Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Pesa hutaki tena ziende serikalini? 🤣🤣😭 Si mkae nazo basi.hatuna cha "reasoning wala seasoning", tunataka MoU ifutwe na pesa zetu hatutaki ziende serikalini.
Kila mbunge tunamwabia kama hajalisemea hili la kufutwa MoU hana kura za Waislam.
Faida ni shangazi zako kuhudumiwa. Wewe unaacha DP world waibe waziwazi kisa waarabu na waislamu wenzenu, na mnaona mtafaidi kisa samaleykum, hii dhambi ya chuki na ubaguzi ndio maana dunia hamtokaa muitawale ata mfanyaje. Hivyo sana.Waislam kuanzia kura za serikali ya mitaa zinazokuja, w024, hakikisheni hamumchaguwi yeyote ambae haliongelei suala la MoU kati ya kanisa na Serikali kufutwa.
Ina faida gani kwa Watanzania?
Nionavyo binafsi:Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.
Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.
Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.
Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.
Soma zaidi:
- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
We bibi kizee kwa hili utasubiri sana.hatutaki kujenga misikiti, makanisa yapo mengi tutaanza kampeni ya kuyabadili yote yawe misikiti. Tutawapa elimu tu, Afrika Kusini na Kenya wameshaanza kuyabadili makanisa kuwa misikiti, kama Ulaya.
Sasa hivi, mada iliyopo hapa, tunataka MoU ya serikali na kanisa isitishwe haraka sana na pesa zetu zisipelekwe tena kanisani. Mtanzania binafsi ataetaka kuchangia kanisa atapeleka sadaka zake kanisani.
Nakwambia hatusubiri. Kwani Ndalichako tulimtowaje mwendazake akamrudisha?We bibi kizee kwa hili utasubiri sana.
Kwenda hukoNakwambia hatusubiri. Kwani Ndalichako tulimtowaje mwendazake akamrudisha?
Sisi tukiandamana tunaandamana kweli kweli.
Ngoja tuwape elimu Waislam kidogo kidogo waelewe pesa zao zinakwenda kanisani.
Una chochote kichwani umuongeze nguvu huyu mpuuzi mwenzio aliyeanzisha uzi? au nawe ubongo umejaa kamasi tu kama yeye!.
Hakuna Mwarabu aliyepewa mkataba wa kuendesha chochote milele.
Kanisa lifutiwe huo mkataba, kwa sasa hauna maana yoyote.
Shukrani sana mkuu !!Memorandum of understanding! Yaani makubaliano kati ya kanisa na serikari, mtonyo wa serikali unaotokana na kodi zetu kwenda kuhudumia mahospitali na mashule ya kanisa yanoyotoza tozo kubwa kuhudumia wananchi
Ujinga ni laana na mzigo.Unapotaka mlinganisho wa gharama za tiba kwenye private hospitals, na hizo zinazopokea pesa toka serikalini ili u-justify kama mnaonewa, lazima utambue jambo ..
- Hakuna mgonjwa anayelazimishwa kwenda popote kutibiwa, sasa kama unaona hapa gharama kubwa, kwanini usiende pale kwenye gharama ndogo? huu ni ujinga wako usilaumu hospitali za kanisa.
Acha kijiba cha roho bibi!Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.
Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.
Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.
Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.
Soma zaidi:
- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Huo mkataba ni hatare sana ila hao manafiki hawapendi hata kuuongelea kibisa.Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:
Hyo Hela ni ndogo sana,Serikali ingewaongezeaKuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:
Serikali ijenge Hospitali zake, iachane na ubia na huduma za kanisa.Huo mkataba ni hatare sana ila hao manafiki hawapendi hata kuuongelea kibisa.