Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mikafiri imejaa sana pale dubai, wamefata nini? Huko ni kutafuta maisha tu,Kama kuna maendelo kwani waislam kutoka Syria, Afrika magharibi na Libya wanakufa kwenye maji wanaenda Uingereza na Italy? Kwanini wasiende Dubai ambapo kuna maendeleo?
wewe ni wa dini ile nadhani, tena wa pwani, maana hata ID yako ni matusi ya waarabuTafakuri vizuri post yangu,acha kubweka
Raisi wa pili wanne na sasa wa 6 wote hao hawakuliona hilo?Ni mtanzania kama alivyokua yule mtz mhutu, na yule wa kwanza mtz mnyarwanda na yule wa tatu mtz mmachinga,
Utaratibu utafutwa au tutaenda sawa, itabidi msubiri tu sindano iwaingie ingawa mnaudhika
Waambie sasa serikali yako wawape na wao mgao wao uone kama watashindwa kujenga hizo hospitali,Ritz nchi nzima imejaa misikiti na madimbwi ya kutawaza . Unadhani hiyo ni sawa? Achaneni na tende, harua na upuuzi mwingine, jenga hospital.
Sasa kimeingia kimbunga cha Wagriki kununua ng'ombe hata elfu kumi eti zawadi siku ya Idd Kuchinja! Wanawaona akili matope nyinyi ni kula tu!...tende, harua, madrasa na vitu petty kama hivyo. Ni dharau kwenu!
Hawa ni waadilifu, na walibanwa sana na kanisa, ila sasa tumepata mtu sahihi wa kumaliza mzizi wa fitnaRaisi wa pili wanne na sasa wa 6 wote hao hawakuliona hilo?
Afutilie mbali hakuna tatizo kwangu juu ya hiloHawa ni waadilifu, na walibanwa sana na kanisa, ila sasa tumepata mtu sahihi wa kumaliza mzizi wa fitna
Hongera sana awamu ya sita
Kwahiyo tz nzima hakuna hospital binafsi?Sasa hizo Hospitali binafsi ziko wapi Aga khan? Hivi wewe hii nchi unaijua vizuri au unafikiri Tanzania ni Dar? Tembea uone na ujifunze isitoshe unafikiri bila ya KCMC au Bugando hali ya huduma ya afya ingekuwaje?
Acha uwongo mkuu,hizo ninkwa ajili ya kulipa wafanyakazi walio katika hospitali hizo, ambao wengine wamepelekea kwenye hizo hospitali na serikali yenyewe.Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Muft hadi ulinzi wa serikalikama wanalipwa waache pia.
Weka mkataba hapa tujadili kwa kina.....Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Lini waislamu mlijenga hospitaliLini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
😳Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Unaonaje tukashirikiana kwanza kupiga DPW chini halafu ndo tuje kwenye hiyo hoja yako ya TEC? [emoji847]Wanaukumbi.