Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

I salute you Dr. Silaa.

umefafanua vizuri mno wanaopiga kelele nafikiri hawana elimu zote
 
Ombi langu mimi kwa WATANZANIA wote na serikali iliyoko madarakani ni hili: MoU haitaeleweka kwa wenzetu wa upande wa pili. Hata ielezwe na Mungu mwenyewe. Tuifute, tuiache, tusongembele. Naomba pia DINI zikae mbali na serikali yetu. Viongozi wa serikali nao wakae mbali na viongozi wa DINI. Wakutane kwa masuala yao binafsi kama ya kuzikana, kufunga ndoa, kuswali/kusali. Mungu wetu sote hana DINI wala DHEHEBU.
 

kuna waislam wangapi wanaofanya kazi kusoma na kutibiwa kcmc bugando hydom ifakara na peramiho acha ujaha
 
pole sana ndugu
 
MOU, MOU! Dini zimewaingia watu, wamelewa mpaka hawataki kushirikisha fikra zao, watu wameelewa mjadala lakini dini zinawatisha kukubali ukweli, dini zimekuwa giza badala ya Nuru!
 
easy,go easy mr great thinker,,
nani hajui kipind mwinyi yuko madarakani yapo mashinikizo ambayo atake asitake ilimbidi tu ayatekeleze??anyway japo hoja yetu kubwa hapo si kuilalamikia mou kama unavosema ya kwamba sisi waislam ni walalamishi,hoja hapo ni usiri uliokatawala kipindi hoja husika ipo mezani kwa jamii ya watanzania,,
pia hoja ya kusema eti maaskofu wanasema leo serikali itoe tamko n ikibid hata hiyo mou yenyewe ivunjwe si inazungumzwa leo zama hizi wakati watu washanufaika na plan yao hiyo waliyokaiweka??
Wapo vifua mbele kuchelea hata ivunjwe because they are sure and confident enough that kwa hapo walipofikia hawatashindwa kupanga njia ya kuelekea,mtu huwa mjinga wakati wa kwenda tuh,wakati wa kurudi hana cha kuhofia,wahanga wa hilo wanafahamika japo wanaonekana ni walalamishi,tunaipenda nchi yetu na hatupendi kunyoosheana vidole eti kwa tofauti ya imani zetu,ila lazima tukiri na kukubali wazi wazi ya kwamba yapo baadhi ya mambo yaliyofanyika yalikuwa yanaleta ukakasi sana,hasa hasa yanapofumuliwa kwa sasa,nchi hii mengi yamefanyika na mengi watu tumevumilia,tunahitaji kufungua ukurasa mwingine wa utanzania zaidi.
 
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.

Nashawishika kuamini kuwa vkuna makubaliano ya siri kati ya CCM na wanaharakati wa Kiislamu.
Haiingii akilini upotoshwaji unafanywa na wanaharakati hao, na Serikali/ Wizara husika zinakaa kimya bila kutoa ufafanuzi!
Sio ajabu Maaskofu wameitaka serikali itolee ufafanuzi hiyo MoU au irudishe mali zak
 

Sidhani kama swali lako ni gumu kama unavyotaka kutuaminisha,Kumbuka:
1. Sababu za MOU bado zipo valid kwa kuwa lengo la wakati huo na hata sasa ni kuwa na makubaliano maalumu ya namna bora ya kutoa huduama za jamii(elimu,afya nk)
2.Umeuliza ni kwa nini serikali isijenge zake?. Jibu lipo wazi kuwa kwa miaka yote 50 ya Uhuru serikali imeshindwa kuwaletea wananchi huduma muhimu badala yake inategemea miundo mbinu ya madhehebu ya dini (wakristo na waislamu) kujisifia.
3. Umeuliza makanisa haya yachukua kiasi gani serkalini kama Administration fee? Hili swali halijitoshelezi. wewe unafahamu wanachukua kiasi gani? Je hili suala la fee limeainishwa kwenye MOU? Je waislamu/Misikiti nao wanalipwa fee kiasi gani? Nashauri uwe mtafiti kabla ya kuuliza maswali juu juu.
4. Misamaha ya kodi kwa utoaji ka huduma za jamii kama ilivyoainishwa kwenye MOU ni kwa ajili ya madhehebu yote including muslims. Hao unaowaita wataamu na wafanyakazi wa serikali wamesomeshwa na watanzania kwa lengo la kuwahudumia watanzania wa madhehebu yote.
Kajipange upya ndugu,
 

We ndio unafikra fup kabsa,kwan kuna ubaya gan kutumia ki
tabu kimoja? Lakn kizur zaid kitabu hcho kina evidence za kut
osha na kimeandikwa
na padre mwenyewe.
Haya lete kitabu unac
hokiamin wewe kama ushahd na huyo Slaa ndio walihusika moja kw moja kulipa kanisa nguvu na anampango wa kuendelea kufanya kaz kama ya Nyerere ya kuwahujumu waislam kw kigezo cha urais kamwe hawez kuwa rais wa nch hii.
 

