FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wala hujakosea, usimwamshe aliyelala.Nchi hii ina watu wajinga sana
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hujakosea, usimwamshe aliyelala.Nchi hii ina watu wajinga sana
Mnataka wewe na nani! Mtapigana lakini hamtashinda.Tunataka MoU ifutwe, ina faida gani kwa Watanzania wote kwa sasa?
Sera za kipindi MoU zinasainiwa ilisadia wengi kupata elimu bora, nyie wavaa nikabu elimu zenu ovyo Kuna kijana juzi hapa kaamshwa na patroni alfajiri huko Kawe akamchoma kisu Mwalimu hadi kumuua.Hakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika...
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.Sawa Bibi uko poa sana kesho ntakuja kunywa CHAI yako
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.Sera za kipindi MoU zinasainiwa ilisadia wengi kupata elimu bora,nyie wavaa nikabu elimu zenu ovyo Kuna kijana juzi hapa ka.
MOu inayofaa kufutwa sasa hivi ni hii ya serikali na waarabu kuhusu bandari za Tanzania bara.Wala hujakosea, usimwamshe aliyelala.
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
Itafutwa tu, mali ya Watanzania siyo mali ya kanisa.Hazifutwi OTA ndoto za Alinacha
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.MOu inayofaa kufutwa sasa hivi ni hii ya serikali na waarabu kuhusu bandari za Tanzania bara. Ni rahisi kuifuta maana haijaanza hata kutekelezwa. Nakuchagiza uungane nasi kuishauri serikali kufuta hiyo.
RC Wana hela zao wewe acha upuuzi vichenji vyenu vya Serikali wananunulia Panadol tu😅😅Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
sawa kabisa, ndiyo maana tunataka MoU ifutwe na hizo pesa za panadol ziende zikawasaidie Watania wote wasio na na uwezo kama RC.RC Wana hela zao wewe acha upuuzi vichenji vyenu vya Serikali wananunulia Panadol tu😅😅
Sheikhat ni hivi kuingia Memorandum of Understandings ni jambo lipo hata sasa linaendelea.Itafutwa tu, mali ya Watania siyo mali ya kanisa.
Kwa sasa MoU ya kanisa na serikali ina sababu zipi kuwepo?
Unatak ziende BAKWATA zotesawa kabisa, ndiyo maana tunataka MoU ifutwe na hizo pesa za panadol ziende zikawasaidie Watania wote wasio na na uwezo kama RC.
Hivi hujui kama kuna huduma zinazopatikana kwenye hizo hospitali za kanisa, ambazo hazipatikani kwenye vituo vya afya ambavyo unasema vimejaa kila kona ya nchi?Hakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika...
Hata hiyo ya bandari haina faida yoyote kwa taifa, ifutwe tu.Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
kama huelewi kaa kimya.Wewe mpuuzi kweli, fedha gani za serikali zinazopelekwa kanisani?