Mpenda.Haki
Member
- Jan 14, 2013
- 59
- 31
Kama huu uchochezi ndiyo zingekuwa huduma za jamii, basi Tanzania tungekuwa tumeshafanikiwa kuutokomeza ukimwi.
Kweli usanii una mwisho wake!
Mara Serikali ya Ujerumani, mara serikali ya TZ ilikuwa ni observer tu, mara ni Shirika la MISEREOR (haliwezi kutoa idadi ya hayo mabilioni kila mwaka) , sasa mnasema kuwa ni mashirika mengi!
Je, unaweza kututajia hayo mashirika mengine?
Mkuu nawe unajua kufurahisha jamvi. Hata mimi nimecheka ingawa alama ya Msalaba ninaiheshimu. Unashangaa msalaba wakati mswahili anaweza kusimama katikati ya barabara huku magari yakiwa yanapita pande zote bila kuwa na hofu lakini akikuta hirizi au ndege mweusi amekufa barazani kwake inakuwa kama ni kiama kimefika. Haya ndiyo mambo yetu waafrika. Ukienda kwa wazungu/waarabu/wachina na wenyewe jinsi wanavyofanya mambo mengine utajiuliza hivyohivyo ...hivi hawa watu wana vitu gani vichwani mwao.qwi qwi qwi qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, teh teh teh, qwi qwi qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yheuuuuwi! ukolon wa dini ni mbaya sana, afadhali hata ukoloni wa kiuchumi. eti mtu anakataa kwenda kusoma shule flan kisa eti kuna mti wenye umbo la alama ya jumlisha(+) umewekwa hapo kwenye hiyo shule!!!! jamani waafrika tuna nini vichwani mwetu??!!
Soma hapo chini Kikwete anavyosema. Halafu hilo swali ulielekeze kwake...Yeye ndiye Mkuu wa nchi hii. Kwa katiba yetu , ukimuondoa muuumba, Kikwete ndiye anayefuata kwa kuwa na mamlaka makubwa. Soma kwa makini usijifanye zuzu...
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/6881-kikwete-pledges-support-to-holy-ghost-fathers
Sasa MoU na wewe tumuamini nani? Ndio maana hii issue inabidi ikaguliwe tujue ukweli. Uliona wapi fisadi akakubali ufisadi wake? Atakuja na logical reasoning na kufanya wegine wote hawajasoma na hawana akili! Endelea kuamini unavyoamini lakini fact kwangu ni kwamba huu ni ufisadi unless proven otherwise with supporting details sio blaa blaa zako.
Ndugu yangu Moshdar, ni kweli waislamu wanaujua ukweli ila tu tamaa, ubinafsi na kutaka kuleta udini ktk nchi hii ndo vinawasukuma kuwachochea vijana ambao hawajui hata hiyo MOU ilikujaje licha ya ukweli kuwekwa bayana. Lakini hawa ni wa kusamehewa tu maana hawajui walitendalo. Kisasi ni juu yake Bwana; kwa hiyo kisasi tumwachie yeye aliyezifanya mbingu na nchi.
Mkuu nawe unajua kufurahisha jamvi. Hata mimi nimecheka ingawa alama ya Msalaba ninaiheshimu. Unashangaa msalaba wakati mswahili anaweza kusimama katikati ya barabara huku magari yakiwa yanapita pande zote bila kuwa na hofu lakini akikuta hirizi au ndege mweusi amekufa barazani kwake inakuwa kama ni kiama kimefika. Haya ndiyo mambo yetu waafrika. Ukienda kwa wazungu/waarabu/wachina na wenyewe jinsi wanavyofanya mambo mengine utajiuliza hivyohivyo ...hivi hawa watu wana vitu gani vichwani mwao.
