Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini haukusapoti hiyo hoja wakati ilipoletwa na waislam? Au imegusa maslahi yenu ndo maana?Acha kupanick broo...kwani kanisa linapotoa tamko linataka kuachieve nini?kumbuka Tanzania ni nchi isiyo na dini kwa maana ya Serikali japo watanzania wana dini zao mbalimbali.
Kumbuka Serikali inasimama kwa ajili ya wananchi wote bila kuangalia imani zao.
Ifike mahali Kanisa au msikiti ubaki na kazi yake ya kutoa huduma za kiimani na sio kutoa misimamo ya kisiasa
forget it...anaweza kuwananga wastaafu lakini sio hawa na ndo maana kapiga kimyanimeona matamko kadhaa yanayosemwa kuwa ni misimamo ya kanisa katoliki bila Serikali kuongea....sasa mimi kama mwananchi ninayeipenda Serikali hii najaribu kurejea mijadala iliyokwama au kusitishwa kwa namna yoyote ile.
That is very right...kwamba kipindi cha nyerere alifanya yale kwa kuwa Serikali ilishindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa ajili ya uchanga wake.Sasa hivi kuna afadhali kubwa je kuna umuhimu wa kuendelea na MoU?Kwani Kanisa lina shida. Nyerere aliwahi kutaifisha shule za Kanisa zikamshinda akazirudisha. Maaskofu wanapoonya kwa umoja wao ni vizuri kuwaheshimu badala ya kutafuta vikwazo. Kwa umoja wao wakisema ujue si wao wamesema .....mjadala wa MoU labda uwe in favour of the church otherwise serikali ndio itayoumia.
Ref: NB yako. Na wewe binafsi uko kwenye upande upi? Mpagani, muislamu au mkristo mkatoliki?Huu mjadala ni mjadala fungwa lakini haukuwahi kuwa na hitimisho.
Je ni wakati muafaka kwa bunge la JMT kupewa fursa kujadili?
Uongozi wa kanisa katoliki kama kweli umeomba turejee mjadala wa katiba mpya je na sisi wananchi tuna haki ya kuomba mjadala na mchakato wa MoU uendelee kujadiliwa?
N.B
Nimetokea kwenye ukoo wenye familia ambazo hazina dini,familia inazoabudu ukatoliki na familia zenye kuabudu uislamu.na ninaamini wengi wa watanzania wako hivyo!!
MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
kutokupost wakati huo sio hoja na hata kupost wakati huu sio hoja.Kwanini haukusapoti hiyo hoja wakati ilipoletwa na waislam? Au imegusa maslahi yenu ndo maana?
Na siyo kanisa tu, hata mjinga kuliko wewe anaweza kuona wazi kabisa kwamba katiba iliyopo haifai. Na siyo hivyo tu, bali hata iliyopo ambayo mumeapa kwa kutumia misahafu kutoka kwa hao unaowalaumu, bado hamuifuati!
Katiba inaruhusu vyama vingi, nyie mnafanya matendo ya kudidimiza haki ya vyama vingi, demokrasia yake, pamoja uhuru unaoambatana na demokrasia hiyo ya vyama vingi.
Nipo upande wa watanzania kwa hisani ya watanzania!Ref: NB yako. Na wewe binafsi uko kwenye upande upi? Mpagani, muislamu au mkristo mkatoliki?
Naunga mkono hoja. MoU ya Kanisa na serikali ujadiliwe na kiwekwa hadharani. Navyofahamu hospital nyingi za kanisa hazitaki hata kuwa chini ya serikali. Mfano ni KCMC na Bugando. Hospital hizo nashauri zirudishwe kwenye udhibiti wa kanisa na serikali ijenge hospitali zake.Huu mjadala ni mjadala fungwa lakini haukuwahi kuwa na hitimisho.
Je ni wakati muafaka kwa bunge la JMT kupewa fursa kujadili?
Uongozi wa kanisa katoliki kama kweli umeomba turejee mjadala wa katiba mpya je na sisi wananchi tuna haki ya kuomba mjadala na mchakato wa MoU uendelee kujadiliwa?
N.B
Nimetokea kwenye ukoo wenye familia ambazo hazina dini,familia inazoabudu ukatoliki na familia zenye kuabudu uislamu.na ninaamini wengi wa watanzania wako hivyo!!
MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
ha ha ha...wachumia tumbo ni wale wanaotoa matamko kila kukicha!Kudadadeki! Ukiona hawa wachumia tumbo wanaanza kulia lia kuhusu shinikizo la mchakato wa katiba mpya, ujue CCM imeshikwa pabaya. Swala la mabadiliko ya katiba haliepukiki kwa sasa. Hayo ya MoU, watanzania hawayajui wala hawaoni hasara zake.
