Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

kama huelewi kaa kimya.

Mwaka 1992, Serikali ya Tanzania iliingia mkataba na Kanisa uitwao, Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).

Kwa mujibu wa makubaliano hayo Serikali ya Tanzania inatao fedha (mabilion), kwaajili ya kuendeleza miradi mikubwa ya Afya na Elimu ya Makanisa. Ingawa fedha hizo ni za Watanzania wote lakini serikali haikuwahusisha Waislamu katika mjadala na wala haina mpango wa kufanya mkataba kama huo na raia Waislamu Tanzania. Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.

Chanzo: Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Hakuna nisichokielewa, tatizo umelewa chuki unabwabwaja tu hapa bila mantiki yoyote, wewe ndio ukae kimya.
 
Hivi hujui kama kuna huduma zinazopatikana kwenye hizo hospitali za kanisa ambazo hazipatikani kwenye vituo vya afya ambavyo unasema vimejaa kila kona ya nchi?
hatutaki hizo huduma, si watu wanazili[ia kama hospitali nyengine zozote, kwani huduma zinatolewa bure? Huduma sasa zipo kila sehemu, kila wilaya ina hospitali ya serikali.
 
Kiukweli hilila MoU ya serikali na Kanisa ni rahisi sana kulitekeleza, wala halihitaji kuletwa hapa kujadiliwa na kuamsha hisia za watu mbalimbali katika jukwaa hili.
Samia ni rais wa nchi hii. Weka muda ukamshauri avunje MoU hiyo haraka.

Kama alivyokwisha onyesha, uwezo na madaraka ya kufanya hivyo anayo, na hakuna yeyote atakayehoji uamzi wake huo.
 
Kwa Ukristo wangu huu ninaona kabisa serikali inafanya kosa kubwa kwenye kudumbukiza funds kwenye Kanisa kupitia huu mkataba.

Kwanza ninapenda kufahamu ni Kanisa gani linafaidika na hii MoU?

Jambo la pili, hizo huduma zinazogharimiwa na walipakodi zinaleta unafuu ama tija gani kwa jamii?

Tatu. Kwa nini MoU hii iendelee kuwepo?

Nne, fedha hizi zinakaguliwa na CAG?

Jambo la Tano, wabunge wapeleke hoja binafsi Bungeni kujadili na kufuta huu Mkataba. Serikali ibakie bila dini wala viashiria vya kupendelea dini fulani

Ndimi
Msanii
 
hatutaki hizo huduma, si watu wanazili[ia kama hospitali nyengine zozote, kwani huduma zinatolewa bure? Huduma sasa zipo kila sehemu, kila wilaya ina hospitali ya serikali.
Una hakika hizo huduma zipo kila sehemu, vipimo kama MRI Scan, Xrays etc na madaktari bingwa wapo kila sehemu nchi hii?

Wacha upuuzi wewe bibi.

Serikali yenyewe huwa haitoi pesa zote zinazotakiwa kuendesha hizo hospitali, inabidi wenye hospitali hizo wajiongeze kutafuta pesa za kuziendesha, wewe umejikalia huko uswahili unapiga umbea kila siku haya huyajui.

Hao madaktari hata wa kawaida tu, serikalu haina uwezo wa kuwaajiri, achilia mbali madaktari bingwa wanaotakiwa, unataka watanganyika wafe kwa kukosa huduma bora za afya?
 
Faida ipo, hata wewe na ndugu zako mnaweza kwenda kutibiwa huko, wacha ujinga wewe bibi.
hawatibiwi bure. Zamani tulikaa kimya tuliona kweli kuna sababu, kwa sasa sababu zile hazipo tena.

Tunataka MoU ifutwe na fedha ipelekwe inapojihitajika zaidi. Nashauri ipelekwe andari ya Msoga.
 
Kwa Ukristo wangu huu ninaona kabisa serikali inafanya kosa kubwa kwenye kudumbukiza funds kwenye Kanisa kupitia huu mkataba.

Kwanza ninapenda kufahamu ni Kanisa gani linafaidika na hii MoU?

Jambo la pili, hizo huduma zinazogharimiwa na walipakodi zinaleta unafuu ama tija gani kwa jamii?

Tatu. Kwa nini MoU hii iendelee kuwepo?

Nne, fedha hizi zinakaguliwa na CAG?

Jambo la Tano, wabunge wapeleke hoja binafsi Bungeni kujadili na kufuta huu Mkataba. Serikali ibakie bila dini wala viashiria vya kupendelea dini fulani

Ndimi
Msanii
Hayo yote uliyosema ni sahihi, kwa sasa hazina sababu tena kwenda kanisani, uchumi na huduma zimebadilika.
 
hawatibiwi bure. Zamani tulikaa kimya tuliona kweli kuna sababu, kwa sasa sababu zile hazipo tena.

Tunataka MoU ifutwe na fedha ipelekwe inapojihitajika zaidi. Nashauri ipelekwe andari ya Msoga.
Ndio hawatibiwi bure, kwasababu serikali huwa haitoi pesa zote zinazotakiwa kufidia gharama kulingana na hayo makubaliano ya MoU unayotaka yafutwe, inabidi hizo hospitali zitafute namna nyingine ya kuwezesha kukidhi mahitaji.