Hawana tofauti sana na wewe unaeabudu vitu vya asili...yaleye ya nyani kucheka kundule...
qwi qwi qwi qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, teh teh teh, qwi qwi qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yheuuuuwi! Ukolon wa dini ni mbaya sana, afadhali hata ukoloni wa kiuchumi. Eti mtu anakataa kwenda kusoma shule flan kisa eti kuna mti wenye umbo la alama ya jumlisha(+) umewekwa hapo kwenye hiyo shule!!!! Jamani waafrika tuna nini vichwani mwetu??!!
Mkuu Mpenda.Haki, kati ya mafundisho ya wakristu ambayo nayaheshimu ni hili la kutolipiza ubaya kwa baya. kwamba ukipigwa shavu moja mgeuzie na la kushoto,kwamba mtu akikunyanganya shati moja mwachie achukue na la pili; hilo nalikubali mkuu na kwa hakika nimewaona wakristu wakionesesha hilo kwa vitendo kwa siku hizi. uoga wangu mkuu ni kuwa huu upole wa wakristu utakuja ku-fire back on to them. dallili zinaonesha kuna siku wakristu wataamka na watakachokutana nacho ni majambia yanaungukia juu ya shingo zao. itakuwa too late. ni heri kushtuana na kuandaana mapema. kama huniamini jifanye mwislamu siku moja moja za ijumaa ingia misikitini na sikiliza mahubiri yao, utakuja kuniambia. mimi nimeshaingia humo mara nne na niliyoyaskia ndo yalinifanya kwanza niwe atheist lakini pia na mimi ninunue kabisa jambia langu tiyar kwa mapambano. nikajisemea potelea mbali, Siwezi kufa kibudu mimi, if I must die let me nobly die mkuu
acha mambo ya kijiweni. Nimetaja msalaba na picha ya bikira maria kichwani kwa mgonjwa. Ndugu yangu kila dini ina mafundisho yake. Sijataja shule. React like a person who went to school. Hit on the points ive presented.
Nimecheka sana mkuu. Ni kweli hatuoni kwenye historia mababu zetu wakiwa kwenye vita vya dini lakini ni fact kwamba waliuana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya imani potofu.
Ni halali kwa watu kuuawa katika siasa kwa sababu wanapigania maslahi fulani?
Inachopigania dini yangu inaonekana kutoka kwenye matendo yangu. Kama ni kuhubiri amani/upendo/kusaidia jirani/yatima/wajane ,kuondoa madhila/malazi/ukosefu wa elimu kwa kuweka huduma husika za jamii nk au kama ni kuhubiri chuki,vita,kuchoma nyumba za watu za ibada, malalamiko , visasi nk utayaona yote kupitia matendo.
Kwani unafikiri ukifuta hizi dini za Uislam na Ukristo ukabaki na waabudu jiwe/mlima/majoka/mibuyu ndiyo utabaki salama kwa mazingira yetu ya sasa?
Solution ni ndogo tu. Kuheshimu anachoabudu mwenzako. Hata kwenye siasa ni hivyohivyo kila mtu na chama chake, hata kwenye Elimu ni hivyo hivyo hatuwezi kusoma wote kitu kimoja, hata kwenye mpira ni hivyo hivyo hatuwezi wote kushabikia timu moja. Dunia sasa imekuwa kijiji na ni lazima kuvumiliana...Wale dini zao zinazowaruhusu kutishia watu au kuua watu ,akili yetu iliyokuwa brainwashed na elimu ya kikoloni inatuambia wanafanya uhalifu na wanastahili kuchukuliwa hatua na vyombo husika. Sheria zetu(tulioziazima kwa wazungu) ndiyo zinasema hivyo. Wewe unajua na mimi ninajua. Ndiyo maana kuna baadhi ya viongozi wa kidini wapo rumande sasa hivi.
mmmmmmhhh! sikuelewi unalenga nini! nikuache kwa sababu siyo siri upeo wako ni mdogo. kubishana na wewe is wastage of tym. i better reserve my energy for other developmental duties rather than arguing with u! u r always off topic. this shows how primitive and illiterate u r
Fine..ila ukirudi jaribu kujikita kwenye mada husika hapo juu. Mambo ya kuna Mungu au hayupo yana threads zake zimeshaanzishwa kitambo. Mtafute Kiranga atakusaidia.Walio upande wetu ni wengi kuliko walio upande wao. Tuna Jeshi kubwa la malaika upande wetu na mara zote walio upande wa Mungu hushinda. Tusiogope. Kumbuka Mungu anasema: Bwana asipoulinda mji wanaokesha kuulinda wanafanya kazi bure. Tumuachie Mungu ulinzi wetu!