Kwahiyo maaskofu kuzungumzia madhila ya waumini wao mnaleta habari za MoU. Kwenye hiyo MoU kwani kuna nini. Endeleeni kukimbizana na mijusi, ikigeuka Swira, usikimbie usimame hapo hapo.Acha kupanick broo...kwani kanisa linapotoa tamko linataka kuachieve nini?kumbuka Tanzania ni nchi isiyo na dini kwa maana ya Serikali japo watanzania wana dini zao mbalimbali.
Kumbuka Serikali inasimama kwa ajili ya wananchi wote bila kuangalia imani zao.
Ifike mahali Kanisa au msikiti ubaki na kazi yake ya kutoa huduma za kiimani na sio kutoa misimamo ya kisiasa.
MoU kati ya Serikali na Kanisa ni jambo zuri ila kama kuna wananchi wanaolilalamikia ni vyema likajadiliwa kwa kina kama vile maaskofu wanavyohitaji mjadala wa katiba.
NO DOUBLE STANDARDS!!
SOMO:Unapoomba chai ujue itakuja na viungo vyake kama tangawizi,sukari,karafuu na vitafunwa...kama maaskofu wameomba marejeo ya mchakato wa katiba basi wajue wapo waumini wao kama kina jingalao watahitaji marejeo ya MoU....This should be a clear statement to them.
mkuu hizi hospitali ukienda kama mtoto chini ya miaka mitano,mjamzito au mzee zaidi ya miaka 60 huwezi pata huduma kama kwenye hospitali za Serikali despite MoU ...hayo ni baadhi ya maudhi ya MoU.Naunga mkono hoja. MoU ya Kanisa na serikali ujadiliwe na kiwekwa hadharani. Navyofahamu hospital nyingi za kanisa hazitaki hata kuwa chini ya serikali. Mfano ni KCMC na Bugando. Hospital hizo nashauri zirudishwe kwenye udhibiti wa kanisa na serikali ijenge hospitali zake.
MoU ivunjwe sasa
madhila ya waumini kwa kiasi kikubwa ni kwenye huduma za jamii yaani elimu na afya...na haya yamo kwenye MoU.Kwahiyo maaskofu kuzungumzia madhila ya waumini wao mnaleta habari za MoU. Kwenye hiyo MoU kwani kuna nini. Endeleeni kukimbizana na mijusi, ikigeuka Swira, usikimbie usimame hapo hapo.
Wewe utakuwa apostoliko, Katoliki ni dini ya siasa ndio maana tunaye balozi wa Vatican hapa nchini. Na ndio sababu nchi yetu inaongozwa na watu waliosomeshwa na wakatoliki hata kama wao ni waislamu. Na pili huna bunge la kuijadili MoU!Ifike mahali hawa maaskofu na mashehe watambue kuwa jukumu lao ni kwenye maswala ya imani tu na sio kuingilia kwa namna yoyote ile mambo ya kisiasa...
Uchafu wanaoufanya unajulikana na wasichukulie ukaaji kimya wa Serikali ndio kama vile wanaogopewa....
soma N.B yangu hapo juuWewe utakuwa apostoliko, Katoliki ni dini ya siasa ndio maana tunaye balozi wa Vatican hapa nchini. Na ndio sababu nchi yetu inaongozwa na watu waliosomeshwa na wakatoliki hata kama wao ni waislamu. Na pili huna bunge la kuijadili MoU!
mada imejibiwa hapa na mjadala umefungwa
Kwani Kanisa lina shida. Nyerere aliwahi kutaifisha shule za Kanisa zikamshinda akazirudisha. Maaskofu wanapoonya kwa umoja wao ni vizuri kuwaheshimu badala ya kutafuta vikwazo. Kwa umoja wao wakisema ujue si wao wamesema .....mjadala wa MoU labda uwe in favour of the church otherwise serikali ndio itayoumia.
Inaonyesha mlivyokuwa opportunists! Mko tayari kudidimiza haki za kimsingi za wananchi kwa njia yoyote ile! Na nikiangalia kwa undani, mnatetea ugali na wala hamjali lolote kuhusu maslahi ya Taifa letu na watu wake! Hilo litawacost sana tu! Msicheze na kitu kinaitwa Taifa.
Hii topic, inaonyesha jinsi mnatumia mbinu kama zile za wakoloni na makaburu ili tu mtawale! Hamjali costs zake!”
Issue hii ilipoletwa na waislam, pengine ulipingana nao ukisema ni wadini nk! Sasa unaileta, na pengine uko radhi waislam na wakristo watibuane tu! Almradi ccm inapona? Fcvk
ha ha ha...mada hii ni moto...Yaani ukijua hivi tunajua vile!!Mimi nadhani kwa hoja hizi mjadala umekwisha. Tusepeni tu.
Nimesoma mkuu kumbe wewe ni mtu wa jadi, basi ndio hivyo pale bungeni Bakwata tu hawaiwezi achilia mbali hiyo Vatican!soma N.B yangu hapo juu