Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona Dr Slaa haongelei hayo mabilioni ambayo Serikali inawapatia makanisa kila mwaka chini ya hiyo MOU? au ni kuna MUO nyingine tena? Dr Slaa tunaomba uliongelee hilo nalo ili tuwekane sawa kuwa upande mwingine wa jamii hawanyonyeki chini ya huo mkataba. Tunaomba pia ufafanuzi juu ya serikali kutoa pesa kuchangia maendeleo ya kanisa kama inavyosomeka ktk hiyo MOU. Itasaidia kuondoa wingu la malalamiko baina ya jamii ya watanzania. Mos usifute ujumbe huu tafadhali
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
easy,go easy mr great thinker,,hivi kwanini waislamu mnapenda kujivika majoho ya ujinga?
Umesoma tamko la maaskofu la juzi? Maaskofu wameitaka serikali iondoe ukimya, iulezee umma wa watanzania hasa walalamishi waislamu juu ya mou na kanisa. Na kama serikali inaona hakuna sababu tena ya kuendelea kuwepo kwa mou kati ya serikali na kanisa. Basi serikali ivunje mou na kanisa. Lakini hadi leo serikali ya mh. Jakaya khalfani kikwete iko kimya as hakuna kitu kichoendelea.
Lakini hii ni calculated move ya ccm ya kuendelea kuwatumia waislamu kama toilet papers kwa kisingizio hicho hicho cha mou. Khalfani kikwete vunja mou na kanisa uwasaidie waislamu wenzake tuone kama wataweza kujenga hospitals, shule na hata kuendesha mahakama ya kadhi.
Btw, ni serikali alhaji alli hassan mwinyi ndiyo iliingia mou kati ya kanisa na serikali. Sipati picha kama ingekuwa serikali ya nyerere sijui akina mohammed said, riz1, sadeeq etc wangesemaje? Nafikiri wangekwishajilipua hawa watu!!!.
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.
Ahali yangu suala langu ni pana sana linahitaji ufikiri na sio kutoa majibu rahisi kama yako.
Jiulize sababu za MoU hiyo za miaka hiyo mpaka leo zipo valid?
Je kwanini Serikali isijenge zake?
Je unajua makanisa haya yanachukua Serikalini kiasi gani kama admin fee kwa kukodisha majengo?
Kumbuka kuwa wanasamehewa misamaha ya kodi mbalimbali na vile vile Serikali kuweka wataalamu na wafanyakazi wake kuendesha hizo facilities.
Think before answer
Kwa nini kitabu kimoja tu ndio kisomwe? Tanzania yote inaweza kuandikwa na mtu mmoja tu na ndiye akawa na facts zote?
Sema kwamba, shule zote za wakristo zirudishwe na zile za waislam zirudi. Au sio.
l
Naona hapa unataka kusema kuwa waislam warudishe kile chuo cha Tanesco walichopewa na serikali na wamekifanya chuo kikuu cha kiislam.
Chama cha mapinduzi kimetawala Tanzania kwa miaka kibao sasa. Viongozi wa ccm wengi ni waislam, kwa nini wanawaonea waislam? masikini waislam wanaonewa na waislam wenzao?
Kama vile ambavyo serikali imekuwa inasaidia mahujaji?!
Kama vile ambavyo wakati wa Mkapa waislam walikuja na chokochoko na misemo ya mapanga shaa shaa. Same standard au vipi?
1) DR Slaa anasema hata hiyo MoU alikuwa haijui mpaka ameiona JF! Hapa natumia akili ya kuzaliwa pia kwa vile hata yeye ni mwanadamu na ana utashi wake. Swali la kwanza ni kwa nini kanisa litake upendeleo kwenye vyuo vya ualimu ambavyo vinagharamiwa na kodi za watanzania wote wakristo na wasio wakristo? Kumbuka mwisho wa siku hizo taasisi zinabaki kuwa mali ya kanisa na kuendeshwa na kanisa kwa manufaa ya kanisa sio watanzania.
2) Waislamu huwezi kuwaelewa ni wa kizazi gani ikiwa DR Slaa ambaye naye anataka kuwa rais wa Tanzania ameshindwa kuona kosa la MoU liko wapi.
3) Kwanini muilazimishe serikali kwenye MoU ikawaombee misaada nje ya nchi kwa manufaa ya kanisa badala ya serikali kufanya kazi kwa manufaa ya raia wake wote?
.....Kama mnavyoona mimi nilikuwa nafahamu historia yote, nafahamu MOU, lakini sikuwa nayo. Mtu huwezi kujua kila kitu na au kuwa na kila kitu, we need to complement each other. Tunaweza tukidhamiria, na JF itabaki na hadhi na heshima yake daima.
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
I hope hii MOU ni Ya ukweli, sio chapisha chapisha, I question as to why the copy was never accesable to the HON DR SLAA, ikabidi iwekwe hapa na mtu mwengine, and than we suddenly see the HON Dr coming up with these full length explanations. I also wonder if the HON DR will he ever make an Impartial Leader who shall never succumb in Religion Favourism and total Nepotism like the claims of Wana CDM kuwa The First Lady to be runs the show at the CDM HQ. Lets be very coutious NDUGU WATANZANIA
kwa vile umejitwisha jukumu la kumjibia basi jibu kwanza "Sasa mbona Dr amesahau kuelezea ilikuwaje mpaka serikali inakuwa inachota hazina fedha na kuyapatia makanisa peke yake?"
Hivi kwanini WAISLAMU mnapenda kujivika majoho ya UJINGA?