Mkuu nipe mfano wa nchi moja tu duniani walikofarakana theists, Mungu wa upande mmoja akawapigania wa huo upande mmoja na sasa mambo ni shwari, theists wapo pamoja kama ndugu. sitaki miwili, nipe mmoja tu........
BTW natoka kidogo mkuu ntarejea usiku tuendeleze mjadala ili tuwafungue watu wetu. kidokidogo waafrika watajitanbua tu, ndo faida kubwa ya huu utandawazi
Nakumbuka ilivyotokea kubomolewa kwa dakika kisha imebaki historia kama picha hiyo hapo chini katika jiji la New York ground zero. Tusiombe haya yatokee, nilishuhudia kwa macho yangu live hadi dege la pili linavyoingia kwenye mnara wa pili, bora kusikia kuliko kushuhudia. Ilikuwa kihoro, watu walikata tamaa, hakuna pa kujishika. Wengine wanarukia majini kuogelea mkondo wa Hudson river kuvukia Jersey City. Ilikuwa blaa tupu.
Hapana Suala hilo ni Dr Slaa kama kiongozi wa siasa wa Kisiasa, muhasisi wa MoU na kama kiongozi wa kiroho anayetetea haku na kupingana na dhulma na kama mtoa mada hii. Nilibainisha kuwa alitakiwa aende mbali zaidi katika historia yake na kusema sababu hizo mpaka leo zipo valid na kama hazipo valid alitakiwa alieleze kanisa liache dhulma .
Tatizo lenu ni kama hata shule hamjaenda maana mnabisha hata vitu ambavyo hamuelewi. Kawaida sheria yoyote ile au makubaliano yoyote ya kisheria hayaanzi kufanya kazi mpaka zitungwe kanuni na taratibu za namna ya sheria au makubaliano hayo yafanye kazi. Sasa kwenye MOU kuna maelezo ya jumla ambayo yanahitaji ufafanuzi kwa kutumia kanuni na taratibu zake namna inavyotekelezwa.
Fine..ila ukirudi jaribu kujikita kwenye mada husika hapo juu. Mambo ya kuna Mungu au hayupo yana threads zake zimeshaanzishwa kitambo. Mtafute Kiranga atakusaidia.
SIELEWI MAMBO YAFUATAYO;
1- ndugu zanguni. slaa alitaja bakwata mwanzo mwa maelezo yake. hakueleza hata chembe bakwata waliachwa wapi kwenye saini za makubaliano.
2- Kama shule na hospitali za taasisi za dini zimerudishwa, kwa nini mchango wa serikali uwe endelevu!?
3- vjapo shule na hospitali hazizuii waislamu kutbiwa au kusoma, kitandani panapo wekwa msalaba na muislamu haamini msalaba, kisaikolojia mgonjwa muislamu atakua salama kweli!?
4- hii MOU haina mwisho?
5- hamuoni kuwa serikali ni baba. baba anapowezesha baadhi ya watoto wake na kuacha wengine si anafanya baadhi waishi vizuri wengine wabaki maskini!? chuki na uhasama m iongoni mwa hawa watoto vitakosekana?
6- je pana haja kwa serikali kuingia katika MOU nyingine n waislamu ili nao shule na hospitali zao zifadhiliwe na serikali?
7- kwa nini slaa ametaja michango ya ujerumani lkn ya serikali haitaji!?
8- kweli slaa muanzilishi wa MOU inawezekana alikua hajawahi iona bali ameiona hapa JF!?
ni hayo tu