Unataka mtibiwe bure ili hizo hospitali zife kabisa kwa kushindwa kujiendesha? hiyo itakuwa hasara kwa serikali pia, kama unataka huduma ya bei rahisi kaitafute unapopenda, lakini usilazimishe huduma ya gharama kama MRI Scan uipate kwa 200/= huo ni uzuzu.

Hili unalijua upande mmoja pekee, hujui upande wa pili, wacha mihemko ya kitoto hapa.
 
Una hakika hizo huduma zipo kila sehemu, vipimo kama MRI Scan, Xrays etc na madaktari bingwa wapo kila sehemu nchi hii?

Wacha upuuzi wewe bibi.

Serikali yenyewe huwa haitoi pesa zote zinazotakiwa kuendesha hizo hospitali?
Binti, kama hizo huduma hazipo kila sehemu, watu wakienda hapo zilipo si wanalipia? kwani wanapewa huduma bure?

Unataka kubishana kijinga kwa kuwa limetajwa kanisa? Tunataka pesa zetu zisipelekwe tena kanisani.
 
Mimi sio binti kwanza, naweza kukutia mimba na huo uzee wako, hilo la kwanza ulitie akilini vizuri.

La pili, hospitali kama Hydom, iliyopo Manyara/Singida inatoa vipimo ambavyo vituo vya afya vya karibu vya serikali havitoi.

Sasa kwa akili zako finyu, unataka mgonjwa atoke Singida aende Muhimbili kupata hiyo huduma ambayo sasa anaipata Singida akiwa Hydom Hospital? au Mwanza Bugando, wote wakajaze Muhimbili?

Hizo gharama za usafiri, malazi, chakula, na nyingine kwa kila mgonjwa serikali inaweza kuzitoa? wewe ni kizee kijinga kisichoweza kufikiri, kinaendeshwa na mihemko ya kipuuzi tu.

Kama ni suala la kanisa, litaje Kanisa kwa mambo ya msingi, sio kwa huu ujinga unaotuandikia hapa halafu unataka nikutazame tu, hilo haliwezekani bibi.
 
Jambo la Tano, wabunge wapeleke hoja binafsi Bungeni kujadili na kufuta huu Mkataba. Serikali ibakie bila dini wala viashiria vya kupendelea dini fulani
Kwenye hili hapa nipo nawe moja kwa moja.
Serikali isjihusishe kwa vyovyote na hizi dini, na wala dini zisitafute upendeleo wowote toka serikalini.
Na hayo mambo ya sala sijui maombi huko serikalini iwe ni marufuku.
Watu watasali na kuomba majumbani kwao au kwenye nyumba za ibada zao.

Ujinga mwingi huko serikalini unaanzia huko huko kwa kuingiza dini huko.
 
Sheikhat ni hivi kuingia Memorandum of Understandings ni jambo lipo hata sasa linaendelea.

Mfano Kuna wabunge wanajenga shule za Sekondari za wasichana zenye majina Yao ila wanakubali kuingia MoU na serikali iweze kuziendesha Kwa kugharamika vifaa, mishahara ya walimu, Admin costs na vingine.

Sasa makanisa yalifanya kazi nzuri na shule zao zinaendelea kuperform vizuri.vMwenye wivu unakuja kusema ooh MoU zifutwe enhe ili iwaje?

Oooh kodi humo wanatoa wahindi, waislam, wapagani , waabudu nini sijui .

Hauna points Bibi wivu tu wako na hakuna kitu kitafutwa endeleeni kuona wivu
Hao wabunge walioingia MoU na serikali kujenga shule unajua ada sh ngapi? Nenda shule za kanisa kaulize ada sh ngapi ndio utaelewa, mbona feza schools hawana MoU na gvt?
 
Mimi sio binti kwanza, naweza kukutia mimba na huo uzee wako, hilo la kwanza ulitie akilini vizuri.

La pili, hospitali kama Hydom, iliyopo Manyara/Singida inatoa vipimo ambavyo hospitali nyingine za karibu hazitoi.

Sasa kwa akili zako finyu unataka mgonjwa atoke Singida aende Muhimbili kupata hiyo huduma ambayo sasa anaipata Singida?

Hizo gharama za malazi, chakula, na nyingine kwa kila mgonjwa serikali inaweza kuzitoa? wewe ni kizee kijinga kisichoweza kufikiri, kinaendeshwa na mihemko ya kipuuzi tu.

Kama ni suala la kanisa, litaje Kanisa kwa mambo ya msingi, sio kwa huu ujinga unaotuandikia hapa halafu unataka nikutazame tu, hilo haliwezekani bibi.
Kumbe wewe sio bint! Mbona wanaume hatuko kama wewe? Una mambo ya kikekike sana
 
Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.

Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.

Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.

Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.

Soma zaidi:

- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Duh 🙄
Asubuhi yote hii na pumba tele..
Cha asubuhi vipi?
Na mkataba wa BAKWATA na serikali je?
 
Kumbe wewe sio bint! Mbona wanaume hatuko kama wewe? Una mambo ya kikekike sana
Una chochote kichwani umuongeze nguvu huyu mpuuzi mwenzio aliyeanzisha uzi? au nawe ubongo umejaa kamasi tu kama yeye!.
 
Back
Top Bottom