Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

Hizi ndio akili zenu utopolo..hii timu kushabikia lazma Kuna fuse ziwe zimekatika kwanza..unadhan Simba walipenda kuvaa visit Tanzania mwaka jana
 
Nimeona hayo maelezo nikabaki kujiuliza maswali. Yanga ikivaa visit Tanzania je sport pesa watafaidika na kipi hapo?
KWa maslahi mapana yataifa

Na ndio maana wao walienda kuwa omba sportpesa lakini kumbe walikuwa na lao bado

Ni wame kiuka makubaliano, kama fei Toto alivyo ambiwa mkataba hauvunjwi kirahisi hivyo
 
Ndo Mkataba unavosema? Au wewe tu umeleta fikra zako?
 
(kama ni kweli) Hii itatia doa klabu yetu kwani itaonekana haiheshimu mikataba
 
Kweli wenye akili ni 2
Sasa mpk mwanasheria wao anashindwa kung'amua vitu kama hivi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…