Una uhakika Man u wanavyoingia mikataba na hizo kampuni zingine wadhaminj wenza hawashirikishwi? Achen upenzi wa upofuSioni tatizo lolote Simba kudhaminiwa na SportPesa .Timu za ulaya kama man united wana sponsors zaidi ya wanne AON,Chevrolet, Adidas.Timu ya Taifa ya Ufaransa wana sponsors mpaka wa maji.Kinachotakiwa kizingatiwe tu ni kuwa Timu isiwe na sponsors wanaofanya biashara au wenye maslahi yanayofanana kwamfano huwezi kukuta Timu inadhaminiwa na Pepsi na CocaCola at the same time.Ila inawezekana timu ikadhaminiwa na CocaCola na Castle Lager at the same time.
Acha kupotosha watu, kipindi cha uongozi wa Aden Rage alifuta mikataba yote ya pango pale msimbazi na kuingia mikataba mipya tena minono haswa.Ha ha ha yule Kassim Dewji wakati wa utawala wake aliingia mkataba wa pango na wafanyabiashara kwenye jengo la simba, mkataba wa miaka 30 akavuta mkwanja wake wa nguvu akaenda kununua maboti ya uvuvi na kufungua duka la michezo Jamhuri Street.. Wapangaji wanaendelea kulipa pango kiduchu mpaka karibia na 2025 huko..
LufungaMchezaji gani alicheza akiwa na kadi tatu? Unavuruga bandiko lako kwa kuleta ushabiki usiotija. Timu mojawapo ilifoji nyaraka kulazimisha kadi tatu, get your arcs together brother. Tusitetee ujinga.
Kwa hilo la Hanspope, kwani kujiuzulu kwake kutafanya mkataba na Spotipesa uvunjike na mkataba wa awali wa Mo kuwa honoured?
Wewe sasa ndio unaetaka kupotosha hapa.. Rage alifuta mikataba kwa uwezo upi..? Nani alilipwa pale fidia..?Acha kupotosha watu, kipindi cha uongozi wa Aden Rage alifuta mikataba yote ya pango pale msimbazi na kuingia mikataba mipya tena minono haswa.
Jifunze kuwa mfatiliaji usiishi kwa ndoto
MO Dewji hakuwa sponsor ,bali alikuwa kwenye mchakato wa kuwa mmiliki wa timu na tayari yeye ndio alikuwa anatoa fedha za kuihudumia timu tangu mchakato uanze.So kama kuna jambo lolote linaloihusu klabu alipaswa kushirikishwaHivi hata kama wewe ndio main sponsor wakija sponsors wengine wanataka kudhamini kitu kilekile utasusa eti kwasababu hukushirikishwa...!!?
Pathetic
Tarimba ameajiriwa na SportPesa ,hawa jamaa wameingia kuwekeza soka la bongo so huwezi kuja wekeza soka la bongo ukawaacha Simba na YangaWe fikilia tu kuwa aliyekuwa Rais wa Yanga mkuu Talimba abassy ndiye mdhamini wa simba kupitia sports Pesa ...Je hapo hamuoni kuwa inakuwa ni style ya "kampa kampa tena".
Mo na Hans Pope wameona mbali, we subiri tu kina Aveva na Kaburu watakuja kuwapigia magoti wana msimbazi wakiomba toba.
Watani wangu wakumbuke kuwa " Zimwi likujualo halikuli ukakwisha".
Hapo ndio yanga I najitokeza kuwa timu inaongozwa kisomi na viongozi wasomiHabari mbaya sana kwa wanamsimbazi!!
WATANI ZANGU POLENI
Sasa mpuuzi ni nani?wpuuzi hapo ni simba wote au Aveva na kundi lake?Shenz type, upuuzi ndio maana Mpira wa wa bongo hauendelei
Duuhhh polen mikiaa
Punguza povu ndugu ujue hakuna mwekezaji anayetaka kuwekeza fedha zake kwenye timu yenye migogoro ref kwa stand unitedMchezaji gani alicheza akiwa na kadi tatu? Unavuruga bandiko lako kwa kuleta ushabiki usiotija. Timu mojawapo ilifoji nyaraka kulazimisha kadi tatu, get your arcs together brother. Tusitetee ujinga.
Kwa hilo la Hanspope, kwani kujiuzulu kwake kutafanya mkataba na Spotipesa uvunjike na mkataba wa awali wa Mo kuwa honoured?
Nashukuru mkuu umeliona hilo, kungekuwa na watu hawa nyakati hizo, timu hizi zingebaki historia tuKila sekta nchi hii ni dili na usanii kwisha kazi.. Na hawa wa kwenye vilabu vya simba na yanga wangekuwapo toka miaka hiyo wala hivi vilabu visingekuwa na hata majengo yao wenyewe..
Hata kuifunga mbao ndio msahau sasa muanze kushikana uchawiYeye na Mo hawatakiwi karibishwa tena Simba waende zao wao wanataka simba iwe na shida ili wao wafaidi baadae, ili waonekane miungu
Kwahiyo hata huko FIFA wanajisumbua tu maana sheria zipo waziNakukumbusha tu sababu za simba kukataliwa rufani yake ni kutuiwasilisha kwa muda na kulipia gharama zake. Kadi 3 zilidhibitika. Asante