Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Hili jamaa jamaa ni la Ajabu sana!! Linafikra za udini alafu alijui Dini. Mungu huyu ni wa wote na ukianza kuona unajitenga na jamii jitafakari sana unawezakuwa unaitafuta safari ya Milembe.

Hivi hizo hosptali zinahudumia watu bila kutumia pesa? Hivi zinahudumia watu wenye Itikadi gani? Hivi ukiishiwa damu unajui damu unayoongezewa ni ya mtu wa itikadi gani? Udini hautachukua miaka mingi huko mbeleni kwasababu kizazi kijacho watakuwa na elimu nzuri.
 
Madarasa yanahitaji wanafunzi, wanafunzi wanahitaji walimu, vifaa vya maabara, fedha ya kuendeshea shule, vyoo vya kutosha na huduma ya maji safi na Vitabu na maktaba zilizosheheni.
NB. Hii elimu bure ambayo mfumo wa fedha unafungwa alafu shule zikiwa zimefuliwa ni sawa na mtu kusimami shiwia figo wakati mtu yuko hai.
 
Huyo atakuwa ni mke wa yule Mzee anayehangaika na Historia ya Uhuru wa Zanzabar, na Tanganyika.
Hao wakikutana wanaongea mamoja
 
MoU ni nini wadau ? Hapa sijaelewa kirefu chake !
Memorandum of understanding! Yaani makubaliano kati ya kanisa na serikari, mtonyo wa serikali unaotokana na kodi zetu kwenda kuhudumia mahospitali na mashule ya kanisa yanoyotoza tozo kubwa kuhudumia wananchi
 
Nilijua hawezi kujibu, kwasababu ni mpuuzi asiyejielewa, siku zote ametawaliwa na mihemko yenye chuki za kidini tu, lakini kichwani hana akili yoyote.
 


Huyo anajitekenya afu anacheka mwenyewe! Siku zote ogopa mtu ambae hata ufanye ujinga kiasi gani anakuangalia tu! Wakristo ni watulivu hawashindani wanafanya mambo yao bila kelele ila anaehisi maumivu ni mwingine we wakosoe watukane wadhihaki wao wanakaa kimya wanakupa andiko la kukupa mwangaza!

Serikali sio wajinga hata kidogo kusign hyo MoU tuchukulie mfano mrahis tu kwenye huduma za kiafya na elimu
 
Tusidanganyane, hakuna hosptali inayohudumia burw kwa sasa, hata za serikali tunalipia.

Hatutaki pesa zetu kwa sasa zipelekwe kanisani. Simpo.
 
Ingawa moderators mada zangu mnazifuta au kuzihamisha, inabidi mstahamili tu sindano iwaiingie.

Huwezi kuuita mtandao wa kijamii halafu uwe "biased". Uzuri tunawafahamu siku nyingi Max na mwenzako, kwanza ni wadini halafu nsiasa zenu mnapendelea upinzani.

Tutakwenda na nyinyi hivihivi.

Mada hapa ni MoU ya serikali na kanisa, kwa sasa haina faida yoyote. Ifutwe.
 
Yani sijawahi kuona watu wajinga kama wewe. Yani sijui ni msabato au mjinga. Dola ya Rumi na kanisa katoliki wapi na wapi? Mbona wepesi sana kuamini conspiracy? Jinga Sana. Waislam wagekuwa wanalipua makanisa? Embu grow the f*ck up and learn proper facts from proper sources.
 
MOU haifutwi mjinga wewe, ukitaka ifutwe msisogelee taasisi zisizowahusu wabaguzi wakubwa nyie. Chuo tu mlipewa bure ila mkristo pale hasimu kwa amani. , Ila SAUT ,na vyuo vya wenzenu mnajazana kama nzi Wazimu kweli nyie msio na shukurani utadhani mmeibiwa. Kujiliza tu kila siku
 
Taassi hazituhusu, zinatuhusu pesa zetu zinzotoka serikalini.


Hatutaki pesa zetu zipelekwe kanisani.
 
Tusidanganyane, hakuna hosptali inayohudumia burw kwa sasa, hata za serikali tunalipia.

Hatutaki pesa zetu kwa sasa zipelekwe kanisani. Simpo.
Zimeenda kanisa gani? Hivi mnajua kinachoendelea kweli waislam 90% ni mabunju sana. Yani ata reasoning ya kawaida tu hakuna. Issue ni wivu na chuki tu dhidi ya ukristo, mkiamini nyie ni superior lakini hamjiamini mpaka muwashushe wenzenu. Hivyo kabisa.
 
Taassi hazituhusu, zinatuhusu pesa zetu zinzotoka serikalini.


Hatutaki pesa zetu zipelekwe kanisani.
Umeziona? Zimeenda kanisa gani? Parokia ipi taja basi tujue kweli unafahamu au unaleta maneno ya fitina na Majungu tu. Taja kanisa linalopokea na account number zao. Hovyo kweli.
 
hatuna cha "reasoning wala seasoning", tunataka MoU ifutwe na pesa zetu hatutaki ziende serikalini.


Kila mbunge tunamwabia kama hajalisemea hili la kufutwa MoU hana kura za Waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…