Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

SAMAHANINI SANA.

Kuanzia leo natangaza kuwa Mzee wa Amani.
Samahani pale nilipo kosea kuandika
Mimi ni mtu mwema na mwenye upendo mwingi sana.

Watanzania tupendane, tusiruhusu tofauti zetu zitugawe.

Poleni sana kwa nilio wakwaza.

Kwa nilio wakosea naomba Msamaha mwingi sana.
Kuanzia leo nitakuwa mtu mzuri kwenu wote.

Asanteni kwa kunisamehe[emoji120][emoji120][emoji120]
 
hatuna cha "reasoning wala seasoning", tunataka MoU ifutwe na pesa zetu hatutaki ziende serikalini.

Kila mbunge tunamwabia kama hajalisemea hili la kufutwa MoU hana kura za Waislam.
Pesa hutaki tena ziende serikalini? 🤣🤣😭 Si mkae nazo basi.
 
Waislam kuanzia kura za serikali ya mitaa zinazokuja, w024, hakikisheni hamumchaguwi yeyote ambae haliongelei suala la MoU kati ya kanisa na Serikali kufutwa.

Ina faida gani kwa Watanzania?
 
Hatutaki poesa zipelekwe Hospita au shule ya wakristo wla Waislam, zote ziende miradi ya serikali.

Waisla au Wakristo wenye mahospitali na mashule wayaendeshe kinjia zao. Waislam hatutaki pesa zetu ziende huko.
 
Waislam kuanzia kura za serikali ya mitaa zinazokuja, w024, hakikisheni hamumchaguwi yeyote ambae haliongelei suala la MoU kati ya kanisa na Serikali kufutwa.

Ina faida gani kwa Watanzania?
Faida ni shangazi zako kuhudumiwa. Wewe unaacha DP world waibe waziwazi kisa waarabu na waislamu wenzenu, na mnaona mtafaidi kisa samaleykum, hii dhambi ya chuki na ubaguzi ndio maana dunia hamtokaa muitawale ata mfanyaje. Hivyo sana.
 
Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.

Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.

Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.

Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.

Soma zaidi:

- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Nionavyo binafsi:

Tungeendelea na mjadala wa UBORA dhidi ya USIVYOBORA mkataba husika.

Huku kwingine tunaenda kukata miti tuliyokalia na haitatusaidia. Tunapoteza mwelekeo, nguvu na nyenzo.

Ukimnyooshea mwenzio vidole, vingine vinakusonta wewe pia na ukitaka kumtafuta nyoka anzia miguuni kwako. Hakikisha usafi wako si wa kutilia mashaka.

Tutafakari:

East Africa Muslim Welfare Society(EAMWS) kwenda BAKWATA.
Ilikuaje?

1: BAKWATA iliundwa kwa msaada wa nani?

2: Kulikuwa na kujikwaa au kusimama kulingana na misingi husika kiislamu?

3: Ni nani alaumiwe au apongezwe?

4: Chuo kikuu cha TANESCO kiligeukaje kuwa taasisi rasmi ya dini?

5: Je Serikali haina mahusiano na taasisi za kiislamu kweli?
Ismailia ni watu gani? Unajua miradi yao?

6: Je tumechagua vyema ushiriki wetu na Serikali uwe wa namna gani?

7: Je huduma zitolewazo huhitaji cheti cha ubatizo kuzipata kwa ulinganifu?

8: Shule za jumuiya za chama tu imekuwa shida kuziendesha, katafute kwa nini waliona MOU ni njeama kuliko kuchukua miradi husika?

9: Kasome kwa nini iliyochukuliwa hapo awali ilirejeshwa na kueekwa MOU.

Wakati mwingine tuingie kanisani kujifunza wenzetu wanajiendesha vipi? Kujenga kanisa/kujijengea uwezo kwa miradi husika ndani ya uwezo wao kabla ya serikali kuingia ndani.

Tusikurupuke na tusiyumbishwe na vitu vidogo tukajikata miguu.
 
hatutaki kujenga misikiti, makanisa yapo mengi tutaanza kampeni ya kuyabadili yote yawe misikiti. Tutawapa elimu tu, Afrika Kusini na Kenya wameshaanza kuyabadili makanisa kuwa misikiti, kama Ulaya.

Sasa hivi, mada iliyopo hapa, tunataka MoU ya serikali na kanisa isitishwe haraka sana na pesa zetu zisipelekwe tena kanisani. Mtanzania binafsi ataetaka kuchangia kanisa atapeleka sadaka zake kanisani.
We bibi kizee kwa hili utasubiri sana.
 
We bibi kizee kwa hili utasubiri sana.
Nakwambia hatusubiri. Kwani Ndalichako tulimtowaje mwendazake akamrudisha?

Sisi tukiandamana tunaandamana kweli kweli.

