za Kanisa (Canon Law) ila amewai kujitolea kuwa Mtumishi wa Mungu (Padre). Hakuna taaluma za Upadri, Uchungaji, Uaskofu, Uinjilisti, etc!

TUMBIRI (PhD, HULL City - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 

sio lazima kusoma kanisani kama hutaki unaweza kwenda ata shule ya kata bt kumbuka wazee wenu waliokua na mawazo kama yako ya kukataa kusoma shule za kanisa ndo yamewafanya muwe na kizazi dhaifu kielimu dhidi ya wakristo na wewe na wenzako wenye mawazo kama yako ndo mnazidi kukididimiza kizazi cha waislamu kielimu so msilalamike mtakapokuta nchi imeshikwa na wakristo wenye elimu ya uhakika kwa maana mnaikataa elimu wenyewe kisa inatolewa na kanisa...
 
Nashukuru kwa kupata maelezo ya kutoshereza kuhusu MOU, Kwa ufupi wezetu WAISLAM kipindi hicho hawakuwa na chakuchangia katika MASHULE yaliyo taifishwa maana hawakuwa na shule wala Hospitali ndio maana hawakuweka mkataba wa kutokutaifishwa tena shule na hospitali zao, sasa hawa wenjetu wajitokeze waseme wameelewa au hawajaelewa?
 

hapo kwenye red kuna mjadala ama fedha zote zinatoka kwa wahisani au serikali pia inatoa. Sina jibu ni swali tu. Kama serikali inatoa basi pia tunahitaji kuwa na taarifa za kina kwa kiasi gani na kama haitoi tunahitaji kujua.

Ni kitu gani kimezuia taasisi zingine za dini kupata?

je kuna mkono wa kanisa kuzuia hilo?

Je, kuna mkono wa waislamu kujizuia kupata?

je kuna haja ya kuwepo MOU katika mazingira ya malalamiko ya sasa hasa kama serikali inahusika?
 
Unaja nyie waislam kuna watu wenu wenye chuki binafsi na UKRISTO ndiyo maana huwa wanakurupuka bila kufanya utafiti na kuanza kuzua kashfa ili kuwatia waislam hasira ili waonekane wanaonewa. Hao wachambuzi wenu UCHWARA wa redio iman, akina FILAMBI nk huwa wanatumwa na chuki na siyo uhalisia.

Wametumia muda mwingi kumtukana Nyerere eti amewakandamiza waislam, kumbe Nyerere lengo lake ilikuwa ni kutaifisha mashule ili waislam nao wapate elimu, hivyo aliwapunguza wakristu kasi ya maendeleo. chuki Sasa MOU hiyo hapo someni, aibu kwenu, tafuta staili nyingine ya kueneza za kidini Tanzania

Kama waislam hamjasoma hilo ni tatizo la desturi yenu, mpaka sasa bado mpo kwenye debate kama elimu dunia ni sawa au la, Parkstan kuna binti alipigwa risasi kisa anaamasisha wasichana waende shule. Ukienda Mombasa Kenya utaona jinsi waislam wasivyotaka shule. Nenda Asia uangalie kiwango cha elimu na sayansi kati ya nchi za kiislam na zisizo za kiislam kama JAPAN, KOREA, CHINA nk.

Nenda pwani mwa Tanzania uone jinsi watu wanavyocheza bao siku nzima na kunywa kahawa. WAISLAM TAFUTENI UKWELI NDIPO MJIKWAMUE HAPO MLIPO, ACHENI PROPAGANDA ZA KISHETANI ZA AKINA REDIO IMAAN NA AKINA PONDA
 
Hotuba ya JK baraza la Idd inaendelea:

cc Freshthinking
 
Padri slaa hebu tueleze kwa mwaka mnapewa mabilion mangap na pia tungefurah kama ungefafanua ushiri wako wa ktk mkutano uliofanyika ikulu kipind ukiwa mtumish wa mungu kuhusu malalamiko mliyopeleka ikulu kutaka nyama ya nguruwe iuzwe ktk mabucha

huu upumbavu umerithishwa.!
 
