Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Hakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika...
Sera za kipindi MoU zinasainiwa ilisadia wengi kupata elimu bora, nyie wavaa nikabu elimu zenu ovyo Kuna kijana juzi hapa kaamshwa na patroni alfajiri huko Kawe akamchoma kisu Mwalimu hadi kumuua.

Nikirudi kwenye madai yako kama na nyie mnataka MoU wekeni mazingira mazuri ya Shule zenu muombe. Sio kuvunja zilizokwishaingiwa tayari.
 
Sera za kipindi MoU zinasainiwa ilisadia wengi kupata elimu bora,nyie wavaa nikabu elimu zenu ovyo Kuna kijana juzi hapa ka.
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
 
Huijui kanisa katoliki wewe😁😁wale Sio hao wanywa kahawa wenzako.... anyway ulianza na wapokonywe ardhi sasa umekuja na MoU.

Kesho utasema shule na hospital zao wapokonywe next week utasema sadaka zitozwe Kodi ila hamna kitu watafanywa wala hawataguswa
 
Vita shatangazwa?

"Hili ni tamko" jenerali wa vita hiyo alisikika akitamka!

Haya mambo msiyaendee kwa pupa. Tulisha fika huko, tukarudi nyuma kidogo, sasa tena vita imepamba moto?

Huyu mama damu za waTanzania zinampa maluweluwe mengi kichwani mwake. Zitakapoanza kutiririka bila shaka ataanza kuzinywa kwa furaha.
 
Wala hujakosea, usimwamshe aliyelala.

Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
MOu inayofaa kufutwa sasa hivi ni hii ya serikali na waarabu kuhusu bandari za Tanzania bara.

Ni rahisi kuifuta maana haijaanza hata kutekelezwa.

Nakuchagiza uungane nasi kuishauri serikali kufuta hiyo.
 
MOu inayofaa kufutwa sasa hivi ni hii ya serikali na waarabu kuhusu bandari za Tanzania bara. Ni rahisi kuifuta maana haijaanza hata kutekelezwa. Nakuchagiza uungane nasi kuishauri serikali kufuta hiyo.
Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
 
RC Wana hela zao wewe acha upuuzi vichenji vyenu vya Serikali wananunulia Panadol tu😅😅
sawa kabisa, ndiyo maana tunataka MoU ifutwe na hizo pesa za panadol ziende zikawasaidie Watania wote wasio na na uwezo kama RC.
 
Wewe mpuuzi kweli, fedha gani za serikali zinazopelekwa kanisani? Kanisani sadaka zetu zinajitosheleza ndio maana tukajenga mpaka hospitali, na shule, ambazo serikali ikaomba msaada ichangie ili nayo ipunguziwe mzigo wa kujenga na kuendesha hospitali zake kila kona ya nchi.

Hivi una habari hii serikali ya kuunga unga huwa haitoi pesa zote zinazotakiwa kama makubaliano ya MoU yanavyosema?

Bibi punguza ujinga, umezidi.
 
Itafutwa tu, mali ya Watania siyo mali ya kanisa.

Kwa sasa MoU ya kanisa na serikali ina sababu zipi kuwepo?
Sheikhat ni hivi kuingia Memorandum of Understandings ni jambo lipo hata sasa linaendelea.

Mfano Kuna wabunge wanajenga shule za Sekondari za wasichana zenye majina Yao ila wanakubali kuingia MoU na serikali iweze kuziendesha Kwa kugharamika vifaa, mishahara ya walimu, Admin costs na vingine.

Sasa makanisa yalifanya kazi nzuri na shule zao zinaendelea kuperform vizuri.vMwenye wivu unakuja kusema ooh MoU zifutwe enhe ili iwaje?

Oooh kodi humo wanatoa wahindi, waislam, wapagani , waabudu nini sijui .

Hauna points Bibi wivu tu wako na hakuna kitu kitafutwa endeleeni kuona wivu
 
Hakuna sababu kwa sasa, siasa na uchumi vimebadilika...
Hivi hujui kama kuna huduma zinazopatikana kwenye hizo hospitali za kanisa, ambazo hazipatikani kwenye vituo vya afya ambavyo unasema vimejaa kila kona ya nchi?

Vipimo kama MRI Scan, Xray, Dialysis etc havipatikani kwenye kila kituo cha afya unavyodai vimejaa nchi nzima, una upeo mdogo unatupigia kelele tu hapa.
 
Wewe mpuuzi kweli, fedha gani za serikali zinazopelekwa kanisani?
kama huelewi kaa kimya.

Mwaka 1992, Serikali ya Tanzania iliingia mkataba na Kanisa uitwao, Memorandum of Understanding between Christian Council of Tanzania and Tanzania Episcopal Conference and the United Republic of Tanzania (MoU).

Kwa mujibu wa makubaliano hayo Serikali ya Tanzania inatao fedha (mabilion), kwaajili ya kuendeleza miradi mikubwa ya Afya na Elimu ya Makanisa. Ingawa fedha hizo ni za Watanzania wote lakini serikali haikuwahusisha Waislamu katika mjadala na wala haina mpango wa kufanya mkataba kama huo na raia Waislamu Tanzania. Kubwa zaidi mkataba huo ni wa milele hauna ukomo.

Chanzo: Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
 
Back
Top Bottom