Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Kwa hiyo ukibadilisha act umebadilisha katiba? Dude are u serious?

Ok twende taratibu, unayakumbuka haya maandishi yako hapa chini?

Mkuu kumbuka ukisoma act yeyote waziri amepewa madaraka ya kuammend vipengele au kuvitafsiri. Yes utaratibu ni kwamba inabidi aziangalie hizo ammendments au tafsiri kuwa hazivunji sheria mama ambayo ni katiba lakini hiyo haiipi "act" kuwa katiba hata siku moja. An "act" is not a "constitution"

Naomba nikuulize swali, toka tumepata uhuru katiba ya Tanzania imebadilishwa mara ngapi?
Hivyo basi ni upotoshaji kuita mabadiliko ya "act", ni mabadiliko ya "katiba".
Ntakusaidia kwa 2 ili upate big picture ya ninachouliza

1. Tulipofanya muungano 1964.

2 .Tuliporudi mfumo wa vyama vingi in 1992.

Nyambala,

Ndugu yangu Constitution is the highest law of the country. Waziri hawezi kufanya lolote kama katiba imembana. Bunge haliwezi kufanya lolote kama katiba inapingana na sheria inayotaka kupitishwa na bunge. Hivyo hawawezi kupitisha suala lolote la kisheria kabla kwanza Mwanasheria mkuu hajaangalia katiba inataka nini? Kama hujanielewa hapa tena basi labda Mkandara atakusaidia mie nishasema enough nimechangia sana labda waje wengine tena. Ila narudia msemo aliosema Mkandara, Topical, Mohamed Said na wengineo in the eyes of many muslims hii MoU haiingii akilini kwani ni sawa na ufisadi. Hakuna mwislamu atawaeleweni wakati maaskofu hawataki mahakama ya kadhi ifadhiliwe na serikali wao nyuma ya pazia wanaweka bakuli la kupokea Bilioni 91 kila mwaka.

Mtaeleweka pindipo pesa zote karibia Trilioni 1.2 zikarudishwa serikalini then tukakaa chini na kupanga mikakati ya kufanya mambo kwa pamoja, uwazi na ukweli vyenginevyo hakuna kitu.
 
1. Ni hospitali za Teule za wilaya kama Sengerema, Huruma-Rombo, Namanyere-Nkansi n.k (serikali ilianzisha wilaya mpya lakini haikuwa na hospitali ya serikali kwenye maeneo hayo) , na za rufaa KCMC na Bugando ndio zinapata fedha toka serikalini. Fedha zenyewe zinakuwa kwenye bajeti ya wizara ya afya. Kuna fungu maalum kwa ajili ya Hospitali za rufaa. Pia kila wilaya inatengewa fedha zake za huduma za afya. Pale ambapo hospitali teule ya wilaya inamilikiwa na kanisa ndipo tu ambapo fedha hizo zinaenda. Mganga mkuu wa wilaya anaripoti wizarani, na mahesabu yanakaguliwa. Serikali ikiacha kutoa fedha hizo kwenye hospitali teule kwa kuwa haizimiliki itakuwa imezitenga wilaya hizo kwenye huduma za afya. Labda hapa serikali ijipange kujenga hospitali zake ijitosheleze na iache mtindo huo wa Designated District Hospitals. Hata hivyo hilo kutekelezeka itachukua muda sana

2. Hospitali nyingine zote za kanisa zisizokuwa Hospitali teule za wilaya wala za rufaa hazipati fedha yoyote toka serikalini.

3. Hakuna shule yoyote ya kanisa inayopokea msaada wowote toka serikalini.

4. Hata kabla ya kusaini MOU mwaka 1992 serikali ilikuwa ikitoa fedha hizo kwa hospitali teule za wilaya na hospitali za rufaa na hakikubadilika kitu chochote.

Kama una ushahidi vinginevyo unakaribishwa.

Mkuu ndiyo maana nimesisitiza kuletwa kwa numbers!!! Hii hoja uliyoileta ndiyo centre ya mjadala wote huu. Sasa kama mtu ataleta numbers basi utakuwa ndiyo mwisho wa debate na kama kuna tatizo itabidi tuchangie on solutions. Hlafu mkuu umegusia kitu muhimu sana hela za serikali zote ziko kwenye bajeti na bajeti siyo document ya siri. Je kuna mtu hapa anaweza kutuambia hizo hela za MoU zinatoka katika bajeti gani?
 
ningekuwa najua nisingesita kusema ninachojua ni kuwa taasisi hizo nazo zinafanya kazi katika mazingira na mfumo ule ule wa taasisi za kikanisa. Sasa kwa mfano hospitali ya Aga Khan inapata ruzuku yeyote kutoka serikali kuendesha shughlui zake au inapewa benefits mbalimbali kwenye vifaa n.k? sijui! Lakini nitashangaa kama ikijulikana kwamba baadhi ya watumishi wa Aga Khan wanalipwa toka serikalini? nope! Will I be offended kuwa fedha za umma zinaenda kusaidia taasisi ya Aga Khan kutoa tiba? absolutely not.
Mkuu umeweza kuwa hivyo kwa sababu unajua kanisa wanapewa tayari..Sisi hatujui kama Aghakhan anapewa wala sii msimamizi wa haki za elimu kwa waislaam anachofanya ni thawabu kwake..Tanzanian Muslims has no rights ndani ya mali na hata misaada yake. Ni kama NGO ya mama Bush na kukomesha malaria Africa..

Wewe ungekuwa umevaa viatu vyetu na kila jibu unalopata ni sijui na nope usingeyasema haya. Tuache ushabiki makosa yalifanyika na tulijifunza kutoka kwa mkoloni kwa nini bado mnataka mfuko kristu uendelee ati waislaam nao waruhusiwe kujenga zao...Tunajaribu kujenga kitu gani hapa? kama sii kurudisha yale ya mkoloni maanake wakati wa mkoloni waislaam waliruhusiwa kujenga zao na matokeo yake wakaanza harakati za kutafuta Uhuru, na wapo wakristu waliosoma shule za makanisa akiwapo Nyerere mwenyewe alisema wazi jinsi kulivyokuwa hakuna uuwiano ktk utoaji elimu. Na wala hili sii swala la Waislaam pekee bali hata dini na madhehebu mengineyo. Tunataka kujenga Tanzania yetu wote na sii kuijenga kwa matabaka ya Mali za Waislaam na mali za Wakristu..
 
Nyambala,

Ndugu yangu Constitution is the highest law of the country. Waziri hawezi kufanya lolote kama katiba imembana. Bunge haliwezi kufanya lolote kama katiba inapingana na sheria inayotaka kupitishwa na bunge. Hivyo hawawezi kupitisha suala lolote la kisheria kabla kwanza Mwanasheria mkuu hajaangalia katiba inataka nini? Kama hujanielewa hapa tena basi labda Mkandara atakusaidia mie nishasema enough nimechangia sana labda waje wengine tena. Ila narudia msemo aliosema Mkandara, Topical, Mohamed Said na wengineo in the eyes of many muslims hii MoU haiingii akilini kwani ni sawa na ufisadi. Hakuna mwislamu atawaeleweni wakati maaskofu hawataki mahakama ya kadhi ifadhiliwe na serikali wao nyuma ya pazia wanaweka bakuli la kupokea Bilioni 91 kila mwaka.

