Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Nafikiri ahali yangu ujaelewa nimekusudia nini. Mimi nimebainisha kwa kina kabisa kile alichoeleza Dr Slaa kwa upande wake. Suala la msingi kwa Dr Mwenzangu hapo JE SABABU WALIZOTOA KWA SERIKAI YENU mpaka kufanikisha hiyo MoU zipo valid mpaka leo? Kumbuka kuwa kila karne na Zama zake. Na waarabu tunasema every reason has its season. Kumbuka kuwa wakti wa Nyerere na Azimio la Arusha kutaifisha na kudhulumu mali za taasisi na wananchi kuzigeuza za umma ilikuwa sahihi. Wakti wa Mou 1991 sababu za kurejeshewa mali zilizodhulumiwa na kutaifishwa na Serikali hususan maskuli na mahospital OK. Je wakti huu kuendelea na hiyo MoU ni sahihi? hapo ndipo utajiona unakwenda na kasi ya wakti katika kubaini mambo. Kuhusu suala la waarabu na skuli na majumba yao. Nitakupa moja habib Punja ilala school ( siku hizi inaitwa Ilala primary sch ipo mtaa Arusha kama sijakosea. Na skuli ya AZANIA SEC. na nyingine nyingi tu. Lakin kwa upande wa Znz ni karibu zote. Na kwa taarifa yako mpaka mwaka 1964, Zanzibar ilikuwa na wasomi wengi sana ukilinganisha na Tanganyika kwa kigezo cha urari (ratio) idadi ya raia wa nchi hizo mbili huru. nami naomba nikuulize. Je unajua makanisa yenu yanachukua kiasi gani kwa mwaka kutokana na hiyo MoU?

Mkuu barubaru hapo kwenye red, hili swali lako ni sahihi lakini tatizo unalielekeza kwa mtu siye sahihi. hili swali linamhusu Jakaya Mrisho kIKWETE na serikali yake ya chama tawala CCM. SERA ZAO NDIZO ZINAZOTEKELEZWA nchini sasa hivi, siyo sera za Sweke 34 na wala siyo za Slaa, ni za kiwete na kwa bahati nzuri Kikwete ni atheist wa kiarabu mwenzako. Sasa nikuulize, ulishawahi kwenda kumuuliza kIKWETE hilo swali?
 
walikana mno nini? unaweza kutupa ushahidi tukaona ni nani , wapi , lini na kitu gani walikana?
hahah. PADRI SLAA toooooooo much. huu ndio udhaifu mkubwa wa wanasiasa wakiristo wa tz. halafu wanauliza nchi yetu inakwama wapi. kama MAPESA HAYA YOTE YA SEREKALI YANAENDA KANISANI BILA YA RISTI. NI WAZI KUMBE UFISADI ANAOPIGANIA DK SLAA NI KIINI MACHO TU
 
Mou ni safi. Oic ni uchafu, vatikan ni mkombozi wa mtz. Mahakama ya kadhi haina nafasi hapa tz. Hii ni kauli inayotangulia ya padri slaa
 
usipotoshe. Si unajua maaskofu wamebanwa sana. Mwanzo walikana mo. Dk slaa kaona aingie kusaidia jahazi. Lkn naona ameficha mengi kuhusu mou na kazungumzia zaidi propaganda

ehe, mwarabu-mwafrika lete stori.....

halafu eti waafrika mkiambiwa mnahitaji ukombozi wa mara ya pili mnabisha..!!!
 
quote_icon.png
By moshdar

hapo red mkuu, tatizo ninyi hamhubiri dini zenu bali mnahubiri dini za wenzenu. dawa ya imani za ushirikina wa babu zetu ilikuwa simpo....ni kuwafundisha tu kuwa hakuna kitu kama ushirikina. na hakuna kitu kama kuamini halafu ukasema imani hiyo ni hakika, ni ukweli. ukweli pekee ni kujua na kujua ndiyo ukweli. huwezi sema namwamini mungu na mungu huyo nayemwamini najua kwa uhakika ndiye mungu wakweli...hii tiyar ni contravercial statement kwa sababu huwezi kuithibitisha. na kwa sababu huwezi kuidhibitisha bas atajitokeza mwingine atasema wewe unapotosha bali mungu ni huyu huku. bahati mbaya sana katika kila upande kumfuata huyo mungu wanayemjua wao kuna maslahi flani flani mfuasi anayapata, na hayo maslahi hayawezi kuwa sawa sababu hakuna usawa duniani, mwishon mmoja naona wivu...watu mnachnjana,lakini kiini....ni imani za kuletewa na kusadikishwa ndiyo ukweli.

