Baby
FaizaFoxy haya Masharti waliyokubali Hezbollah angekuwepo Nasrallah asingekubali… siku zote nilikuwa na Mashaka na Huyu kiongozi wao Mpya haiwezekani asiwepo kwenye kila mikutano iliyokuwa inaua viongozi wakuu wa Hezbollah yeye anakuwa haendi, bila Shaka yeye ni asset ya Israel.
Kwenye haya Masharti, Israel itabaki Lebanon kwa siku 60
Jeshi la Lebanon kwa kusaidiana na Marekani na Ufaransa litatakiwa kupita Nyumba kwa nyumba na kila kichaka kuharibu miundombinu ya Hezbollah chini ya Uangalizi wa hizo nchi pamoja na Israel.
Ikitokea Hezbollah wameleta fyoko fyoko Israel inaruhusiwa kufanya operation ya Kijeshi, hii ni Kama ku Surrender.
Mwisho ni Kama Marekani na Ufaransa wanataka kupika Kamgogoro ndani ya Lebanon, Walebanon walikubaliana jeshi lisiwe na nguvu Ila haya makubaliano yako kwa ajili ya kuimarisha jeshi la nchi. now Washia wanachukuliwa nguvu zao za kujilinda… nawatakia amani wanachi wa kawaida wasio magaidi