Mtaeleweka pindipo pesa zote karibia Trilioni 1.2 zikarudishwa serikalini then tukakaa chini na kupanga mikakati ya kufanya mambo kwa pamoja, uwazi na ukweli vyenginevyo hakuna kitu.

Mkuu naona unarudia tena ile lugha yako (see the highlighted) na kuendeleza dilly dallying. Hujajibu swali hata moja nililokuuliza nayarudia tena:

1. Je kubadili "act" ni kubadili katiba?

2. Katiba ya Tanzania imebadilishwa mara ngapi toka tupate uhuru?
 
Mkuu sasa na wewe unaturudisha miaka 50 nyuma.. hujui maana ya ku ammend? unauliza vitu gani haswa!
 
Mkuu umeweza kuwa hivyo kwa sababu unajua kanisa wanapewa tayari..Sisi hatujui kama Aghakhan anapewa wala sii msimamizi wa haki za elimu kwa waislaam anachofanya ni thawabu kwake..Tanzanian Muslims has no rights ndani ya mali na hata misaada yake.

Wewe ungekuwa umevaa viatu vyetu na kila jibu unalopata ni sijui na nope usingeyasema haya. Tuache ushabiki makosa yalifanyika na tulijifunza kutoka kwa mkoloni kwa nini bado mnataka mfuko kristu uendelee ati waislaam nao waruhusiwe kujenga zao...

Duh kaka na wewe umekuwa muumizi wa hili dudu la "mfumo Kristu"?

Tunajaribu kujenga kitu gani hapa? kama sii kurudisha yale ya mkoloni maanake wakati wa mkoloni waislaam waliruhusiwa kujenga zao na matokeo yake wakaanza harakati za kutafuta Uhuru, na wapo wakristu waliosoma shule za makanisa akiwapo Nyerere mwenyewe alisema wazi jinsi kulivyokuwa hakuna uuwiano ktk utoaji elimu. Na wala hili sii swala la Waislaam pekee bali hata dini na madhehebu mengineyo. Tunataka kujenga Tanzania yetu wote na sii kuijenga kwa matabaka ya Mali za Waislaam na mali za Wakristu..

Mkandara, serikali iache kutoa ruzuku kwa mahospitali ya makanisa siyo? au ungependa serikali ifanye vipi ili taasisi za Kanisa zisionekane zinapendelewa na kubebwa na serikali? Maana miye nataka tuone kuwa tunaangalia maslahi yetu kama Watanzania bila kujali tofauti zetu mbalimbali. Kwa mfano, taasisi ya Kikristu kama inapata ruzuku kwenye masuala ya afya na kwa kufanya hivyo inahudumia Waislamu wengi, Wakristu na Wapagani bila kuuliza imani yao miye najiuliza je ruzuku hiyo iondolewe kwa sababu ni taasisi ya Kanisa? Je ikiondolewa itaathiri vipi huduma ya afya?

Labda unipendekezee kwa jinsi gani serikali inaondoa ruzuku kwenye taasisi za kidini bila kuathiri huduma kwa wananchi wetu? Maana inawezekana ni kweli sijavaa viatu vyenu lakini nimevaaa viatu vya Wtanzania wenzangu najua Muislamu akiumwa anaugua kama Mkristu!
 
Kwanini Serikali itowe ruzuku kwa kanisa? iwe hospitali au shule? kwanini serikali isipeleke hizo fedha kwenye hospitali za serikali? na shule za serikali?

Jee mnaona vyema Waislaam kwenda kuhudumiwa kwenye hospitali ambazo kitandani wamewekewa misalaba ambayo hawaiamni?
Jee mnaona vyema watoto wa Kiislaam kwenda mashule ya kikristo ambako hufundishwa maadili yasio yao? na kwaya mtindo mmoja?

Wacheni hizo. Hayo ndio mambo tuliyoyakataa kwa mkoloni lakini Nyerere ametulazimisha kwa nguvu na sasa bado unaendelezwa mfumo uleule kwa sababu tu aliwapa fursa za kusoma wakatoliki wenzake kwa makusudi kabisa, watoto wa kiislaam tulikuwa hatuchaguliwa kuendelea na masomo kwa makusudi kabisa, na haya hatusemi sisi, nyinyi wenyewe rejea kitabu cha Sivalon.

Halafu leo mnajidai kutetea hii dhulma, tunawaambia hii dhulma ina mwisho wake ama mwema ama mbaya lakini haitoendelea milele.
 
Hapana kaka mimi nina tafsiri tofauti na hiyo walokuwa nayo wanaharakati dhidi ya kanisa. Mimi napinga kabisa mfumo huu uloasisiwa na makanisa ktk nchi za makoloni ya wazungu iwe kwa kufuata makabila au dini ni mfumo usiofaa kama tunavyolaani Ugaidi wa Al Shabab ingawa wao wanajiita wana mapinduzi!

Kusema kweli mwanzo nilikuwa sina jibu lakini baada ya kupitia hoja mbali mbali nadhani Mdondoaji kaja na jibu zuri zaidi hapo juu ingawa bado sijatulia na kulitazama athari zetu kulingana na mazingira yetu maanake ufisadi nao umefika mahala ambapo hakuna msalie..

Lakini nafikiri ni jambo zuri zaidi kama serikali itawasaidia wagonjwa na wanafunzi badala ya fedha hizo kupewa taasisi hizi ambazo tumeona madhara yake tunajenga mgawanyiko mkubwa sana na hatari...JF ni mfano mdogo sana wa hasira za watu walioko huko nje mitaani. Bora kanisa waendeshe shule zao kama Private na serikali badala ya kutumia bil 600 kama alivyodai JK kutoa ruzuku na misamaha ya kodi (guess in his 6 yrs) izitumie hizi kulipia gharama za wanafunzi na wagonjwa huku ikijenga na kuimarisha shule na hospital zake..Si ndivyo ilivyo huku majuu au?
 
Mkuu sasa na wewe unaturudisha miaka 50 nyuma.. hujui maana ya ku ammend? unauliza vitu gani haswa!

Mkuu najua unafahamu majibu ya maswali hayo but I just don't see why maswali rahisi kama hayo yaletewe majibu paragraph nne au tano. Ok I am out on that discussion. Jingine muhimu ni kwamba kwenye kuweka records straight tunaweza hata kurudi miaka 500 nyuma. There is nothing wrong with that.

Lakini nachosema na kuendelea kusisitiza ni kwamba " Katiba haijawahi kubadilishwa hata mara moja ku-accomodate hiyo MoU. Na yeyote anayesema hivyo ni muongo. Period.
 
Ni hivi Zing,

Kama MoU imeanzishwa hali ya kwamba sheria ya 1978 inasema vile basi ujue kwamba waliosign MoU wangelikuwa hatiani. Lakini kama umesoma amendments za 1995 zimewatoa katika matatizo. kwa vile sheria imeruhusu kuwepo na shule au taasisi za elimu zinazopewa misaada............
@mdondoaji twende tratibu
Kwa hiyo act ya mwaka 1978 ya utawala wa nyerere ni kupongezwa na sio ya ukandamizaji kwa uislam na wasio kuwa watu wa kanisa
?
 