hapo blue jibu langu ni mwendelezo wa jibu hilo hapo juu, kwa kifupi ni kuwa two wrongs does not make it right. kuu-replace ushirikina wa kiaafrika kwa ushirikina wa kizungu au wa kiarabu si suluhisho sahihi. Suluhisho sahihi ni kuufuta ushirikina altogether. waafrika turudi nyuma, tuchukue uchafu wa babu zetu tuusafishe tupate kitu safi twende mbele, hivi vya kuazima havitatusaidia sababu si vyetu. Nguo ya kuazima haisitiri mata.o
Nilikuuliza hiki kitu ulichokiandika ukitolee maelezo
waafrika wamemwacha Mungu wao, ambaye hana haja ya kupigania wafuasi na wala hana makundi
Ufafanuzi tafadhali, ni Mungu gani huyo wa afrika??
Cha kuazima hakistiri ------ umekiona kwenye dini tu?
Mbona siasa iliyoua/inayoendelea kuua waafrika wengi na yenyewe ni ya kuazima tu? tuiache kwa sababu inatufanya tuwe wafuasi wa makundi fulani yanayopingana?
 
Nilikuuliza hiki kitu ulichokiandika ukitolee maelezo

Ufafanuzi tafadhali, ni Mungu gani huyo wa afrika??
Cha kuazima hakistiri ------ umekiona kwenye dini tu?
Mbona siasa iliyoua/inayoendelea kuua waafrika wengi na yenyewe ni ya kuazima tu? tuiache kwa sababu inatufanya tuwe wafuasi wa makundi fulani yanayopingana?

hapo kwenye red, kuna waafrika walikuwa wanaabudi mbuyu, wengine jiwe, wengine mlima. sjawahi kusoma au kuskia kuwa kuna waafrika waabudi mlima waliwahi kupigana na waafrika waabudu mbuyu ili kuwanyang'anya wafuasi(I stand to be corrected)

hapo blue, mababu zetu nao walikuwa na vita vya kisiasa, hawakuwa na vita vya kidini. after all katika siasa watu wanapigana kupigania maslahi flani ambayo yanajulikana - mathalani uchumi. Je hizi dini(ambazo hata si za kwenu) zinapigania nini? Je hizi dini zinampigania Mungu au Miungu? Au nazo zinapigania uchumi?
 
WAZO- kwa hiyo hospitali kama bugando ukifika unaulizwa dini yako na kama wewe ni wa upande wa pili huduma haitolewi?
 
Tusingekua na uabguzi wa kidini ungesikia ubaguzi wa kikabila Mbona Rais wala waziri mkuu hajawahi kua Mnyakyusa au Mruguru - just cut the ----!!!!!
 
SIELEWI MAMBO YAFUATAYO;
1- ndugu zanguni. slaa alitaja bakwata mwanzo mwa maelezo yake. hakueleza hata chembe bakwata waliachwa wapi kwenye saini za makubaliano.
2- Kama shule na hospitali za taasisi za dini zimerudishwa, kwa nini mchango wa serikali uwe endelevu!?
3- vjapo shule na hospitali hazizuii waislamu kutbiwa au kusoma, kitandani panapo wekwa msalaba na muislamu haamini msalaba, kisaikolojia mgonjwa muislamu atakua salama kweli!?
4- hii MOU haina mwisho?
5- hamuoni kuwa serikali ni baba. baba anapowezesha baadhi ya watoto wake na kuacha wengine si anafanya baadhi waishi vizuri wengine wabaki maskini!? chuki na uhasama m iongoni mwa hawa watoto vitakosekana?
6- je pana haja kwa serikali kuingia katika MOU nyingine n waislamu ili nao shule na hospitali zao zifadhiliwe na serikali?
7- kwa nini slaa ametaja michango ya ujerumani lkn ya serikali haitaji!?
8- kweli slaa muanzilishi wa MOU inawezekana alikua hajawahi iona bali ameiona hapa JF!?

