Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

Hawa watawala ni si tu "wajinga" bali ni "wapumbavu" sana kwa sababu;

✓ Wanadhania hiki ni kizazi cha miaka ya 1980s au 1990s kuja mpaka 20010 ya enzi za giza..
✓ Bado wanatumia njia na mbinu zilezile za wizi na ulaji rushwa za miaka yote kuliangamiza taifa na nchi hii nzuri tuliyopewa na Mungu urithi wetu na watoto wa watoto wetu...
✓ Wameshindwa kusoma alama za nyakati kabisa ili waelewe kuwa majira (seasons) na nyakati (times) zimebadilika ili na wao wapate kubadilika..!
✓ Na kwa sababu hii, wametufanya watanzania zaidi ya 60,000,000 ni wajinga sana kama walivyo wajinga wao..!!

Si tu Prof Makame Mbarawa anayepaswa kujiuzulu, bali hata Samia Suluhu Hassan anapaswa kuondoka..!!
 
Ndugu denooJ, hii kitu haitaenda popote. Amini maneno haya!!.

Huu moto uliokwisha kuwashwa haumwachi salama..

Kuna wanaosema eti, wamesalitoana wao Kwa wao humo ndani ya serikali kiasi cha huu upuuzi na uchafu wao wanaita "classified infos" kutoka hadharani nje na kuleta chaos hii inayoendelea sasa..

But, who cares? Kwa sababu Kwa vipimo vyote, huu mkataba ni uchafu na ni mpango na njama hatari za Rais Samia na Wazanzibari wenzake kuhujumu usalama na umoja wa taifa na nchi yetu nzuri ya Tanganyika..

Na kama ni hivyo, hawa waliovujisha hii kitu na kutoka nje hadharani, hakika hawa ni WAZALENDO WA TAIFA. Wanatakiwa kupewa nishani ya heshima ya taifa la Tanganyika..!
 
Kalamu uko tayari kuipigania Tanganyika yako?

I am glad to hear this.

Lakini Kwa kuanzia, tuanze kupigania Taifa letu la Tanganyika kwa kupiga kelele Kwa namna hii bila kunyamaza..
 
Kalamu uko tayari kuipigania Tanganyika yako?

I am glad to hear this.

Lakini Kwa kuanzia, tuanze kupigania Taifa letu la Tanganyika kwa kupiga kelele Kwa namna hii bila kunyamaza..
Wamekwisha sema tutakapochoka kupiga kelele tutanyamaza.
Wanatoa mfano kabisa wa kelele zilizomwandama Mkapa katika ubinafsishaji wa NBC; na wanatolea mfano wa kelele kumalizika na ufanisi wa ubinafsishaji huo uliopingwa.

Lakini wao hawaoni tofauti kubwa sana iliyopo, kati ya ubinafsishaji wa Benki ile na kelele zilizoambatana nayo, na ubinafsishaji huu wa Bandari, ambao ni kuleta utawala wa nchi ya nje kuja kuendesha shughuli zake hapa kwa makubaliano yasiyokuwa rafiki kwa nchi yetu.

Sasa wasubiri kama kweli waTanzania watanyamaza, au waanze kuwa na hofu ya wao kuendelea kuwepo madarakani. Sijui ni kwa nini hili hawalitilii maanani akilini mwao.
Wao wanadhani wapo salama sana!
 
Kama alivyoeleeza Lissu, njia iliyopo ni kutupilia mbali hicho kinachoitwa mkataba wa msingi/makubaliano ili kuondoa nchi kwenye kifungo cha kujitakia. Hiyo kampuni ije kama mwekezaji mwingine yoyote kama alivyokuwa TICTS iombe tender ya kufanya operation za makontena bandarini. Full stop!!​
 
Amefafanua vizuri Sana ,kuhusu uvunjwaji ila kwaccm haiwezekani kwasababu wameingia wao na WAnamalengo Yao

Labda waje wapate mtu aina ya magufuli mpya mwingine
 
Amefafanua vizuri Sana ,kuhusu uvunjwaji ila kwaccm haiwezekani kwasababu wameingia wao na WAnamalengo Yao

Labda waje wapate mtu aina ya magufuli mpya mwingine
Mkuu 'kina' CCM ipo ukingoni.
Itakuwa ni kwa miujiza tu CCM kama ilivyo sasa kuendelea kuwepo madarakani ndani ya nchi hii.

Lakini kama unavyosema, labda ijigeuze haraka sana humo humo ndani kwa ndani.
 
Huyi lussu anafanganyanjweuoe..


Atueleze yeye kesi zipi za mikataba ya kimataifa alizoshinda. Simpo.
Tafiti zote duniani zinaonyesha zaidi ya 50% ya wachawi ni JINSIA Yako.

Unaliongeleaje Hilo bi Faiza?
 
Kwa wabongo mtahujumu miundombinu mpaka akimbie
Tuanajuana
SGR wamepiga mpaka leo Dar/ Moro mnacheka tu
 
Tatizo ni 'logistics' mkuu 'denooJ'.

Hakuna anayetaka huu mkataba utekelezwe hata kwa sekunde moja, lakini ukiangalia wanavyokomaa nao, ni vigumu sana kudhani watabadili mawazo yao usitekelezwe.

Sana sana wanachoweza kufanya sasa hivi kuhadaa wat, ni kufanya marekebisho ya 'kiini macho'; kuhadaa watu kuwa wamesikia kelele zao, huku marekebisho ya kina kuondoa hatari ya kutawaliwa toka nje kwa 'romote' yakibaki kwenye mkataba huo.

Niambie, "ndani ya mwezi mmoja" au hata kabla ya 2025, tunaweza kufanya kitu gani kuwastua hawa watu wasiendelee na uhuni wao huu?
 
Lakini this time, Kuna mbuyu utaanguka Kwa kisu tu..

Kama hawajui, sasa wajue na kutambua kuwa tuko kwenye majira na nyakati zingine kabisa, sio miaka ya NBC au mikataba ya madini au ubinafsishaji wa TANESCO..

Hapa tunaongelea mtu (Rais Samia Suluhu Hassan) wa nchi/taifa jingine (Zanzibar) kutaka kuuza taifa jingine (Tanganyika). Hili halipiti hivi na ni lazima liondoke na watu..

Wewe subiri tu utaona...
 
Tafiti zote duniani zinaobyesha zaidi ya 50% ya wachawi ni JINSIA Yako.

Unaliongeleaje Hilo bi Faiza?
naomba nipitishie kwako, huyo "mchawi" atueleze mwanasheria nguli 'Hamza Johari', anayetegemewa sana na Samia kuliko Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kasimamia mikataba mingapi iliyoleta manufaa kwa waTanzania.

Mkuu 'Rabbon', naomba unifikishie hoja hii kwa mhusika
 
Hawezi kujibu huyo mlozi.

Saizi anahoji Hadi weledi wa Lissu katika mikataba ya kimataifa.
 
Huyi lussu anafanganyanjweuoe..
Hiki ni nini?

Laana zimeanza kukutafuna mapema hivi Hadi umeanza kupoteza focus kwenye uandishi? Tangu inshu ya bandari ijitokeze umekuwa na trend ya kuandika maruhani na vitu visivyoeleweka.

Unakaribia kutembelea mti wa kukuongoza njia,mwone daktari wa macho mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…