Mimi nilichogundua ni kuwa CDM na CCT/TEC ni faces of the same coin! Hushangai wapambanaji wa CHADEMA ndio hawa wanaopigania MOU!

Kwa nini iwe cdm na asiwe Lowassa aliyesaini MOU Yenyewe? au una Upungufu wa kinga mwilini ya kukabiliana na wapambanaji wa cdm?
 
Kama mwananchi anayefahamu kinachojadiliwa. Unamuita babu ndo aliyemzaa nani kati ya baba au mama ako!?
Watu kama hawa ndiyo huni sababisha nipigwe ban mara kwa mara kwa kukosa uvumilivu kwasababu kejeri nazijua na matusi nayajua hivyo ninapoona kiongozi wangu akitukanwa au anakejeriwa lazima ni jibu.....
 

Mungu si Athman! Propaganda za ukanda mnazozieneza dhidi ya CHADEMA hatimae na za udini zimeanza kuwagawa Pro-CCM humu jamvini. MAMA POROJO ile kazi ya ukanda unayoifanya dhidi ya CHADEMA madhara yake ni kama haya unayoyasema.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kwamba mjadala huu unahusu MOU ya kati ya serikali na taasisi za dini za kikiristo wachangiaji wengi wanakwepa kujadili ukweli na badala yake wamejikita kwenye dini zao ili uwe balance ni vizuri ikaletwa MOU kati ya serikali na Aghakhani pia tuijadili tuone kama kweli inamnufaisha mwananchi wa kawaida bila kujali dini yake lakini mjadala huu ungekuwa ni wa afya zaidi kama ungejikita kuangalia namna gani mwananchi wa kawaida ananufaika bila kujalio dini yake
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti

Usiwe mlemavu wa akili wewe! Hospitali za Serikali huwa hamlipii matibabu? Serikali inachangia sehemu ya gharama za uendeshaji tu kwa ajili ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma. Km serikali imeshindwa kutoa huduma bure kwy vituo vyake ndo waweze vya binafsi? Je serikali inabagua chuo cha binafsi yoyote au wanachuo wa dini yeyote? Unajua ukijikita ktk MAJUNGU hata uwezo wa kufiri unadumaza mwenyewe.
 

Haya ndo Maswali ya Msingi Waislamu wangepaswa kuhoji kupata ufafanuzi kuliko kukimbilia habari za mfumo Kristo hata mimi sina jibu la moja kwa Moja lakini kwenye kipengele cha finacial assistance kwenye Mou kinazungumzia habari ya Bilateral negotiations na Ujerumani ambao hisani yao ndo msingi wa hii Moi so kunauwezekano Moi inataka wakati serikali inapokea misaada toka ujerumani mengine ije kusaidia hizo taasisi sina uhakika hapa tunahitaji ufafanuzi wa Serikali au Kanisa
 
Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.

Ujinga ni kusema fulani ni Mwenyekiti kitaaluma, Fulani ni Rais by profession, Fulani ni Mbunge by Profession!
Lini mtapata akili nyie?
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti

bakwata wao wanatoa huduma gani kwa jamii yetu...think twice bro...
 
At times when politicians seem to have failed to deliver, they will turn to the most primitive of human instinct - RELIGION!
 
Well, kama MOU inawakera basi ishawishini serikali iivunje, makanisa yarudishiwe huduma zote za kijamii yalizokuwa yanazitoa kabla ya utaifishaji, yakiwemo mashule, hospitali na hata visima vya maji vilivyojengwa na kanisa virudishwe kama ambavyo ninyi mnajimilikisha visima vya maji Dar kwa kuvifunga na makufuli kabisa.
 

Tusiende huko ( Hospital, Mashuleni ) kwanini Wakati kodi zetu zina enda huko? Tumieni michango yenu ya kanisani kuudumia shule, hospital zenu alafu muone kama kuna muislam atakae kanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…