Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Kwani yeye anafaida gani hapa zaidi ya kutudanganyaulipompuuza alipata hasara gani mbali na wewe kuwa mjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye anafaida gani hapa zaidi ya kutudanganyaulipompuuza alipata hasara gani mbali na wewe kuwa mjinga
Hawa watawala ni si tu "wajinga" bali ni "wapumbavu" sana kwa sababu;Muda unavyozidi kusonga waliokuwa wanaupigia debe huo unafsishaji wa bandari siwaoni kabisa
Lisu kwenye mambo ya sheria siwezi kumbishia
Mbunge anajulishwa twende Dubai shopping kumbe unatafutwa ushahidi mshenzi tu dhidi yake
Mbarawa jiuzuru ni ushauri tu
Aibu kwa mama na bunge
Ndugu denooJ, hii kitu haitaenda popote. Amini maneno haya!!.Sitaki kuamini kwanini tusubiri mpaka atakapokuja kiongozi mwingine, au bunge lingine, ndio tuvunje huu mkataba, binafsi nataka huu mkataba uvunjwe na huyu msaliti mwenyewe aliyeuleta.
Hatuwezi kuishi hata mwezi mmoja zaidi mbele tukiwa chini ya huu mkataba, kufanya hivyo ni sawa na kujikubali tumekuwa watumwa wa mwarabu ndani ya nchi yetu, huu ni ujinga na upumbavu mkubwa sana kutokea karne hii.
Kalamu uko tayari kuipigania Tanganyika yako?Tufuate njia ile ile aliyopendekeza Lissu.
Bunge, (siyo lazima liwe hili la mafisadi), warekebishe "masharti ya kimkataba yenye utukufu wa kikatiba", kama vile tunavyoweza kurekebisha Katiba yetu.
Tukishafanya hivyo, hatfungwi tena na mkataba wa kitumwa. Wakileta chokochoko, na kuleta u'Wagner' wao hapa, nasi tutawaleta hata kama ni waChina, watusaidie kuikomboa nchi yetu.
Tutakuwa na haki ya kupigania uhuru wetu, kama walivyofanya wengine wote duniani walipokuwa wakidai uhuru wao..
Kwa mfano, Msumbiji, na Afrika Kusini, n.k.
Hata wewe uchawa wako hauna faida kwa Nchi asilani.Kwani yeye anafaida gani hapa zaidi ya kutudanganya
Huyi lussu anafanganyanjweuoe..Kwani yeye anafaida gani hapa zaidi ya kutudanganya
Wamekwisha sema tutakapochoka kupiga kelele tutanyamaza.Kalamu uko tayari kuipigania Tanganyika yako?
I am glad to hear this.
Lakini Kwa kuanzia, tuanze kupigania Taifa letu la Tanganyika kwa kupiga kelele Kwa namna hii bila kunyamaza..
Amefafanua vizuri Sana ,kuhusu uvunjwaji ila kwaccm haiwezekani kwasababu wameingia wao na WAnamalengo Yao"Ashauri namna unavyoweza kuvunjwa".
Naona kwenye 'summary' yako hukufika huko.
Kuuvunja mkataba hata kama utalazimishwa, hiyo ndiyo kazi muhimu kuiandaa tokea sasa.
Lakini ngoja nikasikilize mwenyewe.
N.B. Nimeangalia hiyo picha inayoandamana na video.
Kumbe ndiyo maana bado hawa watu wanaliita Bara letu a "Dark Continent".
Angalia tofauti iliyopo kati ya Bara la Ulaya na Afrika. Picha hiyo ilipigwa usiku.
Bado tunayo safari ndefu kidogo.
Mkuu 'kina' CCM ipo ukingoni.Amefafanua vizuri Sana ,kuhusu uvunjwaji ila kwaccm haiwezekani kwasababu wameingia wao na WAnamalengo Yao
Labda waje wapate mtu aina ya magufuli mpya mwingine
Tafiti zote duniani zinaonyesha zaidi ya 50% ya wachawi ni JINSIA Yako.Huyi lussu anafanganyanjweuoe..
Atueleze yeye kesi zipi za mikataba ya kimataifa alizoshinda. Simpo.
Tatizo ni 'logistics' mkuu 'denooJ'.Sitaki kuamini kwanini tusubiri mpaka atakapokuja kiongozi mwingine, au bunge lingine, ndio tuvunje huu mkataba, binafsi nataka huu mkataba uvunjwe na huyu msaliti mwenyewe aliyeuleta.
Hatuwezi kuishi hata mwezi mmoja zaidi mbele tukiwa chini ya huu mkataba, kufanya hivyo ni sawa na kujikubali tumekuwa watumwa wa mwarabu ndani ya nchi yetu, huu ni ujinga na upumbavu mkubwa sana kutokea karne hii.
Lakini this time, Kuna mbuyu utaanguka Kwa kisu tu..Wamekwisha sema tutakapochoka kupiga kelele tutanyamaza.
Wanatoa mfano kabisa wa kelele zilizomwandama Mkapa katika ubinafsishaji wa NBC; na wanatolea mfano wa kelele kumalizika na ufanisi wa ubinafsishaji huo uliopingwa.
Lakini wao hawaoni tofauti kubwa sana iliyopo, kati ya ubinafsishaji wa Benki ile na kelele zilizoambatana nayo, na ubinafsishaji huu wa Bandari, ambao ni kuleta utawala wa nchi ya nje kuja kuendesha shughuli zake hapa kwa makubaliano yasiyokuwa rafiki kwa nchi yetu.
Sasa wasubiri kama kweli waTanzania watanyamaza, au waanze kuwa na hofu ya wao kuendelea kuwepo madarakani. Sijui ni kwa nini hili hawalitilii maanani akilini mwao.
Wao wanadhani wapo salama sana!
naomba nipitishie kwako, huyo "mchawi" atueleze mwanasheria nguli 'Hamza Johari', anayetegemewa sana na Samia kuliko Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kasimamia mikataba mingapi iliyoleta manufaa kwa waTanzania.Tafiti zote duniani zinaobyesha zaidi ya 50% ya wachawi ni JINSIA Yako.
Unaliongeleaje Hilo bi Faiza?
Hawezi kujibu huyo mlozi.naomba nipitishie kwako, huyo "mchawi" atueleze mwanasheria nguli 'Hamza Johari', anayetegemewa sana na Samia kuliko Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kasimamia mikataba mingapi iliyoleta manufaa kwa waTanzania.
Mkuu 'Rabbon', naomba unifikishie hoja hii kwa mhusika
Haaaa haaaaHuyi lussu anafanganyanjweuoe..
Atueleze yeye kesi zipi za mikataba ya kimataifa alizoshinda. Simpo.
Usiwe tegemezi kwa binadamu wenzako, jifunze kujitegemea, anaweka wazi wizi unaofanywa na miungu watu unayoitegemea hapa mjini, hivyo lazima uchukie.Mimi huyu jamaa nilimpuuza tangu akiwa bungeni
Hiki ni nini?Huyi lussu anafanganyanjweuoe..