Tuwe na tahadhari.Lakini this time, Kuna mbuyu utaanguka Kwa kisu tu..
Kama hawajui, sasa wajue na kutambua kuwa tuko kwenye majira na nyakati zingine kabisa, sio miaka ya NBC au mikataba ya madini au ubinafsishaji wa TANESCO..
Hapa tunaongelea mtu (Rais Samia Suluhu Hassan) wa nchi/taifa jingine (Zanzibar) kutaka kuuza taifa jingine (Tanganyika). Hili halipiti hivi na ni lazima liondoke na watu..
Wewe subiri tu utaona...
Mfalme wa Dubai, mwenye ukwasi mkubwa sana hawezi kuachia kirahisi koloni analotaka kulitawala. Amekwishaonyesha utayari wake wa kuwanunua watu miongoni mwetu. Tunao watu, siyo wenye njaa, bali walafi sana walio tayari kusimamia mpango wa mfalme ufanikiwe, hata kwa gharama za maisha ya watu wetu.