Mkuu ndiyo maana nimesisitiza kuletwa kwa numbers!!! Hii hoja uliyoileta ndiyo centre ya mjadala wote huu. Sasa kama mtu ataleta numbers basi utakuwa ndiyo mwisho wa debate na kama kuna tatizo itabidi tuchangie on solutions. Hlafu mkuu umegusia kitu muhimu sana hela za serikali zote ziko kwenye bajeti na bajeti siyo document ya siri. Je kuna mtu hapa anaweza kutuambia hizo hela za MoU zinatoka katika bajeti gani?
Usifanye hasira mkuu wangu hapa tunasomeshana tu. Kama mimi sielewi na wewe unaelewa tufahamishe hizo fedha za kuwapa kanisa zinatoka mfuko gani maanake JK mwenyewe ndiye alosema na sisi tume react... halafu sisi hatufanyi kazi serikalini hatujui jinsi kodi zetu zinavyotumiwa na kuwekwa, na iwe hata kama fedha sii kodi zetu maadam ni fedha ya Watanzania tuna kila haki ya kuuliza kama ilivyokuwa fedha ya EPA..
 
Mkuu, hivi kwa nini JF siku hizi kumezuka tabia ya mtu akishindwa hoja kusingizia hasira? How on earth can I be mad on someone that I don't even know??? Kuna mtu analazimisha mtu kuwa hapa? Lakini najua yote hii ni janja ya kukwepesha hoja amabayo inabaki vile vile:

Lakini nachosema na kuendelea kusisitiza ni kwamba "Katiba haijawahi kubadilishwa hata mara moja ili ku-accomodate hiyo MoU" na yeyote anayesema hivyo ni muongo. Period.

Sasa kama maneno hayo ni hasira, basi sorry mkuu but is the fact.
 
Lakini nafikiri ni jambo zuri zaidi kama serikali itawasaidia wagonjwa na wanafunzi badala ya fedha hizo kupewa taasisi hizi ambazo tumeona madhara yake tunajenga mgawanyiko mkubwa sana na hatari...JF ni mfano mdogo sana wa hasira za watu walioko huko nje mitaani. Bora kanisa waendeshe shule zao kama Private na serikali badala ya kutumia bil 600 kama alivyodai JK kutoa ruzuku na misamaha ya kodi (guess in his 6 yrs) izitumie hizi kulipia gharama za wanafunzi na wagonjwa huku ikijenga na kuimarisha shule na hospital zake..Si ndivyo ilivyo huku majuu au?

Ni kweli, tayari serikali inachangia gharama ya elimu ya juu kwa wanafunzi - je imeweza kuhakikishia wanafunzi wote wenye mahitjai wanapata fedha za kuendelea na masomo yao?

Pendekezo la serikali kutoa msaada kwa wagonjwa na wanafunzi moja kwa moja hili tayari limekuwa likitokea hasa kwa wanafunzi. Kwa mfano wanafunzi wanaosoma Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro waalipiwa baadhi ya kozi zao na serikali moja kwa moja. Je hili ni baya au iwasaidie lakini wasiende kwenye vyuo vya kidini?

Huku majuu kama ujuavyo hata mahospitali binafsi yapo yanayopokea fedha za umma kutokana na program mbalimbali na tena wao wanazo hizo grants n.k Kwa mfano hospitali ya chuo kikuu inayofanya utafiti au inayojikita kutoa huduma fulani inaweza kuomba grants toka serikalini na ikapewa fedha hizo za umma. Hili liko kwa mahospitali mbalimbali ya makanisa na hat aya taasisi za Kiyahudi. Lakini katika Tanzania ni hospitali za Rufaa na zile Teule ndio zinapokea grants hizo na watumishi wake wengine ni waajiriwa wa serikali kuu. Serikali ikisema iondoe hizo grants na kulipa wafanyakazi kwenye hospoitali hizo kama KCMC au Bugando nini kitatokea? Well, inaweza kuwafurahisha wale ambao hawataki fedha za umma ziende kwenye mahospitali ya makanisa lakini itakuwa na matokeo mazito sana kwa wananchi na wagonjwa.

Lakini kuna option nyingine ambayo nayo ni kuwa serikali ijitoe kwenye kutoa misaada hiyo lakini makanisa yaanizshe huduma ya "for profit" kwenye mahospitali yake. Well mahospitali hayo kwa hakika kabisa yanaweza kuendelea lakini ni wananchi wangapi wataweza kupata huduma hiyo ya kulipia?

Binafsi nina mitazamo ifuatayo kwenye suala zima:

1. Ukoloni ulikuwa na matokeo - Hatuwezi kufuta historia yetu au kukana mifumo yote ambayo imetokana na ukoloni. Kuanzia sheria, miundo ya elimu vyuo vyetu na hata ofisi zetu nyingi ni matokeo ya ukoloni huo huo. Hatuwezi kukana wala kukimbia mifumo ambayo imetokana na ukoloni. Siyo sisi tu hata nchi za Kiislamu au India, China na Japan zote zimekopa miufumo mbalimbali kutoka kwa Wakoloni. Ni sehemu ya historia zao kama vile ilivyo sehemu ya historia yetu. Zanzibar kwa mfano wana mifumo ambayo inatokana na ukoloni vile vile na hawawezi kuikimbia. Sasa tuiite mifumo hii kuwa ni "Mfumo Muhammad" au "Mfumo Islam" kwa sababu waliouleta na kuuunda ni Waislamu? Je wale Wakristu wachache walioko Zanzibar wauone kuwa ni mfumo ambao umetengenezwa kuwakandamiza wao?

2. Ninajitahidi kusoma sana mjadala huu tangu ulipoanza na kitu cha kusikitisha ni kuwa wachangiaji wengi wanaanglai kwa misingi ya "Waislamu" vs "Wakristu" na hivyo Mcangajiaji Mkristu anajikuta analazimika kuonekana anatetea MoU na yule Muislamu anaatakiwa kupinga MoU simply kwa sababu ya dini. Sasa hili laweza kuwa ni sawasawa kwa imani na ni haki kabisa lakini kuangalia kwa msingi huo peke yake haitoshi kwa maoni yangu. Kwanini tusiangalie kama "Watanzania" ambao tumeona tatizo ambalo tungependa lishughulikiwe na badala yake kuna maneo ya kila aina ya kejeli kutoka pande hizi mbili za kidini? Ni kweli kabisa hatuwezi kuzungumza kwa staha na heshima kuzungumzia tatizo na hatimaye kutafuta ufumbuzi. Hivi kweli sisi tunaozungumza humu tunaweza kukaa meza moja na kuzungumza kwa lugha tunayotumia hapa na tukapatana kweli?