ni hayo tu
 
WAZO- kwa hiyo hospitali kama bugando ukifika unaulizwa dini yako na kama wewe ni wa upande wa pili huduma haitolewi?
Hakuna kitu kama hicho. kama Serikali itajitoa Bugando hospital hiyo itajiendesha kibishara kama ilivyo Aga Khan au Hindu mandal tu. Kwani karibu 85 kama sio 90% wote ni waajiriwa wa Serikali, karibu 90% ya vifaa vya maabara na watalaamu wake ni mali ya Serikali. Ukijumlisha na kuwatoza kodi ya vifaa na tax nyingine lazima itakuwa na kulipia. Na kama watu wanaweza kwenda kutibiwa AAga khn kwanini wasiweze kwenda Bugando kama watalipia pia?
 
Mkuu mbona mimi ni Mtanzania na sitaki kumuua mtanzania mwingine ambaye siyo dini yangu? Mbona unatuweka wote kwenye kundi moja? Mimi sina tatizo na mtu wa dini nyingine wala mpagani.
Mkuu acha kupandikizia watu wengine hisia unazoziona kwa watu wengine.

kaka najua sana wewe huna ubaya na mtu. tatizo ni kuwa wewe nawe ni theist. wapi uliwahi ona tofauti zinazoletwa na u-theist zikafkia compromise? embu fuatilia hata mijadala ihusuyo u-theist ya humo JF. Ni vigumu, na pengine haiwezekani, kusuluhisha tofauti zenye asili yake kwenye u-theist. dawa ni kuuuwa tu u-theist kwa sababu ukisema theist huyu ndo yuko sawa na yule si sawa hapo ndo unamwaga petrol kwenye moto hata kama uta-back up claim yako na ushahidi wa aina gani. Kwanza after all U-theist ni nadharia tu si kitu halisi, si practical. MNACHUKIANA BURE tu. Nyie wote hamtufai sisi waafrika, hatutaki fujo zenu.
 
WAZO- kwa hiyo hospitali kama bugando ukifika unaulizwa dini yako na kama wewe ni wa upande wa pili huduma haitolewi?
 
hapo kwenye red, kuna waafrika walikuwa wanaabudi mbuyu, wengine jiwe, wengine mlima. sjawahi kusoma au kuskia kuwa kuna waafrika waabudi mlima waliwahi kupigana na waafrika waabudu mbuyu ili kuwanyanaganya wafuasi(I stand to be corrected)

hapo blue, mababu zetu nao walikuwa na vita vya kisiasa, hawakuwa na vita vya kidini. after all katika siasa watu wanapigana kupigania maslahi flani ambayo yanajulikana - mathalani uchumi. Je hizi dini(ambazo hata si za kwenu) zinapigania nini? Je hizi dini zinampigania Mungu au nazo zinapigania uchumi?
Nimecheka sana mkuu. Ni kweli hatuoni kwenye historia mababu zetu wakiwa kwenye vita vya dini lakini ni fact kwamba waliuana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya imani potofu.
Ni halali kwa watu kuuawa katika siasa kwa sababu wanapigania maslahi fulani?
Inachopigania dini yangu inaonekana kutoka kwenye matendo yangu. Kama ni kuhubiri amani/upendo/kusaidia jirani/yatima/wajane ,kuondoa madhila/malazi/ukosefu wa elimu kwa kuweka huduma husika za jamii nk au kama ni kuhubiri chuki,vita,kuchoma nyumba za watu za ibada, malalamiko , visasi nk utayaona yote kupitia matendo.
Kwani unafikiri ukifuta hizi dini za Uislam na Ukristo ukabaki na waabudu jiwe/mlima/majoka/mibuyu ndiyo utabaki salama kwa mazingira yetu ya sasa?
Solution ni ndogo tu. Kuheshimu anachoabudu mwenzako. Hata kwenye siasa ni hivyohivyo kila mtu na chama chake, hata kwenye Elimu ni hivyo hivyo hatuwezi kusoma wote kitu kimoja, hata kwenye mpira ni hivyo hivyo hatuwezi wote kushabikia timu moja. Dunia sasa imekuwa kijiji na ni lazima kuvumiliana...Wale dini zao zinazowaruhusu kutishia watu au kuua watu ,akili yetu iliyokuwa brainwashed na elimu ya kikoloni inatuambia wanafanya uhalifu na wanastahili kuchukuliwa hatua na vyombo husika. Sheria zetu(tulioziazima kwa wazungu) ndiyo zinasema hivyo. Wewe unajua na mimi ninajua. Ndiyo maana kuna baadhi ya viongozi wa kidini wapo rumande sasa hivi.
 
