The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
This is a real problem!
Kisa ni MoU au hawa wenzetu wana lao jambo? Nadhani ishu hapa ni Mahakama ya kadhi tu itambuliwe na katiba na ifadhaliwe/iendeshwe na serikali kwa maana ya kodi zetu wote!.
Kama ni kesi hii, haiwezi kuwa hata na chembe ndogo tu ya usawa kati ya makubaliano (MoU ) ya usimamizi na uendeshaji wa miundombinu ya elimu (mashule) na afya (hospitali, vituo vya afya na zahanati) kwa ajili ya kutolea huduma za kijamii kwa kila mtanzania kati ya serikali na madhehebu ya kikristo.
Narudia tena hii ni tofauti sana kwa sababu mahakama ya kadhi ni 100% jambo la kidini moja kwa moja na ni ngumu sana kulifanya kuwa la kikatiba au kisheria na kusimamiwa na serikali.
Laiti kama wenzetu nao wana miundombinu kama hii waliyonayo/waliyokuwa nayo wakristo, waikabidhi serikali ishirikiane nao katika kuisimamia na kuindesha kwa mtindo huuhuu kwa kuingia nayo MoU.
Na nashauri kwamba, kama waislamu wanaona kwamba serikali kwa sababu ya MoU hiyo imejiingiza kuisaidia dini ya kikristo, badala yake wafanye kitu kimoja;
Kwamba, waanzishe movement ya kuitaka serikali iwarejeshee wakristo na watu wengine mali zao zote ilizotaifisha kupitia Azimio la Arusha ili ngoma iwe droo.
Nadhani kwa hili nitawaona wana busara na kuwa wamechukua right move kuliko kulalamika lalamika huku kusiko na hoja na kuanza kuiitaka serikali kujiingiza kwenye dini yao kwa mlango wa nyuma JAPO NAAMINI KABISA HILI HALIWEZEKANI labda mpaka ACT TANZANIA/WAZALENDO ya ZZK itakapochukua dola ya nchi hii japo nao wana itikadi ileile ya Nyerere ya UJAMAA na KUJITEGEMEA kwa kulifufua AZIMIO LA ARUSHA!!