Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Hivi hata kama wewe ndio main sponsor wakija sponsors wengine wanataka kudhamini kitu kilekile utasusa eti kwasababu hukushirikishwa...!!?
Pathetic
 
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mdhamini mkuu ni Vodacom lakini vilevile wadhamini wadogo ni Benki ya DTB pamoja na NHIF Je wakati TFF wanaingia makubaliano ya DTB na NHIF kuwa wadhamini wenza wa Ligi Kuu Vodacom walishirikishwa......!!??
 
Sioni tatizo lolote Simba kudhaminiwa na SportPesa .Timu za ulaya kama man united wana sponsors zaidi ya wanne AON,Chevrolet, Adidas.Timu ya Taifa ya Ufaransa wana sponsors mpaka wa maji.Kinachotakiwa kizingatiwe tu ni kuwa Timu isiwe na sponsors wanaofanya biashara au wenye maslahi yanayofanana kwamfano huwezi kukuta Timu inadhaminiwa na Pepsi na CocaCola at the same time.Ila inawezekana timu ikadhaminiwa na CocaCola na Castle Lager at the same time.
Una uhakika Man u wanavyoingia mikataba na hizo kampuni zingine wadhaminj wenza hawashirikishwi? Achen upenzi wa upofu
 
Ha ha ha yule Kassim Dewji wakati wa utawala wake aliingia mkataba wa pango na wafanyabiashara kwenye jengo la simba, mkataba wa miaka 30 akavuta mkwanja wake wa nguvu akaenda kununua maboti ya uvuvi na kufungua duka la michezo Jamhuri Street.. Wapangaji wanaendelea kulipa pango kiduchu mpaka karibia na 2025 huko..
Acha kupotosha watu, kipindi cha uongozi wa Aden Rage alifuta mikataba yote ya pango pale msimbazi na kuingia mikataba mipya tena minono haswa.
Jifunze kuwa mfatiliaji usiishi kwa ndoto
 
Mchezaji gani alicheza akiwa na kadi tatu? Unavuruga bandiko lako kwa kuleta ushabiki usiotija. Timu mojawapo ilifoji nyaraka kulazimisha kadi tatu, get your arcs together brother. Tusitetee ujinga.

Kwa hilo la Hanspope, kwani kujiuzulu kwake kutafanya mkataba na Spotipesa uvunjike na mkataba wa awali wa Mo kuwa honoured?
Lufunga
 
Acha kupotosha watu, kipindi cha uongozi wa Aden Rage alifuta mikataba yote ya pango pale msimbazi na kuingia mikataba mipya tena minono haswa.
Jifunze kuwa mfatiliaji usiishi kwa ndoto
Wewe sasa ndio unaetaka kupotosha hapa.. Rage alifuta mikataba kwa uwezo upi..? Nani alilipwa pale fidia..?
 
Mo na huyo Pope ni wakupuuzwa kabisa
Maana yake walitaka timu iwe inaenda kuwaomba kila wakitaka mishahara yaani watu waache dili la. 4.5 bilioni kisa Mo na Pope
Si wangeidhamini wao ili makampuni yao yawe hapo kifuani

Mpira Tanzania kuendelea yahitaji miujiza
 
Dah! His ni hatari simba imekuwaje tena mbona mkanyagano tu!
Nalog off
 
Hivi hata kama wewe ndio main sponsor wakija sponsors wengine wanataka kudhamini kitu kilekile utasusa eti kwasababu hukushirikishwa...!!?
Pathetic
MO Dewji hakuwa sponsor ,bali alikuwa kwenye mchakato wa kuwa mmiliki wa timu na tayari yeye ndio alikuwa anatoa fedha za kuihudumia timu tangu mchakato uanze.So kama kuna jambo lolote linaloihusu klabu alipaswa kushirikishwa
 
Mkataba wa Simba na Sports Pesa haumzuii yeye MO kuendelea na mazungumzo yake kama kweli yalikuwa na manufaa kwa wana Simba. Kilichofanyika ni kuiongezea thamani club. Sasa kama alitegekea kuipata Simba kwa sh 50 sasa anaweza kuipata kwa sh 1000. Sioni kosa walikofanya viongozi, ashirikishwe kama nani? Kutoa mishahara ama pesa kidogo kwa club haikupi ticket ya kushirikishwa maamuzi ya club. Hongera Aveva kwa mkataba huu sasa naiona simba mpya. Mtu anayeitaka Simba ipo tu na aje na dau zuri, what we did is just adding Simba value. Wanaoona Mo kaonewa bmilango ipo wazi.
 
We fikilia tu kuwa aliyekuwa Rais wa Yanga mkuu Talimba abassy ndiye mdhamini wa simba kupitia sports Pesa ...Je hapo hamuoni kuwa inakuwa ni style ya "kampa kampa tena".

Mo na Hans Pope wameona mbali, we subiri tu kina Aveva na Kaburu watakuja kuwapigia magoti wana msimbazi wakiomba toba.

Watani wangu wakumbuke kuwa " Zimwi likujualo halikuli ukakwisha".
Tarimba ameajiriwa na SportPesa ,hawa jamaa wameingia kuwekeza soka la bongo so huwezi kuja wekeza soka la bongo ukawaacha Simba na Yanga
 
Duuhhh polen mikiaa
356a86e3b63d1e953ff489355163b688.jpg
 
Mchezaji gani alicheza akiwa na kadi tatu? Unavuruga bandiko lako kwa kuleta ushabiki usiotija. Timu mojawapo ilifoji nyaraka kulazimisha kadi tatu, get your arcs together brother. Tusitetee ujinga.

Kwa hilo la Hanspope, kwani kujiuzulu kwake kutafanya mkataba na Spotipesa uvunjike na mkataba wa awali wa Mo kuwa honoured?
Punguza povu ndugu ujue hakuna mwekezaji anayetaka kuwekeza fedha zake kwenye timu yenye migogoro ref kwa stand united
 
Kila sekta nchi hii ni dili na usanii kwisha kazi.. Na hawa wa kwenye vilabu vya simba na yanga wangekuwapo toka miaka hiyo wala hivi vilabu visingekuwa na hata majengo yao wenyewe..
Nashukuru mkuu umeliona hilo, kungekuwa na watu hawa nyakati hizo, timu hizi zingebaki historia tu
 
Yeye na Mo hawatakiwi karibishwa tena Simba waende zao wao wanataka simba iwe na shida ili wao wafaidi baadae, ili waonekane miungu
Hata kuifunga mbao ndio msahau sasa muanze kushikana uchawi
 
Nakukumbusha tu sababu za simba kukataliwa rufani yake ni kutuiwasilisha kwa muda na kulipia gharama zake. Kadi 3 zilidhibitika. Asante
Kwahiyo hata huko FIFA wanajisumbua tu maana sheria zipo wazi
 
Back
Top Bottom