Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

Wanarudi kakwambia nani hujasikia hotuba ya paka jana
Hahahahaa mjomba wanaume wanarud nyumban na wale kenge wote wanatakiwa kuondoka kusini na jeshi la Lebanon ndio linachukua utawala eneo hilo hutaki jinyonge. Biden katangaza makubaliano jana na amesema tena Israel ikishambuliwa tena ina haki kujibu. Raia wa pande mbili wanaruhusiwa kurud maeneo yao na miundo mbinu kujengwa upya pande zote. Israel itaondoa jeshi lake kwa makundi kwa siku 60. Sasa hiv kichapo alichopata hezbollah hata sahau. Hataki kusikia Gaza wala mama yake Gaza.
 
Hakuna anae rudi kaskazini
 
Wanaukumbi.

Yerusalemu
CNN
-
Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba kupita hatua mbaya.
===============
Jerusalem
CNN

A ceasefire deal between Israel and the Lebanese militant group Hezbollah is “very close,” a regional source told CNN on Sunday, even as an uptick in Israeli attacks saw the death toll in Lebanon since mid-September pass a grim milestone
👇🏽
Source: CNN Ceasefire deal between Israel and Hezbollah is ‘very close,’ regional source says, as Lebanon death toll climbs | CNN
========================
UP DATE……

View: https://x.com/suppressednws/status/1861515475827486848?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Screenshot_2024-11-27-10-24-25-168_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-11-27-10-24-10-150_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-11-27-10-23-52-859_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-11-27-10-23-15-069_com.android.chrome.jpg
 
Sina deni na hzb wamefanya kwa upande wao, na wanafiki wa kiarabu wameonekana kwa vita hivi kazi yao ni upuuzi tupu shia sunni kuleta mgawanyiko usio na tija

— ❗️🇮🇱/🇱🇧 NEW: Within less than 24 hours, Lebanese civilians have entered Khiyam, Kfar Kila, Ayta Al Shaab, Aytaroun, and many other 'frontline' cities with direct IDF presence.

Some of these towns never fell to the IDF, but even the IDF positions on their outskirts are now either paralyzed or abandoned already.

Israel had 60 days to withdraw. The Lebanese forced their hand within a day. They disobeyed any orders, and went back to their homes. Meanwhile, the IDF: 'People cannot return to the North (Galilee) in the next few months'

@Middle_East_Spectator
 
Hahahahaa mjomba wanaume wanarud nyumban na wale kenge wote wanatakiwa kuondoka kusini na jeshi la Lebanon ndio linachukua utawala eneo hilo hutaki jinyonge. Biden katangaza makubaliano jana na amesema tena Israel ikishambuliwa tena ina haki kujibu. Raia wa pande mbili wanaruhusiwa kurud maeneo yao na miundo mbinu kujengwa upya pande zote. Israel itaondoa jeshi lake kwa makundi kwa siku 60. Sasa hiv kichapo alichopata hezbollah hata sahau. Hataki kusikia Gaza wala mama yake Gaza.
Hezbollah kakubali kuolewa😆😆 kwahiyo kuanzia leo atakuwa analala bila nguo za ndani.😁😂
 
Baby FaizaFoxy haya Masharti waliyokubali Hezbollah angekuwepo Nasrallah asingekubali… siku zote nilikuwa na Mashaka na Huyu kiongozi wao Mpya haiwezekani asiwepo kwenye kila mikutano iliyokuwa inaua viongozi wakuu wa Hezbollah yeye anakuwa haendi, bila Shaka yeye ni asset ya Israel.

Kwenye haya Masharti, Israel itabaki Lebanon kwa siku 60
Jeshi la Lebanon kwa kusaidiana na Marekani na Ufaransa litatakiwa kupita Nyumba kwa nyumba na kila kichaka kuharibu miundombinu ya Hezbollah chini ya Uangalizi wa hizo nchi pamoja na Israel.

Ikitokea Hezbollah wameleta fyoko fyoko Israel inaruhusiwa kufanya operation ya Kijeshi, hii ni Kama ku Surrender.

Mwisho ni Kama Marekani na Ufaransa wanataka kupika Kamgogoro ndani ya Lebanon, Walebanon walikubaliana jeshi lisiwe na nguvu Ila haya makubaliano yako kwa ajili ya kuimarisha jeshi la nchi. now Washia wanachukuliwa nguvu zao za kujilinda… nawatakia amani wanachi wa kawaida wasio magaidi
Toka awali nilisema hamas ni vidume zaidi ya hawa hezbola
 
Viongozi wengine wa nchi za kiarabu ni wanafiki sana. Mapenzi ya dunia na mali vimewajaa wanaangalia wenzao hapo Palestine wanauliwa, wao kimya.

Hizbollah tu imemtia adabu Israel ndani ya miezi 2 ka surrender. Wangeungana hapo nchi kama 3 hiyo Israel ingefutwa kwenye ramani.

Unafiki ni mbaya sana. Hawa Viongozi wa hizi nchi za waarabu wanatakiwa waondolewe wapatikane watu kama Nasrallah
Dogo unajifariji sana!

Kasome Makubaliano uone nani kamtia madole mwenzie.
 
Mbona unapotosha.
Ukweli ni huo mimi nimeona wachana na propoganda za Western media ukweli hupo kwenye Gazeti la India ni hu hapa kasome times of India. Au katazame nchi inayo ongea ukweli. Israel hatasubutu kugusa Lebanon tena.

Key terms of the deal:
The agreement is said to outline a 60-day ceasefire, during which Israeli forces would pull back to their side of the border, and Hezbollah would cease its military presence across much of southern Lebanon.
The deal got into effect from Wednesday (local time).
The agreement stipulates the deployment of thousands of Lebanese soldiers and UN peacekeepers to the area south of the Litani River.
An international monitoring group, headed by the US, will oversee compliance from all parties. President Biden stated that the deal aims to achieve a lasting end to hostilities.
Israel has insisted on the right to take action if Hezbollah breaches its commitments, a provision that Lebanese officials have opposed including in the agreement
 
Hakuna anae rudi kaskazini
Angalia Aljazeera muda huu raia kusin mwa Lebanon na kaskazin mwa Israel wanarud unabisha nini. Hezbollah kumbe alibakwa mbaya kabisa. Na Israel kasema anga lao analimiliki
 
Sababu za israel kuivamia lebanon kuwadisarm hezbollah
Nadhani utakuwa msahaulifu sana sababu za Israel kuivamia Lebanon kwanza zilikuwa ni kuwasogeza Hezbola nyuma ya Mto Litani kama UN Resolution ilivyokuwa ikitaka pili ni kuyavunja makundi yote ya Wanamgambo wenye silaha.

Kutokana na Hezbola kukubali Implementation ya Resolution 1701 hakuna haja tena ya Israel kubakia katika Lebanon usalama wa Wananchi wa Nothern Israel guaranteed na yaha MAKUBALIANO.

Mshindi hapa ni Serikali ya Lebanon na Israel,Magaidi ya Hezbola yanajuta kwanini yaliingilia mambo ya ndani ya Israel.🤣😂
 
Back
Top Bottom