Umesoma tamko la maaskofu la juzi? Maaskofu wameitaka serikali iondoe UKIMYA, iulezee umma wa watanzania hasa walalamishi WAISLAMU juu ya MoU na kanisa. Na Kama serikali inaona hakuna sababu tena ya kuendelea kuwepo kwa MoU kati ya serikali na kanisa. Basi SERIKALI ivunje MoU na kanisa. Lakini hadi leo serikali ya Mh. Jakaya KHALFANI Kikwete iko kimya as hakuna kitu kichoendelea.
Lakini hii ni calculated move ya CCM ya kuendelea kuwatumia WAISLAMU kama toilet papers kwa kisingizio hicho hicho cha MoU. Khalfani Kikwete vunja MoU na kanisa uwasaidie Waislamu wenzake tuone kama wataweza kujenga hospitals, shule na hata kuendesha mahakama ya kadhi.
BTW, ni Serikali ALHAJI Alli Hassan Mwinyi ndiyo iliingia MoU kati ya kanisa na serikali. Sipati picha kama ingekuwa serikali ya Nyerere sijui akina Mohammed Said, Riz1, Sadeeq etc wangesemaje? Nafikiri wangekwishajilipua hawa watu!!!.
si kweli,yapo mengi sana umeyaacha kwenye mission & visions za oic,na zipo nchi nyingi za kiafrika kama tanzania ambazo sio islamic states au arabic states zilizojiunga na oic kwa manufaa ya kiuchumi pia,kama unaibana hoja hiyo,vip waislam wakija na hoja ya kuwepo kwa uwakilishi wa vatican hapa nchini??uwakilishi huo ni kwa manufaa ya upande upi baina ya pande hizi mbili??
oic ina takriban nchi wanachama 57 zinazoshirikiana kiuchumi na mambo mengine,nitakupa baadhi ya nchi za africa ambazo sio islamic states na zimejiunga na jumuiya hiyo kwa manufaa makubwa kabisa,ZIPO NCHI KAMA UGANDA,NIGERIA,SUDAN,IVORY COAST,GABON,MSUMBIJI,TOGO N.K
HIZO NI NCHI WANACHAMA WANAONUFAIKA MOJA KWA NA JUMUIYA HIYO HALI YA KUWA KWENYE MATAIFA YAO KUNA MCHANGANYIKO WA DINI MBALI MBALI,VIP NYERERE ALIZUIA HOJA HIYO ILIPOTOKEZA HAPA NCHINI,VIP VATICAN IKAPATA URAHIS WAKATI HILI LINAPINGWA,NI WAZI YA KWAMBA ALISHAJENGA MATABAKA NA TENSION ZA KIIMANI,KAMA VATICAN IPO HAPA NA INASAIDIA NDUGU ZETU WA IMANI ZINGNE AMA IMANI ZOTE KWA UJUMLA ALIKUWA ANA SABABU ZIPI ZA KUTILIA SHAKA JUMUIYA HIYO YA MAENDELEO YA KIUCHUMI??NAOMBA UNIPE MAJIBU MKUU.
easy,go easy mr great thinker,,
nani hajui kipind mwinyi yuko madarakani yapo mashinikizo ambayo atake asitake ilimbidi tu ayatekeleze??anyway japo hoja yetu kubwa hapo si kuilalamikia mou kama unavosema ya kwamba sisi waislam ni walalamishi,hoja hapo ni usiri uliokatawala kipindi hoja husika ipo mezani kwa jamii ya watanzania,,
pia hoja ya kusema eti maaskofu wanasema leo serikali itoe tamko n ikibid hata hiyo mou yenyewe ivunjwe si inazungumzwa leo zama hizi wakati watu washanufaika na plan yao hiyo waliyokaiweka??
Wapo vifua mbele kuchelea hata ivunjwe because they are sure and confident enough that kwa hapo walipofikia hawatashindwa kupanga njia ya kuelekea,mtu huwa mjinga wakati wa kwenda tuh,wakati wa kurudi hana cha kuhofia,wahanga wa hilo wanafahamika japo wanaonekana ni walalamishi,tunaipenda nchi yetu na hatupendi kunyoosheana vidole eti kwa tofauti ya imani zetu,ila lazima tukiri na kukubali wazi wazi ya kwamba yapo baadhi ya mambo yaliyofanyika yalikuwa yanaleta ukakasi sana,hasa hasa yanapofumuliwa kwa sasa,nchi hii mengi yamefanyika na mengi watu tumevumilia,tunahitaji kufungua ukurasa mwingine wa utanzania zaidi.
Serikali kama haina hospitali katika wilaya fulani inatafuta hospitali gani ipo katika eneo hilo, bila kujali ya dini gani na baada ya kuipata inaiteua hiyo kuwa ya wilaya, na wataalamu wake watapelekwa hapo ili wawahudumie wananchi wa wilaya hiyo. Ikiwa inafanya hivyo lazima pia ipeleke dawa, fedha za kuwalipa wataalamu hao, kwa maneno mengine inabidi ishirikiane na taasisi hiyo kuiendesha. Kilichotokea mahala pengi hospitali zilizopatikana zenye viwango vinavyokubalika zilikuwa za madhehebu ya dini hasa ya kikristu. Kwa hiyo fedha hizo zikiwa zinatoka kwa pamoja na kuzigawa wengi hata wasomi wanasema tu zinaenda kusaidia makanisa, kitu ambacho si kweli tunatibiwa wenyewe na wanalipwa wataalamu wetu n.k Nashauri kuna wilaya mpya nyingi zimeanzishwa hazina hospitali nendeni mkajenge mapema serikali itatia mkono wake sasa hivi.