Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Wa

Waisrael wanalalamika kuwa netanyahu kashindwa vita na amewaaibisha
Netanyahu kawaambia kuwa sasa wanajiandaa na Iran mwenye mbwa baada ya kuwatia adabu mbwa wa Hezbola.
 
Wameshasaini na saa kumi za usiku saa za Lebanon Bunduki zinanyamaza.
Hiyo ni cease fire na makubaliano ni kuwa jeshi ndo liwe mpakani south lebanon na sio wadisolve jeshi la hezbollah, makubaliano mengine wasifanye opareshn yoyote ya kijeshi mpakani.
 
Netanyahu kawaambia kuwa sasa wanajiandaa na Iran mwenye mbwa baada ya kuwatia adabu mbwa wa Hezbola.
Unachekesha wewe kama wameshindwa ground kuchukua hata mji mmoja atawaweza iran, wananchi wake wenyewe wamempinga muongo muongooo
 
We jidanganye Hii agreement ndo ilifanyika 2006 lakini kiko wapi
Aliyekuwa akishupaza shingo haswa haswa ni Nasrallah lakini sasa Nasrallah hayupo tena Mchezo Umekwisha...

Alamsiki...
 
Netanyahu kawaambia kuwa sasa wanajiandaa na Iran mwenye mbwa baada ya kuwatia adabu mbwa wa Hezbola.
Hahahaha kawadanganye mapunguani wenzako kawashindwa Hezbollah na Hamas atamuweza Iran.

Wewe shabiki mandanzi hujui chochote.

Waliomba poo ni Israel kupitia Marekani na Ulaya baada ya kuona wanajeshi wao wanakufa hovyo Lebanon na Miji yao inapigwa makombora.

Leo Baraza la Mawaziri la Israel limepiga kura kukubali yaishe😅

Msilize Biden😅😅
 
Nipo kwenye channel moja ya waisrael telegram, wananchi hawampendi jamaa wanamwita bibi😂😂, wanasema amefeli lebanon na wamwambia amalize vita vya gaza havina maana
 
Unachekesha wewe hapo litani walipita njia za uchochoroni wakaenda kupiga picha wakatoka nduki,
Malengo ya idf yalikuwa ni kuwadisarm hezbollah, kuwarudisha wananchi wa north, na kuwarudiaha hezbollah beyond litani river hawajaaccomplish goal hata moja, na mpaka now hezbollah wanashambulia deep in israel from the north karibu kabisa na mpaka
 
Hujaona sehemu inauosema Israel withdraw from Lebanon?
Nani anaye kuambia Israel wako ndani ya Lebanon? Hizo point unazo ongelea ni mwaka 2006.

Ngojea nikupe details ilu ujue alicho kula hasara hapa Hezbullah, nikumpoteza viongozi wake Nasurlah, Seif dini na kikosi cha makamanda wake, lakini silaha zake zote ziko salama. Pia kuto kuendelea kuwapa support Hamas.

Tatizo we labda kiarabu kina kupiga chenga msikilize huyu anasema nini. Anasema Hezbullah bado wana nguvu serekalini na zaidi kwa sasa, pili silaha zao watabaki nazo reason kama nilivyo kueleza Israel mpaa mda huu anagoma kusign border agreemen, pia anakataa kurudisha mateka wa Hezbullah. Tatu kuna ardhi bado Israel kaikalia ya Lebanon inaitwa Mazraa Sheba na Tilaat kabra shoba yyeye anasema ni za Syria na hio ndio reason silaha ya Hezbullah kubaki Afu hi ceasefire ni ya mda wa siku 60 ni kwa ajili kama nilivyo sema ni US kashirikiana na mapuppets zake kule Lebanon ili Israel ipumue. Nne sio silaha tu za Hezbullah zipo nyuma ya mto Letani zingine zipo upande wa east ya mto Letan ni 1 5 KM karibu na border hapo ndipo Israel alishusha makamanda wake wachukue Bollywood movie kuonyesha wamefika mto Letani 🤣 Pia zipo silaha zake pale Bukaa karibi kabisa na border ya Israel. Hio vita Hezbullah ndio alitoa masharti sio Israel.

We unajua Israel alitaka silaha za Hezbullah zivunjwe hakufanikiwa, alitaka awe yuko free kuvamia Lebanon saa ambayo anataka hakufanikiwa, sa kipi alicho pata hapo zaidi ya US kumsaidia ili Hezbullah awache kumpa support Hamas. Na hio yote ni sababu ya wanafiki kule Lebanon kuilamu Hezbullah kuingiza Lebanon kwenye vita. Israel alicho win ni kumua Nasurlah, Seif Din na wale Macommander wa mwanzo wa Hezbullah, zaidi ya hapo ni kuwauwa civilian na kuvunja majumba basi.



View: https://youtu.be/N4AC3JNfYWo?si=-8rY_XhnXAluPtFX

Aljazeera wanàsema Hezbullah kawambia serekali ya Lebanon wahakikishe kabla ya kusign walicho kubaliana, ama sivyo hasimamishi vita sababu Nyau anajisifu na Hezbullah wanaogopa wasije kuwa US kabadilisha walicho kubaliana. Ukweli ni Israel ndio akubali masharti ya Hezbullah


View: https://youtu.be/fZFisQC5pzo?si=tffKVTcA-0Scyr1w
 
Hahaha mavi yao hio walingilia East Letani tena walishushwa kwa Helicopter ili wachukue Bollywood film ni waongo wakubwa hao, hakuna hata silaha waluzo vunja ziko wapi siwangeonyesha wameweza kupiga picture za Bollywood wako Letani wasionyeshe silaha waluzo vunja. Kama wamefika Letani kwani wameamua kusimamisha vita, wangeweka buffer zone bora mara elfu kuliko kukimbilia kusimamisha vita 🤣 We unambiwa Mto Letan kwa upande wa mashariki ni kama km 1 5 ufike border ya Israel. Hio area huwezi ingiza hata vifaru haha ndipo walipo enda kutengeneza Bollywood film na badaye time wanarudi border wakachapwa vizuri wengine wako hospital kule Haifa.
 
ntzu katema bungo.

Amesitiriwa aibu na mabasha zake wa kimarekani, ilikuwa kabla ya Trump kuapishwa anyanyue bendera nyeupe ya kusaimu amri.

Kichapo alichochezea wiki mbili hizi za nyuma kutoka hezbollah kilikuwa si cha kiroro.

Hezbo;l;ah wananyofoa kama piranha, samaki wa Amzon. Hao ukiwaona utawadharau, ni wadigo kwa umbo lakini wanashambu;lia kuliko samaki mwengine yeyote. Ukiungua lwenye eneo lao, huchukuwi dakika tatu unabaki mifupa.

Hicho ndicho walichokuwa wanafanywa mazayuni wiki mbili hizi. Walikuwa kila siku wanainyofoa Haifa na tel aviv bila pingamizi.

Hinfera Hezbollah, hongera Palestina.
 
Baraza la Mawaziri walipigo kura jana ya kuomba kisitisha vita mawaziri wote walipiga kura ya kukubali kura 1 tu ya yule chizi alikataa wakamwbia peleka watoto wako wakapigane.😅
 

View: https://x.com/drloupis/status/1861362753635566049?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…