Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

Mwenzako hataki fedheha kwahiyo kaamua bora lawama zako kuliko fedheha.

Linapokuja swala la talaka na kuachana bahati mbaya wanawake ndio huwa wanaonekana wakosefu mbele ya jamii sasa yeye hilo hataki.

Amini usiamini hata Mahakamani ukienda kutoa sababu uliyoieleza hapa kwenye huu uzi hupewi hiyo talaka, huwezi kupewa talaka kisa umemchoka mtu hiyo haiwezekani, labda ukahonge na ikikatiwa rufaa talaka inapigwa chini mama la mama anarudi nyumbani 😂
 
Kama ulimtolea mahari laki mbili toroka asubui.
 
Wenzako wanawaachiaga mji/nyumba.
 
Embu ngoja kwanza..
 
Ndoa bwana,yani hapo ukete ni issue ya mmoja tu kujishusha ili yaishe lkn kila mtu unakuta kakomaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…