Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Hata wangepewa 100b kwani serikali ikifungwa pingu kuzitoa?, Nenda mahakamani kadai ila hili la DPwedi mpka vibaragashia vya Waarabu vilowe.
 
Kama kuna maendelo kwani waislam kutoka Syria, Afrika magharibi na Libya wanakufa kwenye maji wanaenda Uingereza na Italy? Kwanini wasiende Dubai ambapo kuna maendeleo?
Hata mikafiri imejaa sana pale dubai, wamefata nini? Huko ni kutafuta maisha tu,
Jibuni hoja kwanini serikali iwape hela nyie tu kila mwaka wakati huduma mnachaji?

Safari hii hatuwaachi mpaka kieleweke,
Kikubwa utakacjojibu utakimbilia kisima cha kutawazia baada ya kushindwa hoja
Kafiri ni kafiri tu
 
Ni mtanzania kama alivyokua yule mtz mhutu, na yule wa kwanza mtz mnyarwanda na yule wa tatu mtz mmachinga,
Utaratibu utafutwa au tutaenda sawa, itabidi msubiri tu sindano iwaingie ingawa mnaudhika
Raisi wa pili wanne na sasa wa 6 wote hao hawakuliona hilo?
 
Ritz nchi nzima imejaa misikiti na madimbwi ya kutawaza . Unadhani hiyo ni sawa? Achaneni na tende, harua na upuuzi mwingine, jenga hospital.
Sasa kimeingia kimbunga cha Wagriki kununua ng'ombe hata elfu kumi eti zawadi siku ya Idd Kuchinja! Wanawaona akili matope nyinyi ni kula tu!...tende, harua, madrasa na vitu petty kama hivyo. Ni dharau kwenu!
Waambie sasa serikali yako wawape na wao mgao wao uone kama watashindwa kujenga hizo hospitali,
Nyie mnafkiri kila mtu mgonjwa kama nyie?
Au kila mtu anataka kuishi hapa milele?
 
Sasa hizo Hospitali binafsi ziko wapi Aga khan? Hivi wewe hii nchi unaijua vizuri au unafikiri Tanzania ni Dar? Tembea uone na ujifunze isitoshe unafikiri bila ya KCMC au Bugando hali ya huduma ya afya ingekuwaje?
Kwahiyo tz nzima hakuna hospital binafsi?
 
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Acha uwongo mkuu,hizo ninkwa ajili ya kulipa wafanyakazi walio katika hospitali hizo, ambao wengine wamepelekea kwenye hizo hospitali na serikali yenyewe.
 
Kwa uelewa wako finyu wa kutokuwa na uelewa wa kutosha hujui kuwa hospitali mfano Bugando inaendeshwa na Tec kwa kushirikiana na Wizara ya Afya. Sasa wakitoa ruzuku tatizo liko wapi unaona ni kama wanatoa sadaka isiyikaguliwa.
UNapokuwa huelewi jambo nenda basinhata kwenye tovuti zao usome kabla ya kulalamika bila sababu zisizo na mashiko
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Weka mkataba hapa tujadili kwa kina.....
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
😳
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Unaonaje tukashirikiana kwanza kupiga DPW chini halafu ndo tuje kwenye hiyo hoja yako ya TEC? [emoji847]
 
Back
Top Bottom