Kumbuka Maskofu walizungumzia katika ambayo ndiyo inaipa Nchi mongozo na dira.Huu mjadala ni mjadala fungwa lakini haukuwahi kuwa na hitimisho.
Je ni wakati muafaka kwa bunge la JMT kupewa fursa kujadili?
Uongozi wa kanisa katoliki kama kweli umeomba turejee mjadala wa katiba mpya je na sisi wananchi tuna haki ya kuomba mjadala na mchakato wa MoU uendelee kujadiliwa?
N.B
Nimetokea kwenye ukoo wenye familia ambazo hazina dini,familia inazoabudu ukatoliki na familia zenye kuabudu uislamu.na ninaamini wengi wa watanzania wako hivyo!!
MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hivyo vingine vinakuja baadaye na baada katiba kupatikana