Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Aisee wanawake ni viumbe complicated Sana inahitaji akili Sana kuishi nao
 
Natamani kujua kipindi cha mavarangati yale yote kaka mtu alikuwa wapi na alikuwa na hali gani[emoji1787][emoji1787]
Mara ya mwisho Kaka wife tukionana kwny kile kikao walichonitukana.

Kipindi chote Cha varangati kusomba vitu, wife kuomba msamaha,mkwe na mashangazi kuomba mashamaha sikumuona kabisa jamaa.
 
Mara ya mwisho Kaka wife tukionana kwny kile kikao walichonitukana.

Kipindi chote Cha varangati kusomba vitu, wife kuomba msamaha,mkwe na mashangazi kuomba mashamaha sikumuona kabisa jamaa.
kwa sasa mnawasiliana? huwa anafika kwako? biashara yake ikoje sasa
 
Wanawake waliopo kwenye ndoa huwa wanawaza kugawana Mali nusu kwa nusu.
Yaani wanadhani utateteleka .
Nina ndugu yake mkewe alipoanza Fuji fujo kahama yeye kaacha
Semi 2
Gari za kutembelea 2
Daladala 5
Nyumba 2
Na mzigo wa kuuza anamtumia aendelee kuuza maana Wana watoto.
Ila amekata kabisa kwenda Wala kukutana na huyo mwanamke.
Imebidi mwanamke ajisalimishe tu na kuwa karibu zaidi na ndugu wa mume.
 
Toka lini nyie mkampenda mwanaume nyie mnapenda mali tu

Ambao tumeshawashitukia tunasema kataa ndoa ni utapeli
Ha ha ha...
binafs siamini kama ndoa Ni utapeli
Inategemea umemuoa yupi na wanaomzunguka Ni watu gani.

Back in those days,
Nami ningekua na msemo Kama wako

Ila kwasasa binafs naenjoy Sana mkuu[emoji4]
 
Hapo usikute usikute Kuna wapambe nuksi walimdaganya ataweza kusurvive bila mume
 
Hawa viumbe dah ata kuwalinganisha na watoto tunakosea sana watoto heshima
 
Mkuu umetisha sana , nimejifunza mengi , kongole kwako mzee

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Aiseee wacha tuendelee kujifunza
 
Leo nimeelewa kwanini mkeo ni mama wa nyumbani... kwakweli anastahili...japo huko mbele ikikupendeza kama utaona inafaa unaweza mtoa tena
 
Kitu kingine, ogopa Sana kuzoeleka na ndugu wa mke.
Wanatakiwa wasikusome kabisa. Watakuletea dharau ukileta mazoea nao
Yale mambo unapigiwa simu na mama anakuomba hela hayafai.
Mpe mkeo hela.
Yeye kama anawanyima ndugu zake awanyime yeye mwenyewe.
Ndugu zake wapitishie shida zao kwake
 
Hapo usikute usikute Kuna wapambe nuksi walimdaganya ataweza kusurvive bila mume
Mwanaume anayejitambua kwa nafasi yake ni mwanaume tu.
Atapata tu hisia za kutokuwepo kwake.
Kikubwa tufanye majukumu yetu ya baba na mume wa familia.
Huu uanaume wa siku hizi wa kidemocrasia ndio unaleta shida kwenye ndoa nyingi.
Ndoa sio sehemu ya watu kujifunzia mijadala.
Dingi akifunga amefunga.
Na unakuwa msikilizaji tu
Ukitoka unatoka na conclusion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…