.....Kama mnavyoona mimi nilikuwa nafahamu historia yote, nafahamu MOU, lakini sikuwa nayo. Mtu huwezi kujua kila kitu na au kuwa na kila kitu, we need to complement each other. Tunaweza tukidhamiria, na JF itabaki na hadhi na heshima yake daima.

Acha kutwist maneno ............... Dr. kasema aliwa hajui ulipo na kushukuru JF kwa kuleta halafu wewe unatwambia kasema alikuwa haujui?? Hivi wengine mnafanya maksudi hapa au...................... Tutaelewa kama mtu anachangia udhifu wa MOU lakini siyo propaganda!!

Hilo kosa la MOU liko wapi ............... tufafanulie na sisi ili tuelewe basi!!
 
walalamishi wote nendeni google andikeni kitu hii hapa Public-Private Sector Partnership (PPP) meaning, someni hiyo mambo halafu mrudi hapa ntawanong'oneza kitu. hii siyo ile dunia ya huruma ya mzee nyerere ya ujamaa na kujitegemea tena. siku hizi pesa na/au huduma utazipata kwa kuteseka sana. nawahauri tena ndugu zangu acheni blahblah, someni, fanyeni kazi,tena kwa bidii.
 
Kwani prof Huntington na john Sivalon ndio mwisho wa mawazo yako huwezi kufikiri wewe mwenyewe??? Kwa nini uishi maisha yako yooote kwa kukariri mambo??? Yaani ukishaamua kukataa jambo hata akili yako inasimama kufanya kazi???

 

Slaa does not work for the church anymore unless you wanted him to keep a copy for all these years so that he can bring it here as an evidence. About nepotism and favoratism we all know how has been behind this all the time .............. CCM!!
 
Kuna watu waliofilisika mawazo, amabao matatizo yao na BAKWATA wanasema ni matokeo ya mfumo Kristo. Ningewashauri washughulikie matatizo yao na BAKWATA badala ya kulaumu watu wengine!
 
kwa vile umejitwisha jukumu la kumjibia basi jibu kwanza "Sasa mbona Dr amesahau kuelezea ilikuwaje mpaka serikali inakuwa inachota hazina fedha na kuyapatia makanisa peke yake?"

ni kwa sabbu sku hiz modern approach to effective governance is through PPP, ka-google Public Private Sector Partnership
 

hongera yako wee mwerevu. mie nilitegemea kwa kuwa wewe ni mwerevu ungejibu hoja iliyoko ubaoni, sasa umeona utukane. kama unaona matusi yatakusaidia tutukane kila aina ya tusi ulijualo sisi hatutobadirika ktk kutetea haki, na dhalimu daima atakemewa.
 

Nauliza tu jamani hivi Vatican na oic si ni vitu 2 tofauti? je tukijiunga na oic tutakuwa na balozi wa oic hapa Tanzania? mimi nadhani Vatican ni nchi! samahani mimi sijanywa maji ya dini wala si mdini nauliza tu!
 

BIG SHOW, Tafadhari naomba ufikiri kama jina lake lilivyo i.e THINK BIG.

Hivi umesoma mtiririko mzima wa maelezo ya Dr. Slaa hadi kilichopelekea kuzaliwa kwa MoU. Mwanzoni mwa negotions BAKWATA nao walikuwemo, but mazungumzo yaliposonga mbele, BAKWATA wakajiondoa? Hujiulizi kwanini BAKWATA walijiondoa? Huhitaji kuwa a rocket scientist to figure out kwanini BAKWATA wali sepa. It because they had NOTHING to put on the table i.e hawana shule wala hospitali etc. Huu ni UKWELI mchungu ambao WAISLAMU hamtaki kuukubali.

FYI, nimewahi kufanya utafiti ktk Mkoa wa Kagera, Ukiondoa hospitali ya mkoa na hospitali ya Wilaya ya Bukoba mjini. Hospitali nyingine zote za wilaya zilizobaki ni DDH, District designated Hospital, zinamilikiwa na KANISA. Wilaya za Mkoa wa Kagera ni Muleba, Karagwe, Ngara, Biharamulo, Misenyi. Na ninafahamu hali hii iko hivi ktk mikoa mingi ya Tanzania Bara. Imagine bila hizo hospitali za kanisa leo wananchi wa sehemu hizo wangekuwa na hali gani?

Kama mambo yanayoleta UKAKASI yalifanywa na SERIKALI kwanini basi kulalamikia MAKANISA na kufikia hatua za kuchoma moto makanisa badala ya kuilalamikia SERIKALI YA CCM. Why don't you stay focused? Tatizo lenu waislamu ni CHUKI dhidi ya UKIRISTO. Nigeria (Boko Haramu), Kenya (AL Shabaab), Mali (Al queda) etc, hakuna MoU lakini malalamiko ni yale yale?! What is wrong with ISLAMIC RELIGION???!!!
 
Mou ni kwa ajili ya maendeleo ya wakristo na OIC ni kwa ajili ya waislam, sasa nyinyi mnaopinga OIC mnataka nini?
 


ingekuwa wanawezaga kufanya hivo si ingekuwa bora! hata wakijenga vijana mujahidin wataziteka hizo hospiata na hizo shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…