Mkuu barubaru hapo kwenye red, hili swali lako ni sahihi lakini tatizo unalielekeza kwa mtu siye sahihi. hili swali linamhusu Jakaya Mrisho kIKWETE na serikali yake ya chama tawala CCM. SERA ZAO NDIZO ZINAZOTEKELEZWA nchini sasa hivi, siyo sera za Sweke 34 na wala siyo za Slaa, ni za kiwete na kwa bahati nzuri Kikwete ni atheist wa kiarabu mwenzako. Sasa nikuulize, ulishawahi kwenda kumuuliza kIKWETE hilo swali?
Hapana Suala hilo ni Dr Slaa kama kiongozi wa siasa wa Kisiasa, muhasisi wa MoU na kama kiongozi wa kiroho anayetetea haku na kupingana na dhulma na kama mtoa mada hii. Nilibainisha kuwa alitakiwa aende mbali zaidi katika historia yake na kusema sababu hizo mpaka leo zipo valid na kama hazipo valid alitakiwa alieleze kanisa liache dhulma .
 
Wapo ndani kwa kuchoma makanisa usiniambie hizo ni sheria za kizungu hizo ila walioko rumande wana mentality za kiarabu
 
Hapana Suala hilo ni Dr Slaa kama kiongozi wa siasa wa Kisiasa, muhasisi wa MoU na kama kiongozi wa kiroho anayetetea haku na kupingana na dhulma na kama mtoa mada hii. Nilibainisha kuwa alitakiwa aende mbali zaidi katika historia yake na kusema sababu hizo mpaka leo zipo valid na kama hazipo valid alitakiwa alieleze kanisa liache dhulma .
Soma hapo chini Kikwete anavyosema. Halafu hilo swali ulielekeze kwake...Yeye ndiye Mkuu wa nchi hii. Kwa katiba yetu , ukimuondoa muuumba, Kikwete ndiye anayefuata kwa kuwa na mamlaka makubwa. Soma kwa makini usijifanye zuzu...
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/6881-kikwete-pledges-support-to-holy-ghost-fathers
 
dk slaa anasema alikua hajawahi ona MOU! muasisi asifuatilie matunda ya kazi aliyoianzisha! nimeamini chadema kina ufungamano mkubwa na ukristo. slaa akichukua nchi, vipengele vitakavyo ongezwa kwenye MOU si vitaumaliza uislamu!

tafakari, chukua hatua
 
SIELEWI MAMBO YAFUATAYO;
1- ndugu zanguni. slaa alitaja bakwata mwanzo mwa maelezo yake. hakueleza hata chembe bakwata waliachwa wapi kwenye saini za makubaliano.
2- Kama shule na hospitali za taasisi za dini zimerudishwa, kwa nini mchango wa serikali uwe endelevu!?
3- vjapo shule na hospitali hazizuii waislamu kutbiwa au kusoma, kitandani panapo wekwa msalaba na muislamu haamini msalaba, kisaikolojia mgonjwa muislamu atakua salama kweli!?
4- hii MOU haina mwisho?
5- hamuoni kuwa serikali ni baba. baba anapowezesha baadhi ya watoto wake na kuacha wengine si anafanya baadhi waishi vizuri wengine wabaki maskini!? chuki na uhasama m iongoni mwa hawa watoto vitakosekana?
6- je pana haja kwa serikali kuingia katika MOU nyingine n waislamu ili nao shule na hospitali zao zifadhiliwe na serikali?
7- kwa nini slaa ametaja michango ya ujerumani lkn ya serikali haitaji!?
8- kweli slaa muanzilishi wa MOU inawezekana alikua hajawahi iona bali ameiona hapa JF!?

ni hayo tu

qwi qwi qwi qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, teh teh teh, qwi qwi qwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yheuuuuwi! ukolon wa dini ni mbaya sana, afadhali hata ukoloni wa kiuchumi. eti mtu anakataa kwenda kusoma shule flan kisa eti kuna mti wenye umbo la alama ya jumlisha(+) umewekwa hapo kwenye hiyo shule!!!! jamani waafrika tuna nini vichwani mwetu??!!
 
Back
Top Bottom