Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

Tuwe na tahadhari.

Mfalme wa Dubai, mwenye ukwasi mkubwa sana hawezi kuachia kirahisi koloni analotaka kulitawala. Amekwishaonyesha utayari wake wa kuwanunua watu miongoni mwetu. Tunao watu, siyo wenye njaa, bali walafi sana walio tayari kusimamia mpango wa mfalme ufanikiwe, hata kwa gharama za maisha ya watu wetu.
 


Preamble kwenye sheria, inaelezea hiyo sheria inahusu nini na mipaka yake.

Lengo lake ni kuingia mikataba ya uwekezaji na nchi husika katika maeneo tofauti (generally speaking), ndani ya sheria kuna articles zinazoelezea hizo sehemu, phase zake, na namna ya kupata uhalali wa kufanya hizo shughuli.

Sheria yenyewe baada ya kupitishwa na bunge, ndani ya miezi 12 kama hakuna makubaliano yoyote katika sehemu zilizo tajwa kwenye appendices baina ya serikali na mwekezaji; hiyo sheria inakosa uhalali automatic.

Ikiwa kuna makubaliano ya mikataba ya HGA ndani ya miezi 12, kila mkataba utaisha kwa muda utakaopangwa (kama auta ongezewa muda) basically mikataba yote itakayoingiwa kila mmoja kwa muda wake mpaka ule wenye muda mrefu kuisha na sheria inakufa.

Nchi ikishaingia mikataba ya uwekezaji ndani ya miezi 12 iliyopangwa; uwezi kuufuta isipokuwa kwa taratibu zilizowekwa ndani ya sheria.

Ni watu tu wanaoilisha jamii matango pori, hiyo sheria imebadili sheria zingine za nchi na wala amuulizi kivipi au sheria sijui aiwezi futwa mpaka blah blah.

Hakuna lolote analolijua
 
Inashangaza sana Amiri jeshi, kamanda mkuu, Jemedari mkuu wa nchi yupo kimya kama hakusaini yeye mwenyewe Kwa mkono wake.

Kwenye issue nyeti kama hii inayohusu uhai, usalama, maisha, ya watu wote, wanyama, mimea, ardhi, mustakabari wa Tanzania.
Mkuu wa nchi amejificha.

Akitokea hadharani anawapotezea Watanzania mazima, hajibu chochote kuhusu huu mkataba. Anawaona kama sisimizi, mazuzu.

Ningemwelewa kidogo angetoa ufafanuzi na labda kusema amesikia sauti za Watanzania kusema process yote itakuwa na uwazi na kuwajumuisha wadau wote muhimu.
 
Usiwe tegemezi kwa binadamu wenzako, jifunze kujitegemea, anaweka wazi wizi unaofanywa na miungu watu unayoitegemea hapa mjini, hivyo lazima uchukie.
Kama anaushahidi na hao wezi anaowaweka wazi, kwani hajawapeleka mahakamani kama anaushahidi kamiliiii?? Aache kiki
 
Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu
Sasa mbona expert in contract negotiation Ndugu Lord denning na covax wanasema ule sio mkataba? Huku nguli wa sheria LISSU anasema ule ndio mkataba wenyew?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…