3. Kama kweli watu hapa wanataka mema yatokee katika mjadala huu ni wazi lazima tuzungumze kwa ukweli na kwa kupima kabisa lolote tutakaloamua kwani ni rahisi kweli kuondoa ufadhili unaofanywa na serikali kwenye taasisi za kidini kwa ajili ya huduma ya kijamii. Hili wala haliitaji ushawishi mkubwa tu. Kama watu wanaona ni jambo lililokiuka sheria au katiba au ni la kibaguzi:

a. Wanaoamini wameathirika (taasisi au watu binafsi) wafungue kesi ya kutaka serikali isitishe kufanya hivyo. Hii ni njia rahisi kwa sababu pande zote zitasikilizwa na ushahidi utalazimishwa kuletwa katika mahakama ya sheria na ukweli ukiwekwa bayana uongo utafunuliwa. Binafsi kweli kabisa ningependa Waislamu ambao wanaamini kuwa MoU ni kinyume na Sheria au Katiba au hata haki za watu wengine wafungue kesi mahakamani kupinga.

b. Kama hilo la "a" haliwezekani jukumu la pili ni kujitahidi kuhakikisha serikali ambayo inatekeleza sera zake hizi inaondolewa madarakani ili ije serikali ambayo itaondoa mfumo huu ambao "unapendelea" kanisa? Kinachonishangaza ni kuwa baadhi ya watu wale wale ambao wanailamu serikali kwa kupendelea kanisa ndio hao hao wanaitetea serikali hiyo ili iendelee kutawala na hivyo kutufanya wengine tuhoji kama ni kweli wanaona serikali ni sehemu ya Kanisa au wanasema tu kwa sababu inasikika vizuri. Sielewei mtu ambaye anasem a"kanisa linaendesha serikali" halafu yeye mwenyewe anasimama na kusema "serikali yetu inafanya vizuri" ! I don't understand it.

Mwisho wa yote ni kuwa suluhisho lolote ambao tunalitaka ni lazima liwe zaidi ya dini zetu, makabili yetu, rangi zetu au mahali tunapotoka. Ni lazima liwe ambalo linajali maslahi ya kila Mtanzania na kuheshimu utu wake bila kupuuzia tofauti zetu za kidini. Je suluhisho hilo litafananaje?
 
Kwanini Serikali itowe ruzuku kwa kanisa? iwe hospitali au shule? kwanini serikali isipeleke hizo fedha kwenye hospitali za serikali? na shule za serikali?

Jee mnaona vyema Waislaam kwenda kuhudumiwa kwenye hospitali ambazo kitandani wamewekewa misalaba ambayo hawaiamni?
Jee mnaona vyema watoto wa Kiislaam kwenda mashule ya kikristo ambako hufundishwa maadili yasio yao? na kwaya mtindo mmoja?

Wacheni hizo. Hayo ndio mambo tuliyoyakataa kwa mkoloni lakini Nyerere ametulazimisha kwa nguvu na sasa bado unaendelezwa mfumo uleule kwa sababu tu aliwapa fursa za kusoma wakatoliki wenzake kwa makusudi kabisa, watoto wa kiislaam tulikuwa hatuchaguliwa kuendelea na masomo kwa makusudi kabisa, na haya hatusemi sisi, nyinyi wenyewe rejea kitabu cha Sivalon.

Halafu leo mnajidai kutetea hii dhulma, tunawaambia hii dhulma ina mwisho wake ama mwema ama mbaya lakini haitoendelea milele.

Brilliant! kama hayo maneno unayoaoysem ni ya kweli na unayaamini unajikuta unalazimika:

a. Kukataa dhulma na upendeleo unaofanywa na serikali ya CCM kwa kanisa kwa kutoa ruzuku
b. Unatakiwa kupinga vitendo hivyo vya serikali ya CCM kutumia fedha za umma kutoa ruzuku kwa hospitali za kanisa
c. Kuamua kuhakikisha kuwa serikali hii ya CCM ambayo inadaiwa kutumia zaidi ya bilioni 91 kwa ajili ya huduma za afya kupitia mahospitali ya Kanisa inaondolewa madarakani ili ije serikali nyingine ambayo haitapendelea makanisa na itakayoondoa mfumo huu.
d. Kupinga serikali ya CCM ambayo imekubali kufanya kazi kwa kuongozwa na Kanisa Katoliki na "mfumo kristu" ambao umekuwa na athari kubwa kwa Waislamu wa Tanzania.

Je uko tayari kuona serikali ya CCM inaondolewa madarakani ili kupisha mfumo bora zaidi wa haki na ambao hauonekana kupendelea Kanisa?
 
Ni kweli, tayari serikali inachangia gharama ya elimu ya juu kwa wanafunzi - je imeweza kuhakikishia wanafunzi wote wenye mahitjai wanapata fedha za kuendelea na masomo yao?

Pendekezo la serikali kutoa msaada kwa wagonjwa na wanafunzi moja kwa moja hili tayari limekuwa likitokea hasa kwa wanafunzi. Kwa mfano wanafunzi wanaosoma Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro waalipiwa baadhi ya kozi zao na serikali moja kwa moja. Je hili ni baya au iwasaidie lakini wasiende kwenye vyuo vya kidini?

Huku majuu kama ujuavyo hata mahospitali binafsi yapo yanayopokea fedha za umma kutokana na program mbalimbali na tena wao wanazo hizo grants n.k Kwa mfano hospitali ya chuo kikuu inayofanya utafiti au inayojikita kutoa huduma fulani inaweza kuomba grants toka serikalini na ikapewa fedha hizo za umma. Hili liko kwa mahospitali mbalimbali ya makanisa na hat aya taasisi za Kiyahudi. Lakini katika Tanzania ni hospitali za Rufaa na zile Teule ndio zinapokea grants hizo na watumishi wake wengine ni waajiriwa wa serikali kuu. Serikali ikisema iondoe hizo grants na kulipa wafanyakazi kwenye hospoitali hizo kama KCMC au Bugando nini kitatokea? Well, inaweza kuwafurahisha wale ambao hawataki fedha za umma ziende kwenye mahospitali ya makanisa lakini itakuwa na matokeo mazito sana kwa wananchi na wagonjwa.

Lakini kuna option nyingine ambayo nayo ni kuwa serikali ijitoe kwenye kutoa misaada hiyo lakini makanisa yaanizshe huduma ya "for profit" kwenye mahospitali yake. Well mahospitali hayo kwa hakika kabisa yanaweza kuendelea lakini ni wananchi wangapi wataweza kupata huduma hiyo ya kulipia?

Binafsi nina mitazamo ifuatayo kwenye suala zima:

1. Ukoloni ulikuwa na matokeo - Hatuwezi kufuta historia yetu au kukana mifumo yote ambayo imetokana na ukoloni. Kuanzia sheria, miundo ya elimu vyuo vyetu na hata ofisi zetu nyingi ni matokeo ya ukoloni huo huo. Hatuwezi kukana wala kukimbia mifumo ambayo imetokana na ukoloni. Siyo sisi tu hata nchi za Kiislamu au India, China na Japan zote zimekopa miufumo mbalimbali kutoka kwa Wakoloni. Ni sehemu ya historia zao kama vile ilivyo sehemu ya historia yetu. Zanzibar kwa mfano wana mifumo ambayo inatokana na ukoloni vile vile na hawawezi kuikimbia. Sasa tuiite mifumo hii kuwa ni "Mfumo Muhammad" au "Mfumo Islam" kwa sababu waliouleta na kuuunda ni Waislamu? Je wale Wakristu wachache walioko Zanzibar wauone kuwa ni mfumo ambao umetengenezwa kuwakandamiza wao?

