THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
![]()
according to its charter, the oic aims to preserve islamic social and economic values; promote solidarity amongst member states; increase cooperation in social, economic, cultural, scientific, and political areas; uphold international peace and security; and advance education, particularly in the fields of science and technology.[SUP][2][/SUP]
the flag of the oic (shown above) has an overall green background (symbolic of islam). In the centre, there is an upward-facing red crescent enveloped in a white disc. On the disc the words "allahu akbar" (arabic for "god is great") are written in arabic calligraphy.
Tofauti naona kwenye madhumuni: Muo inadhumuni la kusaidia watanzania("tanzania people") wakati oic inadhumuni la kudumisha uislamu
si kweli,yapo mengi sana umeyaacha kwenye mission & visions za oic,na zipo nchi nyingi za kiafrika kama tanzania ambazo sio islamic states au arabic states zilizojiunga na oic kwa manufaa ya kiuchumi pia,kama unaibana hoja hiyo,vip waislam wakija na hoja ya kuwepo kwa uwakilishi wa vatican hapa nchini??uwakilishi huo ni kwa manufaa ya upande upi baina ya pande hizi mbili??
oic ina takriban nchi wanachama 57 zinazoshirikiana kiuchumi na mambo mengine,nitakupa baadhi ya nchi za africa ambazo sio islamic states na zimejiunga na jumuiya hiyo kwa manufaa makubwa kabisa,ZIPO NCHI KAMA UGANDA,NIGERIA,SUDAN,IVORY COAST,GABON,MSUMBIJI,TOGO N.K
HIZO NI NCHI WANACHAMA WANAONUFAIKA MOJA KWA NA JUMUIYA HIYO HALI YA KUWA KWENYE MATAIFA YAO KUNA MCHANGANYIKO WA DINI MBALI MBALI,VIP NYERERE ALIZUIA HOJA HIYO ILIPOTOKEZA HAPA NCHINI,VIP VATICAN IKAPATA URAHIS WAKATI HILI LINAPINGWA,NI WAZI YA KWAMBA ALISHAJENGA MATABAKA NA TENSION ZA KIIMANI,KAMA VATICAN IPO HAPA NA INASAIDIA NDUGU ZETU WA IMANI ZINGNE AMA IMANI ZOTE KWA UJUMLA ALIKUWA ANA SABABU ZIPI ZA KUTILIA SHAKA JUMUIYA HIYO YA MAENDELEO YA KIUCHUMI??NAOMBA UNIPE MAJIBU MKUU.