Ngoja tuwape elimu Waislam kidogo kidogo waelewe pesa zao zinakwenda kanisani.
 
Nakwambia hatusubiri. Kwani Ndalichako tulimtowaje mwendazake akamrudisha?

Sisi tukiandamana tunaandamana kweli kweli.

Ngoja tuwape elimu Waislam kidogo kidogo waelewe pesa zao zinakwenda kanisani.
Kwenda huko
 
Hakuna Mwarabu aliyepewa mkataba wa kuendesha chochote milele.

Kanisa lifutiwe huo mkataba, kwa sasa hauna maana yoyote.

Kanisa gani unamaanisha sasa? Maana makanisa yote makubwa yana hospital na shule au ni RC tu Ndo wafutiwe hiyo Mou? Nazani ni muda sasa sheikh ubwabwa mwaipopo atangaze waislam wote wasitibiwe na madoctor wakristo na kwenye hospital za kanisa maana sio sawa kwa muislam kutibiwa na kafir na hospital za kafir
 
Memorandum of understanding! Yaani makubaliano kati ya kanisa na serikari, mtonyo wa serikali unaotokana na kodi zetu kwenda kuhudumia mahospitali na mashule ya kanisa yanoyotoza tozo kubwa kuhudumia wananchi
Shukrani sana mkuu !!
 
Unapotaka mlinganisho wa gharama za tiba kwenye private hospitals, na hizo zinazopokea pesa toka serikalini ili u-justify kama mnaonewa, lazima utambue jambo ..

- Hakuna mgonjwa anayelazimishwa kwenda popote kutibiwa, sasa kama unaona hapa gharama kubwa, kwanini usiende pale kwenye gharama ndogo? huu ni ujinga wako usilaumu hospitali za kanisa.
Ujinga ni laana na mzigo.

Serikali iachane na huu upuuzi unaoitwa MoU kati yake na kanisa
 
TATIZO KUBWA tunapowafundisha Vitu Huwa Hamuelewi.

Vichwa Vimejaza Majini.

Kanisa la Rumi, Roman Catholic.
Ni Dola ya kale ya Roman Empire.
Tawala KUBWA ya sasa ya Dunia.
Hl(HUWEZI KUTOFAUTISHA ROMAN EMPIRE NA ROMAN CATHOLIC)

Tawala za Dunia tangu kuanzishwa.
1. Uyunani.
2. Babeli.
3. umedi na Ujemi.
4. Roman Empire.

Roman Empire ndio Dola inatawala Dunia nzima, Ndio walianzisha DINI ya kiislamu kwa LENGO la KUTAWALA DUNIA.
(Hakuna MUISLAMU ASIYEMJUA WARAQ Bin Nurfai) padre wa KATOLIKI ALIYEMPA UTUME fake Mohamed.

Ili watawale Dunia wanatumia VIONGOZI mapandikizi Yao Marais wote wanakuwa Waroma au WAISLAMU almost Dunia nzima.
Mfano BAKWATA IPO CHINI YA SELIKALI LAKINI NYUMA YAKE NI ROMAN EMPIRE. (VATCAN)

Wakina JF KENEDY walipojaribu kupinga Dora ya Rumi waliuwawa Dakika Moja
Eg Magufuli
 
  • Mshangao
Reactions: K11
Hili siyo ombi bali ni tamko kuelekezwa serikali ya Tanzania kuhusu MoU ya serikali na kanisa.

Tunaitaka serikali ifute MoU hiyo na fedha zinazopelekwa kanisani zielekezwe kwengine.

Kwa sasa Tanzania ilipofikia hakuna sababu ya kubaki na kutimiza yaliyomo kwenye MoU hiyo. Ikiwa huduma za afya, hakuna hospitali isiyotoza pesa kwa huduma hizo. Kwa hiyo serikali haina tena sababu ya kuelekeza pesa hospitali za kanisani.

Ikiwa ni elimu, Tanzania imetangaza elimu bure kwa wote mpakamwanafunzi anapofikia kiwango cha elimu kwa kukopeshwa. Na hapa hakuna tena sababu ya serikali kuelekeza pesa kwa watoa elimu wa kanisa.

Soma zaidi:

- MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

- Kweli huo mkataba kati ya serikali na mashirika ya dini hauna ukomo wakati wenyewe wanatoza pesa raia kwenye hizo hospitali na shule zao?
Acha kijiba cha roho bibi!
Tunahitaji Mou nyingi sanaaa!; Anzisha na wewe Mou leo![emoji106]
 
Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.

Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:

1690180961940.png
 
Huo mkataba ni hatare sana ila hao manafiki hawapendi hata kuuongelea kibisa.
 
Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.

Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:

Hyo Hela ni ndogo sana,Serikali ingewaongezea
 
Back
Top Bottom