2. Ninajitahidi kusoma sana mjadala huu tangu ulipoanza na kitu cha kusikitisha ni kuwa wachangiaji wengi wanaanglai kwa misingi ya "Waislamu" vs "Wakristu" na hivyo Mcangajiaji Mkristu anajikuta analazimika kuonekana anatetea MoU na yule Muislamu anaatakiwa kupinga MoU simply kwa sababu ya dini. Sasa hili laweza kuwa ni sawasawa kwa imani na ni haki kabisa lakini kuangalia kwa msingi huo peke yake haitoshi kwa maoni yangu. Kwanini tusiangalie kama "Watanzania" ambao tumeona tatizo ambalo tungependa lishughulikiwe na badala yake kuna maneo ya kila aina ya kejeli kutoka pande hizi mbili za kidini? Ni kweli kabisa hatuwezi kuzungumza kwa staha na heshima kuzungumzia tatizo na hatimaye kutafuta ufumbuzi. Hivi kweli sisi tunaozungumza humu tunaweza kukaa meza moja na kuzungumza kwa lugha tunayotumia hapa na tukapatana kweli?

3. Kama kweli watu hapa wanataka mema yatokee katika mjadala huu ni wazi lazima tuzungumze kwa ukweli na kwa kupima kabisa lolote tutakaloamua kwani ni rahisi kweli kuondoa ufadhili unaofanywa na serikali kwenye taasisi za kidini kwa ajili ya huduma ya kijamii. Hili wala haliitaji ushawishi mkubwa tu. Kama watu wanaona ni jambo lililokiuka sheria au katiba au ni la kibaguzi:

a. Wanaoamini wameathirika (taasisi au watu binafsi) wafungue kesi ya kutaka serikali isitishe kufanya hivyo. Hii ni njia rahisi kwa sababu pande zote zitasikilizwa na ushahidi utalazimishwa kuletwa katika mahakama ya sheria na ukweli ukiwekwa bayana uongo utafunuliwa. Binafsi kweli kabisa ningependa Waislamu ambao wanaamini kuwa MoU ni kinyume na Sheria au Katiba au hata haki za watu wengine wafungue kesi mahakamani kupinga.

b. Kama hilo la "a" haliwezekani jukumu la pili ni kujitahidi kuhakikisha serikali ambayo inatekeleza sera zake hizi inaondolewa madarakani ili ije serikali ambayo itaondoa mfumo huu ambao "unapendelea" kanisa? Kinachonishangaza ni kuwa baadhi ya watu wale wale ambao wanailamu serikali kwa kupendelea kanisa ndio hao hao wanaitetea serikali hiyo ili iendelee kutawala na hivyo kutufanya wengine tuhoji kama ni kweli wanaona serikali ni sehemu ya Kanisa au wanasema tu kwa sababu inasikika vizuri. Sielewei mtu ambaye anasem a"kanisa linaendesha serikali" halafu yeye mwenyewe anasimama na kusema "serikali yetu inafanya vizuri" ! I don't understand it.

Mwisho wa yote ni kuwa suluhisho lolote ambao tunalitaka ni lazima liwe zaidi ya dini zetu, makabili yetu, rangi zetu au mahali tunapotoka. Ni lazima liwe ambalo linajali maslahi ya kila Mtanzania na kuheshimu utu wake bila kupuuzia tofauti zetu za kidini. Je suluhisho hilo litafananaje?

Mkuu umeongea kweli tupu na ndiyo maana mimi nimesisitiza na naendelea kusisitiza kama kuna mtu humu JF ana numbers kuhusu namna gani hiyo financial assistance kupitia MoU inagawiwa au kutolewa. Baada ya hapo tutajua exactly tatizo liko wapi na we can brainstorm solutions. Tanzania ni nchi corrupt hilo linajulikana na kwenye corruption lazima kuna watu watakosa maadili iwe wakristo au waislamu. Only numbers will let us know je hizo hela zinatumikaje na is it appropriate?

Jingine naloliona ni kwamba hili tatizo kama lipo ni purely Tanzanian lakini kuna hatari ya kurukiwa na some foreign ideologies kwa kutumia fedha na ndiyo hapo tutakapoingia matatizoni rasmi. Mfano leo hii ukisema ok serikali inafuta financial assistance zote kwenye mashirika ya kidini which is a right thing kama kweli kuna upendeleo.

I am sure watatokea ma-opportunist kuitumia nafasi hiyo kujineemesha, watu wasio waadilifu si ajabu ukiwasikia wako US au Uingereza na kusema wakristo wanapigwa vita Tanzania na kutumia upenyo huo. Na mbaya zaidi ikiwa hoja zikajengwa kupitia viongozi wa serikali wako dini gani kama anavyofanya MS na kuwa ndiyo maana uamuzi huo umepitishwa. As u know nchi kama Marekani kuna wale religious fanatics watakuwa tayari kuchip in say kuendelea kusaidia hizo huduma za jamii ambazo kwa watu wasio waadilifu zitakuwa zimepewa pass na serikali kufanya ubaguzi. The same way could happen kwenye shule au hospitali za mshirika ya dini ya kiislamu.

It's only numbers ndiyo zitatusaidia kulielewa hili jambo kwa mapana na kisayansi na kulitafutia "a Tanzanian solution for Tanzanians"

Hapana kaka mimi nina tafsiri tofauti na hiyo walokuwa nayo wanaharakati dhidi ya kanisa. Mimi napinga kabisa mfumo huu uloasisiwa na makanisa ktk nchi za makoloni ya wazungu iwe kwa kufuata makabila au dini ni mfumo usiofaa kama tunavyolaani Ugaidi wa Al Shabab ingawa wao wanajiita wana mapinduzi!

Huu mfumo wa kanisa hauwezi kuisha leo au kesho. kwa serikali ya CCM ambayo mbunge ni mpokea mshahara mkubwa kuliko afisa elimu wa wilaya , mganga , mkuu wa wilaya na afisa ilimo wa wilaya. Sio kwamba nafurahi sababu nami ni mkristo No lakini reality ndivyo ilivyo.

Sababu politcs career ni highest paying job. hayawezi kuisha na kwa kuwa sasa mdudu siasa kashikana na dini na kwa ccm tutakiona.

mfumo huo hauwezi kuisha sababu effect ya tatizo sasa imechukuliwa kama ndio chanzo hailsi cha tatizo.

Tujiulize kwa nini kanisa liweze kupeleka madaktari wazuri ndanda,sengerema,Turiani etc lakini serikali inashindwa kuwapeleka walimu au madkari bingwa wilayani kama lindi na mtwra, kigoma, igunga . Priority
.

Mimi bado naona watu wengi wanapiga hizi fund kutolewa basi kwanza tuanze kuungana kupinga serikalili kutangaza mikoa mipya, wilaya mpya na majimbo mapya bila kuwepo kwa huduma za msingi.

hivi ikikatwaa fund mfano hospitali ya Turiani au sengerema
  • anakomelwa nani?
  • Ni kwa faida ya nani?
Tutashangaa tukiskia child mortlity rate inaongezeka ? japo tuna dini na mm mkristu tutambue nchi hii ni kubwa. jani a kila watanzania wana haki
 
Mkuu umeongea kweli tupu na ndiyo maana mimi nimesisitiza na naendelea kusisitiza kama kuna mtu humu JF ana numbers kuhusu namna gani hiyo financial assistance kupitia MoU inagawiwa au kutolewa. Baada ya hapo tutajua exactly tatizo liko wapi na we can brainstorm solutions. Tanzania ni nchi corrupt hilo linajulikana na kwenye corruption lazima kuna watu watakosa maadili iwe wakristo au waislamu. Only numbers will let us know je hizo hela zinatumikaje na is it appropriate?

