Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Kisingizio cha kijinga hiki. Why Yanga alienda kuwaomba SportPesa juu ya hili!? Kwa nini asingefanya tu!?
Hata kichaa ukimwambia wewe ni kichaa anakataa maana anakuona wewe ndio kichaa sio yeye.
 
Sijajua unauelewa gani kwenye masuala ya masoko ila kwa uchache, uuzwaji wa jezi mpya zenye udhamini wa kampuni mpya unaweza kuathiri uvaaji wa jezi zenye nembo ya sportpesa mtaani. Wanunuzi na wavaaji wa jezi ni wale wale. Hilo ni moja tu.
Mwamba nimekuelewa sana. Bonge moja la Pointi.
 
Reactions: Tui
Kwenye hatua za awali, nani alikuwa kifuani !?
 
Hii ndiyo mfanano bora nimeuona mpaka sasa. Watu hawajui haya makampuni makubwa yanadili na makampuni mengi siyo wewe tu. SportPesa inawezekana huko kwingine anafanya kazi na washindani wa Haier kwa hiyo lazima awe na nafasi ya kutafakari na kuridhia. Wanaangalia mambo juu juu tu.
 
Kisingizio cha kijinga hiki. Why Yanga alienda kuwaomba SportPesa juu ya hili!? Kwa nini asingefanya tu!?
Na pia waulize kwa nini kama hawataki kufanya kazi za bure kama wanavyoikataa Visit Tanzania waliweka nembo ya SportPesa bila kulipwa katika mashindano wanayodai SportPesa hahusiki.

Wakikujibu nitag nimekaa paleeee.
 
Kwa kuwa CAF wanatoa pesa, hiyo haikuwa sababu ya Yanga kutohangaika na udhamini mwingine!?
 
Wauza Pears kina Mgosi huwakuti wakishiriki kutoa maoni hapa.
Kazi yao kungoja kwa jirani kuna nini.
 
Kwa kuwa CAF wanatoa pesa, hiyo haikuwa sababu ya Yanga kutohangaika na udhamini mwingine!?
Nilitaka nimjibu hivyo nikampotezea maana kichwa chake ni kigumu sana.

Mods waongeze emoji za fimbo, kuna watu wanastahili bakora ndiyo wataelewa mambo.
 
Unbeaten hata Azam Fc timu ya juzi tu anayo.
 
Hata kichaa ukimwambia wewe ni kichaa anakataa maana anakuona wewe ndio kichaa sio yeye.
Cha ajabu Fei Toto anaonekana kichaa kutoheshimu mkataba huku anayemuona Feisal kichaa, naye haheshimu mkataba aliosaini kwa hiari yake mwenyewe.
 
Reactions: Tui
Inawezekana sera za ujamaa zimechangia sana kuchukuliana poa kwenye biashara.
 
Cha ajabu Fei Toto anaonekana kichaa kutoheshimu mkataba huku anayemuona Feisal kichaa, naye haheshimu mkataba aliosaini kwa hiari yake mwenyewe.
[emoji706][emoji706]
 
Mi nimeuliza swali na wewe unauliza swali sasa nani atujibu?
Achana nae mkuu. Badala atoe hoja yake yeye maswali tu kama tuko shule. Tetea hoja kwa hoja sio maswali, akiulizwa hajibu anaibuka na swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…