Jingine naloliona ni kwamba hili tatizo kama lipo ni purely Tanzanian lakini kuna hatari ya kurukiwa na some foreign ideologies kwa kutumia fedha na ndiyo hapo tutakapoingia matatizoni rasmi. Mfano leo hii ukisema ok serikali inafuta financial assistance zote kwenye mashirika ya kidini which is a right thing kama kweli kuna upendeleo.

I am sure watatokea ma-opportunist kuitumia nafasi hiyo kujineemesha, watu wasio waadilifu si ajabu ukiwasikia wako US au Uingereza na kusema wakristo wanapigwa vita Tanzania na kutumia upenyo huo. Na mbaya zaidi ikiwa hoja zikajengwa kupitia viongozi wa serikali wako dini gani na kuwa ndiyo maana uamuzi huo umepitishwa. As u know nchi kama Marekani kuna wale religious fanatics watakuwa tayari kuchip in say kuendelea kusaidia hizo huduma za jamii ambazo kwa watu wasio waadilifu zitakuwa zimepewa pass na serikali kufanya ubaguzi. The same way could happen kwenye shule au hospitali za mshirika ya dini ya kiislamu.

It's only numbers ndiyo zitatusaidia kulielewa hili jambo kwa mapana na kisayansi na kulitafutia "a Tanzanian solution for Tanzanians"

Kwanza samahani nili m qoute vibaya Mdondoaji akizungumzia act hali mimi nimechukua maelezo ya Zing akiuliza ni wapi katiba imekuwa ammended hali na yeye pia ali qoute act.. Mimi ndiye sikujua walikuwa wakizungumzia kitu gani..nadhani tumemaliza huko.

Pili, unaitaka figure ili iweje? swala ni huu muafaka ulopitishwa baina ya serikali na kanisa ni kinyume, kisha hizo figure kaa nilizosema mimi alizisema JK akiwa amehudhuria hafla fulani ya Kikristu akiwa mgeni mwalikwa.. Nakumbuka nilikuwa Bongo wakati huo, na watu tukashtuka sana ukawa mjadala mkubwa kuhusu hizi fedha wengine wakisema ni ruzuku pekee na wengine wakijumuisha na misamaha. Hatujui kama tusivyojua mshahara wa JK, makamu, maziri mkuu na kadhlika na maadam Jk kasema huwapa na MoU ndio huu hapa - unataka ushahidi gani zaidi.

Na samahani tena kusema kwamba numbers kwa waislaam doesn't matter anymore, maadam fedha zinapewa taasisi moja au mbili na wameingia muafaka na taasisi hizi bila ridhaa yetu ni uvunjaji wa sheria kikatiba. Makanisa wanazitumia vipi hili sii swala maana hata private owned zinatakiwa kuorodhesha matumizi yao kwa ajili ya tax..Mimi siko interested kujua kanisa wanazitumia vipi fedha za serikali isipokuwa sitaki wapewe maadam tayari imekwisha ingia Ufisadi, serikali ijenge shule zake ama iwape wanafunzi fedha za kuwawezesha kusonga mbele kwa wale waliofaulu..kwa sababu haiwezekani serikali kugawa ruzuku huku ikiwalazimisha wananchi kujitolea kujenga shule na zahanati bila kulipwa hata senti...

Zaidi ya hapo ni majuzi tu nimekuja fahamu kwamba ni wakati wa Mwinyi ulipopitishwa MoU sii Mkapa kwa hiyo nahabarishwa zaidi kwa kila mjadala unaotokea hapa JF isipokuwa hauwezi kubadilisha mtazamo wangu bila kuwepo kishawishi cha uhalai wa mkatanba kama huu. Na binafsi naamini kabisa Nyerere hakuwa mjinga kufikia kutaifisha shule ambazo hata yeye zilimsomesha na yeye akiwa mkristu. Lazima walikaa na kutazama hali halisi namazingira yetu kufikia maamuzi hayo na kweli elimu wakati wake hata Wamasai waliweza kuingia shule bila kujali umaskini wao na taratibu dini na makabila duni waliweza kuongeza hesabu za wasomi wake na hakuna mtu aliyezungumzia udini wala ukabila lakini sii siku hizi.. Haya mambo yanayotokea leo Tanzania ni mageni kwangu yananikumbusha zaidi utotoni wangu nilipokulia ukienda hata sokoni kibara lazima uzungumze Kijita au kikerewe upate kueleweka. na kuhudumniwa... haaa ! haaa !

Foreign forces haziwezi kutulazimisha vitu kutokana na mfumo wao wa maisha. Wao wanaruhusu Ushoga sii lazima sisi tukubali kwa sababu wamesema na hata kama tukikubali basi ikubalike kwa sababu itawanufaisha hakli za mashoga na sii kuwaridhisha foreigners.. Swala la MoU halifaidishi wakristu wala waislaam isipokuwa linawafaidisha kanisa ambao wanakusanya mabillioni ya fedha kutoka michango ya watu ili kuendesha shughuli hizi dunia nzima. Sasa kwa imani ya dini yangu kuifunga serikali tu ktk jambo la sadaka ni kuifuta thawabu, wao maadam wamejitolea sijui kama volunteer ama NGo basi na wafanye kama wenzao na sii kutufunga sisi kuwapa ruzuku kwa sababu ya connection yao na Mwinyi, Lowassa na kadhalika...

Serikali iwe inasaidia kuwafadhili WAGONJWA NA SIO HOSPITALI!!!! Hili litaondoa upendeleo uliopo katika mahospitali ya kanisa. Hospitali za kanisa au za private zijitegemee zenyewe bila ya msaada wa serikali. Badala yake serikali ijikite kuwasaidia matibabu wagonjwa.
 
Ni kweli, tayari serikali inachangia gharama ya elimu ya juu kwa wanafunzi - je imeweza kuhakikishia wanafunzi wote wenye mahitjai wanapata fedha za kuendelea na masomo yao?

Pendekezo la serikali kutoa msaada kwa wagonjwa na wanafunzi moja kwa moja hili tayari limekuwa likitokea hasa kwa wanafunzi. Kwa mfano wanafunzi wanaosoma Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro waalipiwa baadhi ya kozi zao na serikali moja kwa moja. Je hili ni baya au iwasaidie lakini wasiende kwenye vyuo vya kidini?

Huku majuu kama ujuavyo hata mahospitali binafsi yapo yanayopokea fedha za umma kutokana na program mbalimbali na tena wao wanazo hizo grants n.k Kwa mfano hospitali ya chuo kikuu inayofanya utafiti au inayojikita kutoa huduma fulani inaweza kuomba grants toka serikalini na ikapewa fedha hizo za umma. Hili liko kwa mahospitali mbalimbali ya makanisa na hat aya taasisi za Kiyahudi. Lakini katika Tanzania ni hospitali za Rufaa na zile Teule ndio zinapokea grants hizo na watumishi wake wengine ni waajiriwa wa serikali kuu. Serikali ikisema iondoe hizo grants na kulipa wafanyakazi kwenye hospoitali hizo kama KCMC au Bugando nini kitatokea? Well, inaweza kuwafurahisha wale ambao hawataki fedha za umma ziende kwenye mahospitali ya makanisa lakini itakuwa na matokeo mazito sana kwa wananchi na wagonjwa.

Lakini kuna option nyingine ambayo nayo ni kuwa serikali ijitoe kwenye kutoa misaada hiyo lakini makanisa yaanizshe huduma ya "for profit" kwenye mahospitali yake. Well mahospitali hayo kwa hakika kabisa yanaweza kuendelea lakini ni wananchi wangapi wataweza kupata huduma hiyo ya kulipia?

Binafsi nina mitazamo ifuatayo kwenye suala zima:

1. Ukoloni ulikuwa na matokeo - Hatuwezi kufuta historia yetu au kukana mifumo yote ambayo imetokana na ukoloni. Kuanzia sheria, miundo ya elimu vyuo vyetu na hata ofisi zetu nyingi ni matokeo ya ukoloni huo huo. Hatuwezi kukana wala kukimbia mifumo ambayo imetokana na ukoloni. Siyo sisi tu hata nchi za Kiislamu au India, China na Japan zote zimekopa miufumo mbalimbali kutoka kwa Wakoloni. Ni sehemu ya historia zao kama vile ilivyo sehemu ya historia yetu. Zanzibar kwa mfano wana mifumo ambayo inatokana na ukoloni vile vile na hawawezi kuikimbia. Sasa tuiite mifumo hii kuwa ni "Mfumo Muhammad" au "Mfumo Islam" kwa sababu waliouleta na kuuunda ni Waislamu? Je wale Wakristu wachache walioko Zanzibar wauone kuwa ni mfumo ambao umetengenezwa kuwakandamiza wao?

2. Ninajitahidi kusoma sana mjadala huu tangu ulipoanza na kitu cha kusikitisha ni kuwa wachangiaji wengi wanaanglai kwa misingi ya "Waislamu" vs "Wakristu" na hivyo Mcangajiaji Mkristu anajikuta analazimika kuonekana anatetea MoU na yule Muislamu anaatakiwa kupinga MoU simply kwa sababu ya dini. Sasa hili laweza kuwa ni sawasawa kwa imani na ni haki kabisa lakini kuangalia kwa msingi huo peke yake haitoshi kwa maoni yangu. Kwanini tusiangalie kama "Watanzania" ambao tumeona tatizo ambalo tungependa lishughulikiwe na badala yake kuna maneo ya kila aina ya kejeli kutoka pande hizi mbili za kidini? Ni kweli kabisa hatuwezi kuzungumza kwa staha na heshima kuzungumzia tatizo na hatimaye kutafuta ufumbuzi. Hivi kweli sisi tunaozungumza humu tunaweza kukaa meza moja na kuzungumza kwa lugha tunayotumia hapa na tukapatana kweli?

3. Kama kweli watu hapa wanataka mema yatokee katika mjadala huu ni wazi lazima tuzungumze kwa ukweli na kwa kupima kabisa lolote tutakaloamua kwani ni rahisi kweli kuondoa ufadhili unaofanywa na serikali kwenye taasisi za kidini kwa ajili ya huduma ya kijamii. Hili wala haliitaji ushawishi mkubwa tu. Kama watu wanaona ni jambo lililokiuka sheria au katiba au ni la kibaguzi:

a. Wanaoamini wameathirika (taasisi au watu binafsi) wafungue kesi ya kutaka serikali isitishe kufanya hivyo. Hii ni njia rahisi kwa sababu pande zote zitasikilizwa na ushahidi utalazimishwa kuletwa katika mahakama ya sheria na ukweli ukiwekwa bayana uongo utafunuliwa. Binafsi kweli kabisa ningependa Waislamu ambao wanaamini kuwa MoU ni kinyume na Sheria au Katiba au hata haki za watu wengine wafungue kesi mahakamani kupinga.

b. Kama hilo la "a" haliwezekani jukumu la pili ni kujitahidi kuhakikisha serikali ambayo inatekeleza sera zake hizi inaondolewa madarakani ili ije serikali ambayo itaondoa mfumo huu ambao "unapendelea" kanisa? Kinachonishangaza ni kuwa baadhi ya watu wale wale ambao wanailamu serikali kwa kupendelea kanisa ndio hao hao wanaitetea serikali hiyo ili iendelee kutawala na hivyo kutufanya wengine tuhoji kama ni kweli wanaona serikali ni sehemu ya Kanisa au wanasema tu kwa sababu inasikika vizuri. Sielewei mtu ambaye anasem a"kanisa linaendesha serikali" halafu yeye mwenyewe anasimama na kusema "serikali yetu inafanya vizuri" ! I don't understand it.

Mwisho wa yote ni kuwa suluhisho lolote ambao tunalitaka ni lazima liwe zaidi ya dini zetu, makabili yetu, rangi zetu au mahali tunapotoka. Ni lazima liwe ambalo linajali maslahi ya kila Mtanzania na kuheshimu utu wake bila kupuuzia tofauti zetu za kidini. Je suluhisho hilo litafananaje?
Nitakuuliza swali moja tu rahisi sana.. Kwa nini swala la Richmond hukulijengea sababu kama hizi? Je, hakuna watu wanaosema Lowaasa ni fisadi at the same time wanamtaka awe rais wa 2015! yasikushangaze haya wewe fikiria nje ya box la udini kama unavyofanya, na jaribu kuvaa viatu vya Waislaam na sii watanzania kwa sababu hatuzungumzii shida ya wananchi na wanafaidika vipi au watafaidika vipi isipokuwa makosa ya awali yaliyofanyika.. Issue ni RICHMOND na hapa issue ni MoU na kanisa, wananchi waweke pembeni kabisa kwa sababu hawakuhusika na kuweka MoU. Hivyo sisi tumekataa mkataba ule, hatukujali hizo Mw100 zingeweza kusaidia watu wangapi na kutuacha kizani muda gani, Kama unavyopinga NSSF kwa makosa ya viongozi wake haina maana hupendi huduma za NSSF..hili nalo ni mojawapo..
 
Kwanza samahani nili m qoute vibaya Mdondoaji akizungumzia act hali mimi nimechukua maelezo ya Zing akiuliza ni wapi katiba imekuwa ammended hali na yeye pia ali qoute act.. Mimi ndiye sikujua walikuwa wakizungumzia kitu gani..nadhani tumemaliza huko.

Pili, unaitaka figure ili iweje? swala ni huu muafaka ulopitishwa baina ya serikali na kanisa ni kinyume, kisha hizo figure kaa nilizosema mimi alizisema JK akiwa amehudhuria hafla fulani ya Kikristu akiwa mgeni mwalikwa.. Nakumbuka nilikuwa Bongo wakati huo, na watu tukashtuka sana ukawa mjadala mkubwa kuhusu hizi fedha wengine wakisema ni ruzuku pekee na wengine wakijumuisha na misamaha. Hatujui kama tusivyojua mshahara wa JK, makamu, maziri mkuu na kadhlika na maadam Jk kasema huwapa na MoU ndio huu hapa - unataka ushahidi gani zaidi.

Na samahani tena kusema kwamba numbers kwa waislaam doesn't matter anymore, maadam fedha zinapewa taasisi moja au mbili na wameingia muafaka na taasisi hizi bila ridhaa yetu ni uvunjaji wa sheria kikatiba. Makanisa wanazitumia vipi hili sii swala maana hata private owned zinatakiwa kuorodhesha matumizi yao kwa ajili ya tax..Mimi siko interested kujua kanisa wanazitumia vipi fedha za serikali isipokuwa sitaki wapewe maadam tayari imekwisha ingia Ufisadi, serikali ijenge shule zake ama iwape wanafunzi fedha za kuwawezesha kusonga mbele kwa wale waliofaulu..kwa sababu haiwezekani serikali kugawa ruzuku huku ikiwalazimisha wananchi kujitolea kujenga shule na zahanati bila kulipwa hata senti...

Zaidi ya hapo ni majuzi tu nimekuja fahamu kwamba ni wakati wa Mwinyi ulipopitishwa MoU sii Mkapa kwa hiyo nahabarishwa zaidi kwa kila mjadala unaotokea hapa JF isipokuwa hauwezi kubadilisha mtazamo wangu bila kuwepo kishawishi cha uhalai wa mkatanba kama huu. Na binafsi naamini kabisa Nyerere hakuwa mjinga kufikia kutaifisha shule ambazo hata yeye zilimsomesha na yeye akiwa mkristu. Lazima walikaa na kutazama hali halisi namazingira yetu kufikia maamuzi hayo na kweli elimu wakati wake hata Wamasai waliweza kuingia shule bila kujali umaskini wao na taratibu dini na makabila duni waliweza kuongeza hesabu za wasomi wake na hakuna mtu aliyezungumzia udini wala ukabila lakini sii siku hizi.. Haya mambo yanayotokea leo Tanzania ni mageni kwangu yananikumbusha zaidi utotoni wangu nilipokulia ukienda hata sokoni kibara lazima uzungumze Kijita au kikerewe upate kueleweka. na kuhudumniwa... haaa ! haaa !

Foreign forces haziwezi kutulazimisha vitu kutokana na mfumo wao wa maisha. Wao wanaruhusu Ushoga sii lazima sisi tukubali kwa sababu wamesema na hata kama tukikubali basi ikubalike kwa sababu itawanufaisha hakli za mashoga na sii kuwaridhisha foreigners.. Swala la MoU halifaidishi wakristu wala waislaam isipokuwa linawafaidisha kanisa ambao wanakusanya mabillioni ya fedha kutoka michango ya watu ili kuendesha shughuli hizi dunia nzima. Sasa kwa imani ya dini yangu kuifunga serikali tu ktk jambo la sadaka ni kuifuta thawabu, wao maadam wamejitolea sijui kama volunteer ama NGo basi na wafanye kama wenzao na sii kutufunga sisi kuwapa ruzuku kwa sababu ya connection yao na Mwinyi, Lowassa na kadhalika...

Serikali iwe inasaidia kuwafadhili WAGONJWA NA SIO HOSPITALI!!!! Hili litaondoa upendeleo uliopo katika mahospitali ya kanisa. Hospitali za kanisa au za private zijitegemee zenyewe bila ya msaada wa serikali. Badala yake serikali ijikite kuwasaidia matibabu wagonjwa.

Mkuu nashukuru umekuwa muungwana kuhusiana kumquote vibaya mdondoaji. Anyways tuendelee na Mjadala. Hoja yangu kuhusu numbers si ile numbers jumla jumla bali ni mchanganuo. Tanzania ni nchi ya kifisadi unaweza kukuta fedha hizo nusu wanajilipa watu wa wizara husika kwa kisingizio cha usimamizi na hata hao viongozi wa hizo institutions husika wanaweza kuwa na mabao yao. Sasa we need to go deeper than what we are doing ili kufahamu nini hasa kinaendelea.

Ndani ya siku mbili hizi kumekuwa na taarifa kwamba Bilioni 2.2 zimetumika TCRA kusomesha watu watatu short course. Huko Mtwara 1.4 bilioni zimetumika kukarabati nyumba ya mkuu wa mkoa. Sasa ukiangalia trends kama hizi it's really disturbing.

Tukija kwenye uhalali wa hiyo MoU inakuwa debatable kwa sababu haijawahi kuwa challenged kama inavyofanywa sasa na pia kama ulivyosema hii kitu ilifanyioka in the eyes of Mwinyi ambaye siamini kama hii MoU ingekuwa ni ya kukandamiza dini zingine ingepita. Nadhani tunafahamu ukubwa wa madaraka ya Raisi Tanzania.

Kuhusu foreign forces, hiyo inanijia kwa sababu ya kuwa na corrupt society, kila kitu is for sale Tanzania na watu wasio waadilifu ni wengi mno siku hizi. Hivyo lolote linaweza kuitokea ili mradi kuna fedha imetangulizwa.
 
Brilliant! kama hayo maneno unayoaoysem ni ya kweli na unayaamini unajikuta unalazimika:

a. Kukataa dhulma na upendeleo unaofanywa na serikali ya CCM kwa kanisa kwa kutoa ruzuku
b. Unatakiwa kupinga vitendo hivyo vya serikali ya CCM kutumia fedha za umma kutoa ruzuku kwa hospitali za kanisa
c. Kuamua kuhakikisha kuwa serikali hii ya CCM ambayo inadaiwa kutumia zaidi ya bilioni 91 kwa ajili ya huduma za afya kupitia mahospitali ya Kanisa inaondolewa madarakani ili ije serikali nyingine ambayo haitapendelea makanisa na itakayoondoa mfumo huu.
d. Kupinga serikali ya CCM ambayo imekubali kufanya kazi kwa kuongozwa na Kanisa Katoliki na "mfumo kristu" ambao umekuwa na athari kubwa kwa Waislamu wa Tanzania.

Je uko tayari kuona serikali ya CCM inaondolewa madarakani ili kupisha mfumo bora zaidi wa haki na ambao hauonekana kupendelea Kanisa?

a) Kinachoongelewa hapa si sera za chama fulani, ukumbuke kuwa "mfumo" wa serikali si sera ya chama. Leo hata ukiweke chama kingine chochote madarakani hakiwezi kuja na mfumo mpya, kitakuja na sera tu mpya, uliwahi kusikia chama kipi kikasema kitakuja na mfumo mpya? Uliwahi kuisikia Chadema ikiuliza hata siku moja kwanini Serikali inapeleka fedha hizo zote kanisani? sijasikia hata siku moja na wala sitegemei kusikia. Na unajuwa kwanini, usitake kuuhamisha huu mjadala huko na kuifanya hii ni sera ya CCM. Chanzo chake ni Nyerere na ndio sababu ya kupewa uwenye "heri" kuelekea Utakatifu. Sidanganyiki.

b) Soma a).

c) Soma a)

d) Soma a)

Unafanya kila njia kuupeleka mjadala huu kuwa wa CCM, nakuuliza hao waliotokea vyama vingine si walitokea hukohuko, kuna mmoja wao umeshamsikia akipinga mfumo unaoongelewa?

Sisi hatuongelei chama hapa, tunataka fedha hizo zilizochotwa ki wizi na kifisadi zirudishwe kwa wanachi haraka iwezekenavyo.
 
Back
Top Bottom